Guru la Sheria (Halima Mdee) ameishinda Kamati Kuu ya CHADEMA

GURU LA SHERIA,HALIMA MDEE AMEISHINDA KAMATI KUU YA CHADEMA.

Leo 19:25hrs 28/11/2020

Guru la Sheria nchini Tanzania, Halima Mdee anaelekea Phase IV ya "the art of political war" kama inavyotafsiriwa kwenye stage 10 za Communist party of China,wakati Kamati Kuu ya CHADEMA ikibakia phase III ya "the art of political war" baada ya kuchakaa kwa kupigwa kwa knock out na kuomba washindwe kwa kuwa hawajui wanahitaji nini na wafanye nini.

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe alitangaza kuwavua nyazifa zote Uongozi wa juu wa Bawacha na Kamati Kuu kuazimia kwa kauli moja kuwavua Uanachama Wabunge 19 walioapishwa Bungeni kuwa wabunge wa Viti maalum kupitia CHADEMA

Najua hata beberu uchwara wa ubelilgiji Tindu Lissu anaelewa vizuri athari ya kutokufuata principle kuu tatu katika maamuzi yoyote yaliyofikiwa na chombo chochote cha kiutawala kinachosikiliza kesi kwa kufuata kanuni za haki na madhara ya kutozifuata hizo kanuni kama ilivyofanywa na Kamati Kuu ya CHADEMA

1. NEMO JUDEX INCAUSA SUA

2.AUDI ALTERAM PARTEM

3.NULUM ARBITRIUM SINE RATIONIBUS

Niseme tu Wabunge 19 wa Viti maalum kwa mujibu wa sheria kupitia CHADEMA kama wakienda mahakamani kwa ajili ya judicial review wanashinda asubuhi na mapema tena saa mbili asubuhi

Ukisoma vizuri theory ya aud alteram partem suala la kupewa muda wa kutosha wa kuandaa utetezi pale unapofikishwa kwenye judicial au quasi judicial ndio msingi wa hiyo rule,Hivyo basi kitendo cha wabunge 19 kuimba haki hiyo ya msingi tena kwa maandishi ni goli la kwanza hasa kwa Wanawake wote nchini,

Kuteuliwa kwao halafu na kuapishwa halafu kamati kuu ya Chadema ikapinga,ikawaita kwenda kujieleza na wao wakaamua ku mute bila hata ya kuwajibu sababu za kufanyika hiyo haki ambayo kimsingi hawakupaswa hata kuimba bali wangepewa,lakini kinyume chake Kamati Kuu ikakaa kwenye hotel ya kifahari wakajisikilizisha na kuandaa hukumu in absentia bila kuwepo wanaoitwa wakosaji,hili ni goli la pili,maamuzi yatafyekelewa mbali na mahakama asubuhi na mapema tena saa mbili asubuhi.

Maaamuzi ya kikao hicho nibatiri maana walengwa hawakupata mda wa kujieleza. Na sababu za kutokufika kwao ni sahihi kwa kua walitishiwa na matamushi ya viongozi wao mfano akina pambalu na mnyika. Pili eneo la mkutano halikua salama kwao kwakua kulijitokeza kikundi cha waandamanaji walioshika mabango yenye matusi juu kwa kuwaita wao nikorona covid 19.

Kamati kuu imepewa barua ya sababu,hivyo ilipaswa kuheshimu na iwe vumilivu,kwa kuwavua uanachama wakinamama hao nikuwaonea kwa mjibu wa katiba zote,ya Chama na kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Ni kweli Chama chochote cha siasa kina autonomy ya kuendesha mambo kwa katiba ya chama,tunaweza kusema tuangalie katiba ya chama,kwa mfano tu, katiba ya chama Cha Chadema ikisema Mwenyekiti anaweza kumfukuza mwanachama yeyote bila mjadala, na wanachama wakakubali hilo na kujiunga na chama, siku Mwenyekiti akimfukuza mtu uanachama, bila mjadala, mwanachama hatakiwi kulalamika mahakamani,Maana aliikubali katiba ya chama,Sasa katiba ya chama inasemaje? Kama inasema hivi je huu si udikteta?

Kuhusu unlimited jurisdiction, tuchukue mfano kuichunguza unlimited jurisdiction,Mahakama kuu ina unlimited jurisdiction kwenye masuala ya judicial review pale ambapo mtu anakwenda kwake kudai haki msingi baada ya kuvunjwa na judicial au administrative body yoyote iliyokuwa inafanya quasi judicial function na ina aibu sana na haitaki kuwekewa kikwazo chochote cha derivative au oyster claws kama hili suala unalolisema la party autonomy,ila kwa suala hili la Wabunge 19,wakienda Mahakamani wanashinda asubuhi na Mapema tena saa mbili asubuhi.

