Unajua mm bado sijaelewa, hawa jamaa wanasema walimkamata kanisani baada ya kupata taarifa toka kwa wasmaria wema, walinzi wa kanisa anasema walimpeleka polisi baada ya kuona ni mshari na hatari then wote wakakubaliana ni kichaa, wakati huohuo walinzi wanasema alikutwa na simu yenye ujumbe uliotumwa kwa no ambayo haikutajwa kuwa nimeshafika najaribu kuwazoea pia kakutwa na hati ya kusafiria ya dharura na kitambulisho cha uraia wa kenya Du!!!.
Maswali :kichaa gani anamiliki simu
Anajua kuitumia
Anatambua uwepo wa kitambulisho na matumizi ya hati ya kusafiria
Je walinzi wa kanisa waliviona hivyo vitu
MASWALI MENGI KULIKO MAJIBU, kwa mujibu wa utaratibu wa kenya unaweza ku confirm namba ya utambulisho wa uraia kwa SMS 2031 for ID jaribuni kuingiza hizo no tuone kama litatokea jina lake