Gambamala
JF-Expert Member
- May 13, 2014
- 1,045
- 766
Hiyo aya isome vizuri na jisome ulichoandka wewe:
Sasa jione ulivyo punguani, huyo "dada yake" aliyemuoa ni yupi?
Hivi hawa kwenye nyekundu si dada zake?, au mnataka kutetea kwa nguvu?, yaani watoto wa Faizafoxy na watoto wa kaka zake na Faizafoxy waoane, hao si tayari ni dada na kaka?
Sura 33;50-
Ewe Nabii! Tumekuhalalishia wake zako ulio wapa mahari yao, na ulio wamiliki kwa mkono wako wa kulia[Mateka] katika alio kupa Mwenyezi Mungu, na mabinti ami zako, na mabinti wa shangazi zako, na mabinti wa wajomba zako, na mabinti wa dada za mama yako walio hama pamoja nawe; na mwanamke Muumini akijitoa mwenyewe kwa Nabii, kama mwenyewe Nabii akitaka kumwoa. Ni halali kwako wewe tu, si kwa Waumini wengine. Sisi tunajua tuliyo wafaridhia wao katika wake zao na wanawake ilio wamiliki mikono yao ya kulia. Ili isiwe dhiki kwao. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.