Gwajima aishauri Serikali kumkamata Ahmed Msangi

Gwajima aishauri Serikali kumkamata Ahmed Msangi

Jeshi la polisi chovu, lililokata tamaa, maslahi duni,makazi duni mtawalaumu bure hawa kazi yao imebaki kusimamia mazoezi ya bomoa bomoa na kufukuza machinga...kazi zinazotaka akili na weledi tunawaonea bure tu...
 
Saraalee!! Aibu kubwa kwa jeshi la polisi na serikali ya Magamba. Nimependa sana ITV walivyoripoti kwa kuweka kipande cha povu alilolitoa Kova. These are signs of the falling empire.

kwakweli hiz ndo dalili zake, lakin kwann kova anaendelea kushika jukum la kulinda usalama wetu while ameshaonekana anatetea/anawaficha watu wanaohatarisha usalama wetu kama msangi? me nadhan tume huru iundwe tujue ukwel na Msangi awe kizuizini, kova asimamishwe kupisha uchunguz. But for this government which has been condemned as the weakest ever, I don't c da rum for an unbiased implementation over this scandal.

M4C
 
Kwanini walitaja ametubu kwa Gwajima kabla ya kumshirikisha kwanza kwenye dili lao?

Hapo sasa. Hii inadhihirisha hakuna binadamu anayemshinda akili Mungu. Mungu ameshawakatalia wao bado wanajaribu. Ngoja tuone. Ni muda sasa wakae tu kimya maana wanavyoendeleza ndio wanaharibu.

"Niite nami nitakuitikia nami nitakuonyesha mambo makubwa usiyoyajua"
 
Kukosa akili na mbinu ni janga mazee!
Yaani kova anadiriki kumkamata kichaa halafu anaitisha press conference

Kova anapenda sana masifa namfahamu vizuri tokea akiwa Mbeya enzi hizo RPC,,na kawakamata huoni Mgaya wa tucta kaingia mzima mzima eti anawasifia
 
Kova kachemsha ila atafute tenaplan B.

Naona Mizimu ya Wafu waliozikwa Kwenye Msitu wa Pande imewakomalia hadi ukweli uwe wazi me nawasiwasi mhusika mkuu ni Mkw3ere na Mfipa... Liwalo na liwe.... Hawajui Damu isipooshwa husumbua sana... Madhambi waliyofanya wamemzidi hadi Shetani...
 
Mchungaji anaweza pelekwa msitu wa pande

Kwa nyie msiemjua Gwajima mtashangaa, huwa anawachana LIVE mara nyingi sana. He is the only one in TZ ambaye anamwogopa Mungu na sio mwanadamu.

Tunahitaji kama watano tu kama Gwajima nchi itakaa vizuri.
 
Unajua mm bado sijaelewa, hawa jamaa wanasema walimkamata kanisani baada ya kupata taarifa toka kwa wasmaria wema, walinzi wa kanisa anasema walimpeleka polisi baada ya kuona ni mshari na hatari then wote wakakubaliana ni kichaa, wakati huohuo walinzi wanasema alikutwa na simu yenye ujumbe uliotumwa kwa no ambayo haikutajwa kuwa nimeshafika najaribu kuwazoea pia kakutwa na hati ya kusafiria ya dharura na kitambulisho cha uraia wa kenya Du!!!.
Maswali :kichaa gani anamiliki simu
Anajua kuitumia
Anatambua uwepo wa kitambulisho na matumizi ya hati ya kusafiria
Je walinzi wa kanisa waliviona hivyo vitu
MASWALI MENGI KULIKO MAJIBU, kwa mujibu wa utaratibu wa kenya unaweza ku confirm namba ya utambulisho wa uraia kwa SMS 2031 for ID jaribuni kuingiza hizo no tuone kama litatokea jina lake

Soma tena clarification ya Gwajima jana, you are completely out of order!
 
Kwa aibu hii, ningekuwa Kova ningeomba likizo nipotee kwa muda mpaka hili vumbi litulie! Hivi hata kama wanataka kudanganya kwa nini wanadanganya kijinga kiasi hicho? Yaani akili yao yote iko kwenye kuitoa serikali lawamani kiasi kwamba wanashindwa hata kujipanga jinsi ya kujinasua.

Ndugu yangu hata Mungu anayaona Mateso ya watu wake wa Tanzania, hivyo hakuna jambo watalifanya gizani ambalo halitakuwa wazi, bado kitambo kidogo tu yote yatakuwa dhahiri.
 
Mhm! kwa kuwa wameanza kumchezea Mungu katika Mambo yao. Mungu hataacha jina lake likatukanwa. Mchezo ndio umeanza tutajua yote. Dr Ulimboka alitegemewa ameshakufa. Mungu aliamua tu kumweka hai. Madoctor wana madai ambayo ukiyachunguza yana ukweli kuhusu kuwatibu watanzania kwa uhakika. Hivi kama kuna huduma za kutosha na vifaa, mbona Madoctor walishindwa kuokoa maisha ya mwenzao kwa kutumia vifaa vilivyopo kumtibu mpaka kuamua kumpeleka nje ya nchi. Tafakari hilo.
Kama serkali inadai hospitali zina vifaa, mbona hawaendi katika hizo hospitali.
JIbu lipo wazi kuwa watu wengi ukutwa na mauti kwa kukosa huduma.
Waliopotelewa na ndugu zao kwa mapungufu yao, vilio vyao, Mungu amevisikia na kuamua kuweka haya wazi.

Maovu yakizidi mwisho wake.
Tulieni tu Mungu amesikia vilio vya watanzania, wataangaika sana, lakini wahusika wote, hata wale wanaofanya uzembe wa kuhakikisha huduma zinarejeshwa watalipa hata cent yao mwisho
 
Gwajima ndo nani hadi asikilizwe akamatwe kwa kosa lipi ushahidi upi acheni kufikiri kama mmevuta ndumu na kulewa viroba
 
Yaani intelijensia kanda maalum=kukamata asie na hatia shame on polccm and kova,msangi hakwepi tuhuma sheri ifuate mkondo wake
 
hakuna kitu chochote kinachosimama kwenye misingi ya uongo. Ni suala la muda tu kabla ya kila mtu kubeba furushi lake
 
Back
Top Bottom