lhera
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 1,835
- 3,603
Usichukulie serious nime komenti tu, wewe unafikili vimeletwa hapa ntachagua Marrying Jessica! SubutuHauko serious mkuu
Usichukulie serious nime komenti tu, wewe unafikili vimeletwa hapa ntachagua Marrying Jessica! SubutuHauko serious mkuu
Si unajua nyumbani kwanza "Kilimanjaro"Msotojo tunapenda sote. Mbona tunapisha a KFC kila siku?
Kwani mkuu Wewe ni Me au Ke?!!Usichukulie serious nime komenti tu, wewe unafikili vimeletwa hapa ntachagua Marrying Jessica! Subutu
Anataka sasa kujifunza bora umfundishe housegirlMkuu unaruhusiwa kumfundisha mke wako namna nzuri ya kuandaa chakula unachokipenda...
Ishu inakuja labda kama ni mbishi hataki kujifunza..
MeKwani mkuu Wewe ni Me au Ke?!!
Fatuma hata umpe chakula kidogo anakipika kwa ladha nzuri.Fatma Hana uchungu nazo Mana nahisi Ni mother house wale watu wa kuletewa
.Jessica I think anashiriki katika mchakato wa kupata noti hivyo ana displine na Pesa
Sasa hayo mavyakula yote so ufujaji wa hela au ndo uwaifu material ,Kama huo ndo uwaifu material Basi niondoeni
Kila kitu lazima kiwe na kiasi ,uwezi Pika mavyakula yote hayo kwenye familia ya watu watatu kabisa utakuwa ujielewi
Nitagieni yule kijana anaelalamikia mchumba mfujaji
Marry Fatima, and I guarantee you withing 5 years you will be treating Diabetes and High Blood PressureI don't wanna put more words. Just take a look at the picture and give your comments as far as Tanzanian context is concerned. Naonaga picture ukioa Haika wa Marangu...na ukioa Mwantumu wa Tanga jiandae kupata ladha tofauti jikoni.
Disclaimer: Sipondei wachaga wala wakaazi wa mkoa wa K'njaro wala sina upendeleo na Tanga. Ni mifano hai tu ili tuelewane.
Samahani atakayekwazika.View attachment 1179424
U may marry Jessica and still get diabetes and hypertension...your life style and risk factors determine how u live or die.Marry Fatima, and I guarantee you withing 5 years you will be treating Diabetes and High Blood Pressure
Watu wanatofautiana malezi, wewe utaona hajui kupika yeye anajiona yuko vizuri kwa hiyo ni suala la kuelekezana mkuu..
It's our culture. Hata waarab na Wahindi wanapika sana tu ati Afrika pekee. Na south Africans mbona hawapendi kupika?hayo ni mawazo yako tu...unajua ni afrika pekee watu huwa tunatumia muda mwingi kujipikilisha kuliko sehemu...nyingine yoyote
Upo sahihiSasa kama havipo vingi vya kupikwa utaikuta tu meza ameipendezesha kwa nini mkuu?
Weka kila kitu ndani kisha muelimishane namna ya kula.
Sahihi kabisa, upishi ni somo pana sana huwezi kujihakikishia moja kwa moja kwamba unajua kipika, kuna kipindi nilikaa na mshikaji anapenda sana kupika japo mpaka aamue daah yule jamaa hafai ni anapika kuna siku nilishangaa anatumia cocacola kama kiungo nikaelewa upishi na Ladha ni ishu panaMi mbka leo bado najifunza kupika mapishi ni mengi..ila vitu common najuaa
dah ndo ivo.Sahihi kabisa, upishi ni somo pana sana huwezi kujihakikishia moja kwa moja kwamba unajua kipika, kuna kipindi nilikaa na mshikaji anapenda sana kupika japo mpaka aamue daah yule jamaa hafai ni anapika kuna siku nilishangaa anatumia cocacola kama kiungo nikaelewa upishi na Ladha ni ishu pana
Hamna mapungufu Lizzy. Ni matani yetu tu ya kikabila kama ilivyo kawaida yetu Watanzania. Nyerere alitulea hivyo - kutaniana, kucheka pamoja na kupendanaWe nae usihamie kabisa huko Tanga??? Mtuache Wachagga na the so called "mapungufu" yetu!!!!!
Huyo si mdada. Anakula nini? Hata kama kazaliwa maternity ward bado kuna siku aliwahi tamani kula anachokipenda. Je, alikinunua wapi? Msomeshe hadi akueleweWeeee kuna vidada HAVIJUI KUPIKA KABISAAAAA.yaani kama unapenda kula kama mimi aisee umeingia cha kike.
au sio mankaMarrying Jessica ndio mpango hvyo Marrying Fatima ni kujipandisha BP
Mahindi hapana aisee, shuka litalalika hapo naiti meya asee?Team Jessica hapa