Guys, is this real?

hayo ni mawazo yako tu...unajua ni afrika pekee watu huwa tunatumia muda mwingi kujipikilisha kuliko sehemu...nyingine yoyote
 
Fatuma hata umpe chakula kidogo anakipika kwa ladha nzuri.
Sisi tunaangalia ujuaji ufundi wa kupika hatuangalii wingi.
Jessica pamoja na kubajeti kwake hajui kupika.
 
Marry Fatima, and I guarantee you withing 5 years you will be treating Diabetes and High Blood Pressure
 
Mi mbka leo bado najifunza kupika mapishi ni mengi..ila vitu common najuaa
Watu wanatofautiana malezi, wewe utaona hajui kupika yeye anajiona yuko vizuri kwa hiyo ni suala la kuelekezana mkuu..
 
hayo ni mawazo yako tu...unajua ni afrika pekee watu huwa tunatumia muda mwingi kujipikilisha kuliko sehemu...nyingine yoyote
It's our culture. Hata waarab na Wahindi wanapika sana tu ati Afrika pekee. Na south Africans mbona hawapendi kupika?
 
Sasa kama havipo vingi vya kupikwa utaikuta tu meza ameipendezesha kwa nini mkuu?

Weka kila kitu ndani kisha muelimishane namna ya kula.
Upo sahihi
 
Mi mbka leo bado najifunza kupika mapishi ni mengi..ila vitu common najuaa
Sahihi kabisa, upishi ni somo pana sana huwezi kujihakikishia moja kwa moja kwamba unajua kipika, kuna kipindi nilikaa na mshikaji anapenda sana kupika japo mpaka aamue daah yule jamaa hafai ni anapika kuna siku nilishangaa anatumia cocacola kama kiungo nikaelewa upishi na Ladha ni ishu pana
 
dah ndo ivo.
 
We nae usihamie kabisa huko Tanga??? Mtuache Wachagga na the so called "mapungufu" yetu!!!!!
Hamna mapungufu Lizzy. Ni matani yetu tu ya kikabila kama ilivyo kawaida yetu Watanzania. Nyerere alitulea hivyo - kutaniana, kucheka pamoja na kupendana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Weeee kuna vidada HAVIJUI KUPIKA KABISAAAAA.yaani kama unapenda kula kama mimi aisee umeingia cha kike.
Huyo si mdada. Anakula nini? Hata kama kazaliwa maternity ward bado kuna siku aliwahi tamani kula anachokipenda. Je, alikinunua wapi? Msomeshe hadi akuelewe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…