Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 61,134 Reaction score 124,719 Aug 13, 2019 #61 Extrovert said: Mahindi hapana aisee, shuka litalalika hapo naiti meya asee? Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23]
Extrovert said: Mahindi hapana aisee, shuka litalalika hapo naiti meya asee? Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23]
U US Navy Senior Member Joined Jul 24, 2019 Posts 116 Reaction score 93 Aug 13, 2019 #62 lhera said: Me Click to expand... Basi nisamehe mkuu
Proved JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 36,949 Reaction score 49,459 Aug 13, 2019 #63 Lets Share said: Mkuu unaruhusiwa kumfundisha mke wako namna nzuri ya kuandaa chakula unachokipenda... Ishu inakuja labda kama ni mbishi hataki kujifunza.. Click to expand... 👍
Lets Share said: Mkuu unaruhusiwa kumfundisha mke wako namna nzuri ya kuandaa chakula unachokipenda... Ishu inakuja labda kama ni mbishi hataki kujifunza.. Click to expand... 👍
R Rubuye123 JF-Expert Member Joined Dec 18, 2009 Posts 2,379 Reaction score 1,946 Aug 14, 2019 #64 mangatara said: Huyo si mdada. Anakula nini? Hata kama kazaliwa maternity ward bado kuna siku aliwahi tamani kula anachokipenda. Je, alikinunua wapi? Msomeshe hadi akuelewe Click to expand... Mama angu wee...ujana umetukutanisha na vingi acha tu.
mangatara said: Huyo si mdada. Anakula nini? Hata kama kazaliwa maternity ward bado kuna siku aliwahi tamani kula anachokipenda. Je, alikinunua wapi? Msomeshe hadi akuelewe Click to expand... Mama angu wee...ujana umetukutanisha na vingi acha tu.
M mangatara JF-Expert Member Joined Jul 6, 2012 Posts 14,517 Reaction score 14,169 Aug 14, 2019 #65 Rubuye123 said: Mama angu wee...ujana umetukutanisha na vingi acha tu. Click to expand... Ujana nao una mwisho. Kila kukicha ni uzee umeingia kwako
Rubuye123 said: Mama angu wee...ujana umetukutanisha na vingi acha tu. Click to expand... Ujana nao una mwisho. Kila kukicha ni uzee umeingia kwako
google helper JF-Expert Member Joined Jun 11, 2013 Posts 9,667 Reaction score 13,872 Aug 14, 2019 #66 Mtoto halali na hela said: Mwanamke mwenye miaka 18 asiyejua kupika ni ngumu kujifunza Click to expand... hatojua tena ni kama kufunza mbwa mzee
Mtoto halali na hela said: Mwanamke mwenye miaka 18 asiyejua kupika ni ngumu kujifunza Click to expand... hatojua tena ni kama kufunza mbwa mzee