Gwajima aishauri Serikali kumkamata Ahmed Msangi

Gwajima aishauri Serikali kumkamata Ahmed Msangi

ni aibu kwa jeshi la polisi na huyo kova wao na bado wataendelea kuumbuka
 
jamani, angalieni video ya Dr Ulimboka kwenye you tube,hawa watu Ahmeid na Rama mbona hawakamatwi?

hapa tujiandae,watatafuta tukio moja kubwa ambalo watalitumia kufukia hiki kisanga cha Dr Ulimboka

kuna kila dalili ya GVT kuhusika katika hili jambo.:wacko::wacko:


Hiyo Video inaitwaje? Niidownload kabisa
 
Hata mimi nimeona!!Duh watu wazima wameumbuka sana!!!Sijui kina Kova watakuja na single gani tena!!!

Kwa aibu hii, ningekuwa Kova ningeomba likizo nipotee kwa muda mpaka hili vumbi litulie! Hivi hata kama wanataka kudanganya kwa nini wanadanganya kijinga kiasi hicho? Yaani akili yao yote iko kwenye kuitoa serikali lawamani kiasi kwamba wanashindwa hata kujipanga jinsi ya kujinasua.
 
U-Polisi sio profession, je kuna degree, masters au PhD ya u-polisi? Hiyo kazi you can train even a dog-german Sheppard and perfom better. Sorry kama kuna Great thinker ni polisi. Kova is worse than a German Sheppard.
 
alivyo wapa spika na viti kwenye mkutano wao pale jangwani wakajua wamepata pa kupitia........
CCM na serikali yake huwa ni watu wa maamuzi ya kukurupuka sana........
 
Hivi jamani Kova mda wa kustaafu bado tu? ameshafika point ya diminish return ya uwezo wake na hii imesababishwa na kukubali kutumiwa kutekeleza matakwa ya kisiasa ya mabwana zake? Namshauri astaafu na akatangaze nia kugombea udiwani kijijini kwao kwani uwezo wa kufanya kazi kitaalam umeisha
 
Uongo hata ujitahidi vipi kuupamba unabaki kuwa uongo. Kina Msangi walichosahau katika picha lao la kihindi ni kwamba wadhambi wanaoungama uovu wao kwa kasisi ni katika kanisa la R. Katoliki na sii kwa walokole. Kingine walichosahau ni kwamba alichoungama mdhambi kwa kasisi kamwe hakitolewi kwa mtu wa tatu.

Kujaribu kulihusisha kanisa na kutoa siri ya toba ya mtu ni sawa na kuutukanisha ufalme wa mbinguni kwa minajili ya kuutakasa uovu wa ufalme wa duniani. Jambo hili watekaji wa kweli wa Dr Uli walishindwa kuelewa kuwa kanisa kamwe halitakubaliana nao. Sasa imekula kwao mazima na Kova kavuliwa nguo zote mbele ya kadamnasi.

Inaelekea utawala wa sisiem kila mti wanaoujaribu kwa sasa unateleza. Gwajima ana kitabu cha maombezi ambacho kimesambazwa kwa waombaji kila kona ya nchi. Na sehemu ya maombi yake yamemhusisha shetani na falme(wafalme) wa nchi mfano Herode, mkuu wa Uajemi, Nebkadineza na wengine kama hao.

Sasa shetani kujaribu kumhusisha Gwaji katika njama zake, huku Gwaji akiwa na ufahamu tosha jinsi shetani anavyofanya kazi na wapi yuko ni kitu kisichowezekana. Sala zilizoombwa katika kanisa la ufufuo na uzima na hata kwa Kakobe dhidi ya dhulma ya taifa hili kwa raia zake haitawaacha kamwe watawala kuwa salama.
.
 
Waheshimiwa, nchi hii haina usalama wa raia wala usalama wa Taifa. ni matatizo tu. that is why unaona maovu yakitokea hivyo vyombo ndio vinakuwa msitari wa mbele kutetea hayo maovu, jambo linaloonyesha wazi kuwa wanajua kilichotokea.mimi nadhani ni vyema huyo mwehu wao wamtunze, then dr. ulimboka akirudi amtambue, ndipo utakapochoka na kuamini kuwa nchi hii inaendeshwa kimkanda mkanda tu !Huyo Mwehu amepandikizwa wakiwa wanaamini kuwa wananchi hawana uelewa so watasikiliza na kuamini kuwa huyo mwehu wao alimteka Ulimboka. Sasa kanisa limekataa, watasema nini tena ?

kaka Mungu ni wa ajabu sana! Laiti angalijiua angetafuta mbinu nyingine ya kudanganya kisayansi zaidi, kini huyu chongo Kova anafika kuficha uovu kwa press conference ya uongo. Ni Mungu amewatia upofu hata hawaoni ndo maana wametumia week &awkward tricky sasa wanaumbuka. Sijui kama watawithdraw hiyo kesi walofungua au vipi. Mungu azidi kuwaumbua na uwe mwisho wa hadaa zao za kishenzi kwa taifa latu. Wamelitia laana isiyoisha taifa letu kwa uongo, hujuma, wizi, ufisadi huku wakilindwa na chama hiki cha magamba.
 
Kova kaumbuka leo ile mbaya. Nao Itv kwa kukomelea msumari wa moto katika habari hii wakaamua kutukumbusha kauli za utetezi wa kova hapo juzi.
 
Kova kaumbuka leo ile mbaya. Nao Itv kwa kukomelea msumari wa moto katika habari hii wakaamua kutukumbusha kauli za utetezi wa kova hapo juzi.
 
Kweli gwajima ni noma! Mie nilidhani naye angegoma kusema kwa kisingizio cha kwamba suala hili liko mahakamani kwahiyo hakuna mantiki ya kuliongelea ili hasionekane kaingilia mahakama.
 
Back
Top Bottom