Honey Faith wataacha kazi zao bure waje huku na watasababisha jam bana hawana maana wale akina MO11, Kibo10 na utafiti na kabanga
Usiponikaribisha najikaribisha mwenyewe.......Hahahahaaa siku nyingine ukinikuta ofisini sikukaribishi ng'oti
Kama wewe navyokuona umeacha kazi upo unashangaa mguu shauri zako uje ufukuzwe kazi Mr Rocky
Unatuonesha makanyagio halafu unasema matege!
ehee!!!! Kumbe umezaliwa leo HEPI BETHIDEI Miss Chagga
Wala usitumie nguvu kubwa nitafutie mrembo mmoja niongozane nae......ili niondoke kwa amani....Nakuitia geshi la porisi na mgambo wa jiji na sungusungu wa mtaa