Nimalizie kwa kusema bora kuwa na Chama kibovu cha Kijamaa kuliko kuwa na Chama kibovu cha Kiliberali, kumbe CHADEMA kingeingia madarakani tungeshuhudia ukiukwaji mkubwa sana wa haki za Binadamu kuliko ule wa Bokasa na Iddi Amini. Kama ni kweli ukifukuzwa CHADEMA basi usiende Mahakamani,basi Mbowe ni Dikteta Mbaya kuliko shetani, hebu fikiri Ushenzi na ubabe alio nao Mlevi, Mzinzi, Mhuni, Gaidi na Muuaji na Mwongo angekua ndio mwenyekiti wa Chama kilichoshika Dola wasaliti wangefanywaje kama sio kunyongwa hadharani?

Kumbe tuna chama cha kiriberali na kidemokrasia chenye itikadi kali kuliko ya makundi ya kigaidi?
Kumbe ile misimamo yao ya kuiga China kuwanyonga wenye kukiuka maadili bado wanayo halafu wanasema kuwa wao ni Chama mbadala kwa CCM? Demokrasia ipi wanaihubiri isiyofuata misingi ya haki za watu na kuwasikiliza? Hivi walishindwa nini kusikiliza ombi la kina Mdee la kupewa siku tano zaidi ili wajiandae, hata kama wangeenda mahakamani ?
Huo ungekua ni mfano mzuri wa kuuonyesha ulimwengu kuwa CHADEMA ni chama kinachojali haki, uhuru na demokrasia kwa vitendo, chama kinachowafanyia unyama watu waliokipigania kwa Jasho na Damu kitakuwaje kwa wananchi wengine ambao sio wanachama wao na wanawapinga wazi wazi? Kumbe CHADEMA kingeingia kadarakani kingeweza kuwafunga na hata kuwanyonga Wapinzania wao wote bila hata kuwasikiliza?

Hivi ni akina Mama gani watakiamini tena Chama Cha Chadema kisichothamini mchango mkubwa walioutoa wale akina Mama 19? yakiwemo majina nguli kabisa,magalacha, wakongwe waliokomaa ndani ya Chadema, majina kama Halima Mdee,Grace Tendega, Ester Matiko, Cecilia Pareso, Ester Bulaya, Agnesta Kaiza, Nusrat Hanje, Jesca Kishoa, Hawa Mwaifunga, Tunza Malapo, Felister Njau, Naghenjwa Kaboyoka, Sophia Mwakagenda, Kunti Majala, Stela Fiayo, Anatropia Theonest, Salome Makamba, Conchesta Rwamlaza na Asia Mohammed.

Kwa nini hawakusikilizwa ?
Mbowe hana dola anakua mbabe kiasi hicho, Je, siku akishika dola itakuaje? CCM imekua ndio kimbilio la Watu walioumizwa kisiasa tu ndani ya CHADEMA lakini hawaoni kuwa huko ni kukibomoa chama.

Silinde alikua na kosa gani kutofautiana msimamo tu wa kuwawakilisha wananchi ndani ya bunge kipindi cha Korona ikawa ndio sababu ya kumvua uanachama ili tu asujudu mbele ya Mbowe!
Rwakatare alikosa nini?

Selasini, Komu, Kubeneaa na wengine wengi ni Chama kisichokua na uvumilivu hata kidogo? Dunia tusipokua tunavumiliana utakua ni uwanja wa vita.
Uvumilivu ndicho kipimo cha ukomavu wa kisiasa.Nikiwa Mbobezi wa masuala ya kiutawala,niwaambie Chadema kwamba failure kubwa sana ndani ya Chadema ni ile ya kutokuwa na conflict resolution strategies nzuri,ndiyo maana imekuwa inamegeka vipande kidogo kidogo, Timu ya Samson Mwigamba, Zitto kabwe na Kitila Mkumbo ilianza kumegeka, halafu ikaja timu ya Daktari Wilbroad Slaa, na pigo kubwa likawa ni lile la timu ya Mh Edward Lowassa na Mh Frederick Sumaye,

Sasa litakuja hili la timu ya Baraza la Wanawake wa Chadema, Bawacha,Ningekuwa nimeazimwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA kwa muda kwanza ningemzuia Katibu Mkuu,Bwana John Mnyika asiwashe taa kali kwa Chadema kwani Bwana Mnyika aliiweka Chadema kwenye spotlight kwa kuwatishia akina mama na akina Mama hao wa Bawacha wakaanza kuigopa Chadema hata wakashindwa kufika kwenye kikao, kama Bwana Mnyika asingewatisha Wakina Mama wale 19 basi wangefika kikaoni,wangeshughulika ndani ya chama kutafuta jibu lake mwafaka hata kabla ya kuita waandishi wa habari.

