Gunmen Hunted After 12 Killed At Paris Magazine

Gunmen Hunted After 12 Killed At Paris Magazine

Status
Not open for further replies.
Mito ya Pombe Katika mbingu ya Waislam

Sura 47:15

Mfano wa Pepo walio ahidiwa wachamngu ina mito ya maji yasiyo vunda, na mito ya maziwa isiyo haribika ladha yake, na mito ya mvinyo yenye ladha kwa wanywao, na mito ya asali iliyo safishwa. Na wao humo watakuwa na kila namna ya matunda, na maghfira kutoka kwa Mola wao Mlezi. Basi hao ni kama watakao dumu Motoni na wakinyweshwa maji yanayo chemka ya kuwakata matumbo yao?

Mabikra katika mbingu ya Waislam, mabikra watulizao macho, jicho dodo

Sura 55:56
Humo watakuwamo wanawake watulizao macho yao; hajawagusa mtu kabla yao wala jini.
 
l

Hilo ni dume si nyinyi mnaooana wanaume kwa wanaume makanisani.

Wewe unaangalia madhambi ya watu binafsi, sasa ona Danguro lenu hapa, kweli ujinga mzigo

Sura 55:56
Humo watakuwamo wanawake watulizao macho yao; hajawagusa mtu kabla yao wala jini.
 
CIA ni noma, hawa wahusika wa mauaji wamo kwenye NO FLY list yao siku nyingi, yaani hawaruhusiwi kwenda USA
 
Wewe unaangalia madhambi ya watu binafsi, sasa ona Danguro lenu hapa, kweli ujinga mzigo

Sura 55:56
Humo watakuwamo wanawake watulizao macho yao; hajawagusa mtu kabla yao wala jini.

57. Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha?
 
Kweli, ni lazima umlinde Mtume wenu maana tayari kaoa mtoto wa miaka 6.
Hivi mama yake mungu wenu Yesu aliolewa na mzee wa miaka 90 wakati yeye bikira Maria ana miaka 10 unaijua hii?
 
Wauaji wa Ufaransa wamezingirwa kwenye jengo moja huko Durmartin-en- nchini ufaransa. Inasemekana kwenye jengo Hali pia wameshikilia mateka pia. .... Source BBC.


  • Police surround building containing men suspected of Charlie Hebdo massacre


  • Hostage taken in siege in Dammartin-en-Goele, north-east of Paris


  • Earlier, police chased car believed to contain suspects


  • Brothers Said Kouachi and Cherif Kouachi wanted over killing of 12 people


  • Massive security operation involves police and army forces, supported by helicopters

French police have surrounded a building in a northern town where two men suspected of the Charlie Hebdo massacre are said to have a hostage.

Shots were fired and several people are said to have been wounded as events unfolded in Dammartin-en-Goele, 35km (22 miles) from Paris.

The development comes nearly 48 hours after the attack on the magazine's office, when 12 people were shot dead.

The heavily armed gunmen fled Paris by car after the attack.

The attackers, who shouted Islamist slogans, are believed to have been angered by the satirical magazine's irreverent depictions of the Prophet Muhammad.

They are said to have shouted "We are al-Qaeda, Yemen", an apparent reference to the al-Qaeda in the Arabian Peninsula group (AQAP).

In the US, a senior official has told reporters that one of the two brothers alleged to have carried out the attack, Said Kouachi, spent "a few months" training in Yemen with the group.

Said and his younger brother, convicted terrorist Cherif Kouachi, were on a US no-fly list before the attack, a US counter-terrorism official

Source: BBC News
map.gif

Updates


At the scene: Piers Scholfield, BBC News, Dammartin-en-Goele It's a dramatic scene. The area around the small town of Dammartin is rapidly filling up with thousands of French police and anti-terror forces.

Several Puma helicopters are hovering over the area. Hundreds of police cars and armoured vehicles have arrived. Press were rapidly moved on from the area warning of danger to onlookers.

Huge convoys of police line the main N2 highway. There are now reports of flights being cancelled at nearby Charles de Gaulle airport.

Source: BBC News
index.jpeg

index1.jpeg















Updates


Residents warned

In Dammartin, witnesses say police are protecting people in buildings close to where the apparent siege is happening.

Officers from the elite GIGN unit have assembled people working nearby, telling them to stay inside and turn lights off while the operation is going on.

People in the area say police helicopters began arriving around 08:45 (07:45 GMT) followed by convoys of armed officers.

Some of those in premises on the industrial area where the suspects are believed to be have been evacuated.

Police and military helicopters continue to hover low over the area. Meanwhile lines of armed officers are guarding the edge of the national highway were traffic continues to flow.

Source: BBC News
 
Hapo ngoma ndio imeanza upya, maana wameteka mtu ili atumike kama kinga yao. Pia Yule police alieuawa akiwa kalala chini siku ya tukio ni Muislam, mwenye asili ya uarabuni anaitwa Ahmed Merabet, lakini nimeshangaa waislam wa humu JF kuunga mkono mauaji
 
Lkn nadhani hat a wakiwapata hawatawaua maana wazungu hawana roho za kiarabu.
 
Wachangiaji wa Uzi huu tusiingize udini kwenye huu uzi mpya ili na wenyewe usifungiwe
 
Thubutu lazima watiwe kitanzi wamekosa sana.

Ili gazeti limeichora Roman catholic sana kuliko waislam, waislam walitakiwa wafanye maandamano makubwa yasiyo na ukomo kulisakama kuliko kuua. Matokeo yake ona jamaa wameanza kuangaika maana hawakujua kama wangefahamika, pia inaonekana ni waoga wa kufa, wanajua ukifa ni forever
 
Mi nadhani hii Dunia ili iwe salama lazima kupiga marufuku Dini na Imani zote.
Kila mtu Dini na Imani yake iwe ni siri mzito kabisa.

Pendekezo lako halitekelezeki. Watu watakuwa tayari kufa lakini hawataacha.
Unajua solution ya haya ni ngumu kwa sasa maana dunia imekuwa kijiji, unakuta waumini walioko TZ wanakasirika wakiona muuminimwenzao alieko Iraq kauawa. Zamani flow ya taarifa iliuwa chini sana, ndio maana waweza kujiuliza kwamba wazungu waliwezaje kuwatawala waarabu? Wakati ule tension za dini zilikuwa chini sana tofauti na sasa.
 
Drones zinapiga katika maeneo ya vita. Ambapo ni bayana vitani kufariki na wasiohusika kwa bahati mbaya.

Anachokisema, ni ile ya kumkamata mtu na kuamua kumuua huku unajua kuna sehemu ya kumpeleka kwa hukumu na mahojiano zaidi.

Miarabu yeneyewe kwa kuwa kuua ni hobby na ina moral satisfaction, yanaua hata watu wasiokuwa na hatia maadamu yatimize kiu ya kuua. Sasa ingekuwa ndiyo mhusika kama hawa vijana wlaivyohusika kuua, si wangebanikwa wabichi wabichi?



Nenda iraq, Afghanistan uone drones zikitoa ubongo wa watoto wadogo wa miezi 10 halafu ndio uje useme ulichokisema
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom