Bangi haina shida, sigara ndio mbaya zaidiWanakula bangi hao sio poa
Wamasai mkuu usiwasahau,Arusha ni mji umebeba warembo wa kirangi , kinyaturu kinyeramba, ki Iraq, kichaga , kisonjo ,kipare , kimangati , kimeru , ambapo inasemekana ndio makabila yenye wadada warembo pia
Kabisa na wamasai kina irine uwoyaWamasai mkuu usiwasahau,
Shisha inavutwa zaidi na Waswahili DarTatizo wanavuta bange na shisha😀
Watoto wakali halafu hawana makuu, huko ni mchanganyiko, Chagani Maasai, Meru na Iraqw, aisee ni wakali ndo maana mm nasemaga Arusha kuhama lbd nihame now niwakute huko nitahamia.Aisee huu mji ni una warembo vibaya mno. Nipo hapa stendi ndogo jirani na Kimahama yaani shingo inataka kukatika sijui ni wa mkoa gani hawa mabinti wa Tanzania, warefu weupe/maji ya kunde ngozi nzuri,African figure aloo unaweza kuuza ukoo. Jamani wanadaslama huko nitarudi in two weeks, sirudi mapema huko kunaboa!
Pc za chuga pia zinavuta + miraaShisha inavutwa zaidi na Waswahili Dar
Hata za Dar na Mwanza zinavuta pia.Pc za chuga pia zinavuta + miraa