Guu la Matege maashaullah

Guu la Matege maashaullah

Wenye vipaji vyao wameshapata ishara hapo
 
Wala usitumie nguvu kubwa nitafutie mrembo mmoja niongozane nae......ili niondoke kwa amani....

Chukua kitu hicho mtakuwadiana wenyewe 1417529107128.jpg
 
Last edited by a moderator:
Unajua umeongea hayo maneno mbele ya shemeji yangu atiii!!Ni bora ungeniambilia chamber kuliko hapa atiii!!!!


Ni mwanaume bana na simba akizidiwa na njaa hata majani ni msosi kwake na mwanaume akizidiwa ana njia zake za kumaliz ahilo Honey Faith
 
Last edited by a moderator:
Ni mwanaume bana na simba akizidiwa na njaa hata majani ni msosi kwake na mwanaume akizidiwa ana njia zake za kumaliz ahilo Honey Faith

Nazidi kuona aibu bora tu niondoke maana ni jambo la kustaajabisha kumuona simba anakula majani kwa wanyama wote wale yani inamaana anakuwa amekosa hata sungura?????
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom