Leo JWTZ limelinda heshima yake na kuthibitisha uimara wake

Leo JWTZ limelinda heshima yake na kuthibitisha uimara wake

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,707
Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ni chombo cha wananchi. Leo, limethibitisha kuwa ni jeshi la wananchi na si la watawala. Bila aibu, woga wala ukatili, kwa amani na furaha, limesimama na wananchi kiasi cha kushangliwa. Sijui, kwa nilichoona, Sami anangoja nini? Kongole jeshi letu. Shilkilia msimamo huo hadi kieleweke na ikibidi tieni guu ndani. Vikaragosi kama Mafwele, Muliro na Wambura vifie jela kwa makosa ya uhaini na mauaji mbali na uhujumu taifa. Kujionea, TAFADHALI BONYEZA HAPA na HAPA. Napendekeza Idi Amin Mama akiondolewa na vijipolisi vyote vifutwe kazi waajiriwe wapya. Nini ushauri wako?
 
Respect where respect is due!

Sikuona popote pale ambapo JWTZ lilikiuka haki za Mtanzania.

Kwa hilo, well done.

But in the long run, the jury is still out.
 
Respect where respect is due!

Sikuona popote pale ambapo JWTZ lilikiuka haki za Mtanzania.

Kwa hilo, well done.

But in the long run, the jury is still out.
JWTZ kazi yake ni kuwalinda Watanzania dhidi ya watu wa nje.

Kazi yao kimsingi ni kulinda mipaka ya nchi humu ndani ni kazi ya Polisi.

Yani hata kuwa parade vile mitaani haikutakiwa ile ni kazi ya Polisi na FFU.
 
Screenshot_20251029_164200_Instagram.jpg
 
Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ni chombo cha wananchi. Leo, limethibitisha kuwa ni jeshi la wananchi na si la watawala. Bila aibu, woga wala ukatili, kwa amani na furaha, limesimama na wananchi kiasi cha kushangliwa.
Usiishie hapo kwa uchambuzi wako. Eleza pia akina Mulilo waliokuwa wakijiapiza kuua na kuvunja waTanzania, hiyo kazi yao wameifikisha wapi?
Ni ishara tosha kabisa walionywa wasithubutu kufanya uovu huo kwa waTanzania.
 
JWTZ kazi yake ni kuwalinda Watanzania dhidi ya watu wa nje.

Kazi yao kimsingi ni kulinda mipaka ya nchi humu ndani ni kazi ya Polisi.

Yani hata kuwa parade vile mitaani haikutakiwa ile ni kazi ya Polisi na FFU.
I know that.

But in most banana republics, we know that’s not the case.

Ndo maana kwa hilo la leo/ jana, nimewapa kongole.

Kwa yajayo, tutaona itakavyokuwa.

Binafsi bado nina imani ndogo sana na hilo jeshi.

Sidhani kama wanaweza kukaidi amri ambayo si halali kisheria. Amri inayokiuka katiba ya nchi.

Tumesikia jinsi majenerali wa Marekani walivyokuwa wamejiandaa kukaidi amri haramu toka kwa Trump endapo ingetokea ametoa amri kama hiyo.

Angalia dakika ya 3:25.


View: https://youtu.be/WGqqXBE2KdE?si=nmGLO5dkanpiqXmx

Hawa wa JWTZ wanaweza kukaidi amri haramu toka kwa Samia? That is if she’s the one calling the shots ‘cause I have a feeling she’s just a puppet on a string….
 
Back
Top Bottom