Kiherehere
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 1,806
- 622
Huyu mchungaji baada ya kuingia kwenye hii vita inabidi awe mwangalifu sana. Anaweza hata kubambikiwa madawa ya kulevya ili kujustify yale maneno ya 'dhaifu' aliyoyasema mbele ya viongozi wa dini...
Huyu jamaa nae mjanja...anayo inteligensia yake, ni mtoto wa mjini huyu....