Gambamala
JF-Expert Member
- May 13, 2014
- 1,045
- 766
Maandamano ujumbe usingefika ilikuwa lazima kuwauawa wahusika wakuu wa Charlie Hebdo.
Watu kama Stephane Charbonnier Mhariri Mkuu na wenzake Cabu na Wolinsk wamekufa ujuembe mzuri huo maandamano mtafanya nyie.
Wewe unadhani wazungu mziki wenu hawaujui?, hawa jamaa ki historia ni majasiri, pamoja kwamba walipigwa Sept 11 lakini bado wanaingia Nchi za waarab kupigana kama kawaida