Nikiwa Mbobezi wa masuala ya kiutawala,niwaambie Chadema kwamba failure kubwa sana ndani ya Chadema ni ile ya kutokuwa na conflict resolution strategies nzuri,ndiyo maana imekuwa inamegeka vipande kidogo kidogo, Timu ya Samson Mwigamba, Zitto kabwe na Kitila Mkumbo ilianza kumegeka, halafu ikaja timu ya Daktari Wilbroad Slaa, na pigo kubwa likawa ni lile la timu ya Mh Edward Lowassa na Mh Frederick Sumaye,Sasa litakuja hili la timu ya Baraza la Wanawake wa Chadema, Bawacha,Ningekuwa nimeazimwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA kwa muda kwanza ningemzuia Katibu Mkuu,Bwana John Mnyika asiwashe taa kali kwa Chadema kwani Bwana Mnyika aliiweka Chadema kwenye spotlight kwa kuwatishia akina mama na akina Mama hao wa Bawacha wakaanza kuigopa Chadema hata wakashindwa kufika kwenye kikao, kama Bwana Mnyika asingewatisha Wakina Mama wale 19 basi wangefika kikaoni,wangeshughulika ndani ya chama kutafuta jibu lake mwafaka hata kabla ya kuita waandishi wa habari.

Nikiishia hapa,Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854

-Bachelor of Business Administration in International Business.
-Master of Leadership and Management.

Recent Publication;
-Assessment on the Effects of Micro-Financing on Poverty Reduction.
Mbulula wa ccm
 
Hata kama utasomea Masters ya Presidency huwezi kuwa Rais ni kama ambavyo umesoma Shahada ya Utawala na Uzamili juu ya Uongozi HAIKUFANYI kuwa mchambuzi mzuri!

Ni upuuzi tu ulioandika ili uonekane na kuitwa pale Lumumba!
Huyu kijana namfahamu mno ni empty minded na mwepesi mno kichwani,Nimesoma naye O - level alitakiwa amalize form 4 mwaka 2001 lakini alirudia darasa baada ya kufeli karibia masomo yote akamaliza 2002 . Hata elimu hiyo ya Masters ni ya kuungaunga mno ni mtoto wa Oscar Mloka akiyekuwa mbunge wa Morogoro mjini 2000 mpaka 2005. Angekuwa smart Upstairs kwa jinsi navyomfahamu baba yake angekuwa mbali sana ila kaishia kuandika upuuxi kusaka uteuzi.
 
USSR, umekosea sana. Omba toba, MUNGU mwenye rehema atakusamehe. Esta na Modekai walikuwa pamoja kuupinga waraka ma Naamani. Hawakuwa maadui. Wewe unampigania shetani kwa kutumia Neno la Mungu, kiupotoshaji. Kilangila.
 
huwezi kunawa kabla babaako hajanawa hio sio adabu hao covid wanajiona wako juu ila kimsingi imeisha hio waende tu bungeni wakawasemee Kijani wenzao..na hata wakiforce kurudi hatuna imani nao so easy tu waamshe
 
-Bachelor of Business Administration in International Business.
-Master of Leadership and Management.

Recent Publication;
-Assessment on the Effects of Micro-Financing on Poverty Reduction.
Bila shaka BBA na MA yako uliviokota jalalani. Kwa pumba hizi umejidhalilisha. Huwezi kupata uteuzi wowote. Kilangila.
 
Andiko lenye akili sana.

Mwenye kutaka kuelew na kujifunza siasa za ndani ya vyama ni budi akakutafuta akapata darasa
 
Huyu kijana namfahamu mno ni empty minded na mwepesi mno kichwani,Nimesoma naye O - level alitakiwa amalize form 4 mwaka 2001 lakini alirudia darasa baada ya kufeli karibia masomo yote akamaliza 2002 . Hata elimu hiyo ya Masters ni ya kuungaunga mno ni mtoto wa Oscar Mloka akiyekuwa mbunge wa Morogoro mjini 2000 mpaka 2005. Angekuwa smart Upstairs kwa jinsi navyomfahamu baba yake angekuwa mbali sana ila kaishia kuandika upuuxi kusaka uteuzi.
Ingawaje simjui lakini nakubaliana na wewe!! Jamaa ana moyo sana wa kuandika/kuanzisha threads huku akitaka watu waamini kwamba yeye ni "mbobezi" fulani hivi!

Lakini pamoja na majigambo yote hayo, nimesoma mwanzo mwisho kutafuta alipotaja vifungu vya katiba vilivyovunjwa lakini hajaandika popote!!! Leo ndo nimehitimisha kwamba mada zake hazina weledi wala uelewa wowote wa anachoandika ingawaje uandishi wake ungetarajia uone mambo kama hayo kwa sababu anatumia nguvu mno... anafikia hadi kuandika contacts wakati contents zake hazina mashiko yoyote!
 
Hata kama utasomea Masters ya Presidency huwezi kuwa Rais ni kama ambavyo umesoma Shahada ya Utawala na Uzamili juu ya Uongozi HAIKUFANYI kuwa mchambuzi mzuri!

Ni upuuzi tu ulioandika ili uonekane na kuitwa pale Lumumba!

Mkuu, binadamu wana mbinu lukuki za kujitangaza wakumbukwe kwenye kiti cha enzi - crusade yake ya kutaka ku- inflate Halima's importance ndani ya CHADEMA - ni obvious lengo la mleta mada ni kujaribu ku-scare a living daylights out of viongozi wa CHADEMA and 4 what if I may ask? HALIMA ni lawyer alright, lakini hilo alimfanyi awe omnipotent,omnipresent popote aendapo.
 
Nashangaaga Sana mtu anapodanganywa kwamba anaweza pambana na taasisisi, ni uwongo mkubwa.Mwanachama hawezi kupambana na chama chake Kisha akashinda ni uwongo.Iwe ccm, chadema nk.
 
Kuwaambia ukweli hawa NYUMBU ni sawa na kwenda dukani kununua MATUSI.
 
Muulize Lowassa kama alipewa nafasi ya kujieleza na kamati ya Richmond!
Na UP alinyang'anywa mpaka leo!
Halafuu, mwenyekiti wenu wa ccm si alisema wapinzani wamemkwamisha sana kwenye shughuli za maendeleo? Mnawapigania wa nini sasa wapinzani?
Vituko hii nchi balaa
 
GURU LA SHERIA,HALIMA MDEE AMEISHINDA KAMATI KUU YA CHADEMA.

Leo 19:25hrs 28/11/2020

Guru la Sheria nchini Tanzania, Halima Mdee anaelekea Phase IV ya "the art of political war" kama inavyotafsiriwa kwenye stage 10 za Communist party of China,wakati Kamati Kuu ya CHADEMA ikibakia phase III ya "the art of political war" baada ya kuchakaa kwa kupigwa kwa knock out na kuomba washindwe kwa kuwa hawajui wanahitaji nini na wafanye nini.

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe alitangaza kuwavua nyazifa zote Uongozi wa juu wa Bawacha na Kamati Kuu kuazimia kwa kauli moja kuwavua Uanachama Wabunge 19 walioapishwa Bungeni kuwa wabunge wa Viti maalum kupitia CHADEMA

Najua hata beberu uchwara wa ubelilgiji Tindu Lissu anaelewa vizuri athari ya kutokufuata principle kuu tatu katika maamuzi yoyote yaliyofikiwa na chombo chochote cha kiutawala kinachosikiliza kesi kwa kufuata kanuni za haki na madhara ya kutozifuata hizo kanuni kama ilivyofanywa na Kamati Kuu ya CHADEMA

1. NEMO JUDEX INCAUSA SUA

2.AUDI ALTERAM PARTEM

3.NULUM ARBITRIUM SINE RATIONIBUS

Niseme tu Wabunge 19 wa Viti maalum kwa mujibu wa sheria kupitia CHADEMA kama wakienda mahakamani kwa ajili ya judicial review wanashinda asubuhi na mapema tena saa mbili asubuhi

Ukisoma vizuri theory ya aud alteram partem suala la kupewa muda wa kutosha wa kuandaa utetezi pale unapofikishwa kwenye judicial au quasi judicial ndio msingi wa hiyo rule,Hivyo basi kitendo cha wabunge 19 kuimba haki hiyo ya msingi tena kwa maandishi ni goli la kwanza hasa kwa Wanawake wote nchini,

Kuteuliwa kwao halafu na kuapishwa halafu kamati kuu ya Chadema ikapinga,ikawaita kwenda kujieleza na wao wakaamua ku mute bila hata ya kuwajibu sababu za kufanyika hiyo haki ambayo kimsingi hawakupaswa hata kuimba bali wangepewa,lakini kinyume chake Kamati Kuu ikakaa kwenye hotel ya kifahari wakajisikilizisha na kuandaa hukumu in absentia bila kuwepo wanaoitwa wakosaji,hili ni goli la pili,maamuzi yatafyekelewa mbali na mahakama asubuhi na mapema tena saa mbili asubuhi.

Maaamuzi ya kikao hicho nibatiri maana walengwa hawakupata mda wa kujieleza. Na sababu za kutokufika kwao ni sahihi kwa kua walitishiwa na matamushi ya viongozi wao mfano akina pambalu na mnyika. Pili eneo la mkutano halikua salama kwao kwakua kulijitokeza kikundi cha waandamanaji walioshika mabango yenye matusi juu kwa kuwaita wao nikorona covid 19.

Kamati kuu imepewa barua ya sababu,hivyo ilipaswa kuheshimu na iwe vumilivu,kwa kuwavua uanachama wakinamama hao nikuwaonea kwa mjibu wa katiba zote,ya Chama na kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Ni kweli Chama chochote cha siasa kina autonomy ya kuendesha mambo kwa katiba ya chama,tunaweza kusema tuangalie katiba ya chama,kwa mfano tu, katiba ya chama Cha Chadema ikisema Mwenyekiti anaweza kumfukuza mwanachama yeyote bila mjadala, na wanachama wakakubali hilo na kujiunga na chama, siku Mwenyekiti akimfukuza mtu uanachama, bila mjadala, mwanachama hatakiwi kulalamika mahakamani,Maana aliikubali katiba ya chama,Sasa katiba ya chama inasemaje? Kama inasema hivi je huu si udikteta?

Kuhusu unlimited jurisdiction, tuchukue mfano kuichunguza unlimited jurisdiction,Mahakama kuu ina unlimited jurisdiction kwenye masuala ya judicial review pale ambapo mtu anakwenda kwake kudai haki msingi baada ya kuvunjwa na judicial au administrative body yoyote iliyokuwa inafanya quasi judicial function na ina aibu sana na haitaki kuwekewa kikwazo chochote cha derivative au oyster claws kama hili suala unalolisema la party autonomy,ila kwa suala hili la Wabunge 19,wakienda Mahakamani wanashinda asubuhi na Mapema tena saa mbili asubuhi.

Nimalizie kwa kusema bora kuwa na Chama kibovu cha Kijamaa kuliko kuwa na Chama kibovu cha Kiliberali, kumbe CHADEMA kingeingia madarakani tungeshuhudia ukiukwaji mkubwa sana wa haki za Binadamu kuliko ule wa Bokasa na Iddi Amini. Kama ni kweli ukifukuzwa CHADEMA basi usiende Mahakamani,basi Mbowe ni Dikteta Mbaya kuliko shetani, hebu fikiri Ushenzi na ubabe alio nao Mlevi, Mzinzi, Mhuni, Gaidi na Muuaji na Mwongo angekua ndio mwenyekiti wa Chama kilichoshika Dola wasaliti wangefanywaje kama sio kunyongwa hadharani?

Kumbe tuna chama cha kiriberali na kidemokrasia chenye itikadi kali kuliko ya makundi ya kigaidi?
Kumbe ile misimamo yao ya kuiga China kuwanyonga wenye kukiuka maadili bado wanayo halafu wanasema kuwa wao ni Chama mbadala kwa CCM? Demokrasia ipi wanaihubiri isiyofuata misingi ya haki za watu na kuwasikiliza? Hivi walishindwa nini kusikiliza ombi la kina Mdee la kupewa siku tano zaidi ili wajiandae, hata kama wangeenda mahakamani ?
Huo ungekua ni mfano mzuri wa kuuonyesha ulimwengu kuwa CHADEMA ni chama kinachojali haki, uhuru na demokrasia kwa vitendo, chama kinachowafanyia unyama watu waliokipigania kwa Jasho na Damu kitakuwaje kwa wananchi wengine ambao sio wanachama wao na wanawapinga wazi wazi? Kumbe CHADEMA kingeingia kadarakani kingeweza kuwafunga na hata kuwanyonga Wapinzania wao wote bila hata kuwasikiliza?

Hivi ni akina Mama gani watakiamini tena Chama Cha Chadema kisichothamini mchango mkubwa walioutoa wale akina Mama 19? yakiwemo majina nguli kabisa,magalacha, wakongwe waliokomaa ndani ya Chadema, majina kama Halima Mdee,Grace Tendega, Ester Matiko, Cecilia Pareso, Ester Bulaya, Agnesta Kaiza, Nusrat Hanje, Jesca Kishoa, Hawa Mwaifunga, Tunza Malapo, Felister Njau, Naghenjwa Kaboyoka, Sophia Mwakagenda, Kunti Majala, Stela Fiayo, Anatropia Theonest, Salome Makamba, Conchesta Rwamlaza na Asia Mohammed.

Kwa nini hawakusikilizwa ?
Mbowe hana dola anakua mbabe kiasi hicho, Je, siku akishika dola itakuaje? CCM imekua ndio kimbilio la Watu walioumizwa kisiasa tu ndani ya CHADEMA lakini hawaoni kuwa huko ni kukibomoa chama.

Silinde alikua na kosa gani kutofautiana msimamo tu wa kuwawakilisha wananchi ndani ya bunge kipindi cha Korona ikawa ndio sababu ya kumvua uanachama ili tu asujudu mbele ya Mbowe!
Rwakatare alikosa nini?

Selasini, Komu, Kubeneaa na wengine wengi ni Chama kisichokua na uvumilivu hata kidogo? Dunia tusipokua tunavumiliana utakua ni uwanja wa vita.
Uvumilivu ndicho kipimo cha ukomavu wa kisiasa.Nikiwa Mbobezi wa masuala ya kiutawala,niwaambie Chadema kwamba failure kubwa sana ndani ya Chadema ni ile ya kutokuwa na conflict resolution strategies nzuri,ndiyo maana imekuwa inamegeka vipande kidogo kidogo, Timu ya Samson Mwigamba, Zitto kabwe na Kitila Mkumbo ilianza kumegeka, halafu ikaja timu ya Daktari Wilbroad Slaa, na pigo kubwa likawa ni lile la timu ya Mh Edward Lowassa na Mh Frederick Sumaye,

Sasa litakuja hili la timu ya Baraza la Wanawake wa Chadema, Bawacha,Ningekuwa nimeazimwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA kwa muda kwanza ningemzuia Katibu Mkuu,Bwana John Mnyika asiwashe taa kali kwa Chadema kwani Bwana Mnyika aliiweka Chadema kwenye spotlight kwa kuwatishia akina mama na akina Mama hao wa Bawacha wakaanza kuigopa Chadema hata wakashindwa kufika kwenye kikao, kama Bwana Mnyika asingewatisha Wakina Mama wale 19 basi wangefika kikaoni,wangeshughulika ndani ya chama kutafuta jibu lake mwafaka hata kabla ya kuita waandishi wa habari.

Nikiwa Mbobezi wa masuala ya kiutawala,niwaambie Chadema kwamba failure kubwa sana ndani ya Chadema ni ile ya kutokuwa na conflict resolution strategies nzuri,ndiyo maana imekuwa inamegeka vipande kidogo kidogo, Timu ya Samson Mwigamba, Zitto kabwe na Kitila Mkumbo ilianza kumegeka, halafu ikaja timu ya Daktari Wilbroad Slaa, na pigo kubwa likawa ni lile la timu ya Mh Edward Lowassa na Mh Frederick Sumaye,Sasa litakuja hili la timu ya Baraza la Wanawake wa Chadema, Bawacha,Ningekuwa nimeazimwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA kwa muda kwanza ningemzuia Katibu Mkuu,Bwana John Mnyika asiwashe taa kali kwa Chadema kwani Bwana Mnyika aliiweka Chadema kwenye spotlight kwa kuwatishia akina mama na akina Mama hao wa Bawacha wakaanza kuigopa Chadema hata wakashindwa kufika kwenye kikao, kama Bwana Mnyika asingewatisha Wakina Mama wale 19 basi wangefika kikaoni,wangeshughulika ndani ya chama kutafuta jibu lake mwafaka hata kabla ya kuita waandishi wa habari.

Nikiishia hapa,Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854

-Bachelor of Business Administration in International Business.
-Master of Leadership and Management.

Recent Publication;
-Assessment on the Effects of Micro-Financing on Poverty Reduction.
Utopolo umeandika utopolo kama wewe
IMG_20201130_113356.jpeg
 
Back
Top Bottom