Kawaida zenu nyie wakristo kuzuluia Mitume wa Mungu tazama Bibilia zina sema nini; Tazama Biblia Kitabu cha Kwanza, sura ya 19, aya ya 30-38, inasema hivi: Lutu akapanda kutoka Soari akakaa mlimani na binti zake wawili. Pia ukitazama kitabu cha Mwanzo, sura 29, aya 11, inasema hivi: Yakobu akambusu Raheli, akainua sauti yake akalia. Huyu Raheli akaolewa na huyu Yakobu baada ya miaka saba.Vile vile tazama sura ya 32, aya ya 24-30 inasema hivi: Yakobu akakaa peke yake; na mtu mmoja akashindana naye mweleka hata alfajiri
akamwambia, jina lake hutaitwa tena Yakobu, ila Israeli, maana umeshindana na Mungu.
Bibilia ni upumbafu mtupu eti; Katika Agano jipya na Agano la kale inasema kama Mwenyezi Mungu alitaka kumuua Mussa lakini mke wake Sipora ndio aliomwokoa. Ajabu hii. Hebu kasome ujinga katika kitabu cha pili cha Mussa, kiinaitwa KUTOKA, sura ya 4, aya mbali mbali: Bwana akamwamia Mussa, hapo utakaporudi Misri, angalia ukazifanye mbele ya Farao zile ajabu zote nilizozitia mkononi mwako. Ili kuwa walipokuwa njiani mahala pa kulala, Bwana akakutana naye akataka kumwua. Ndipo Sipora akashika jiwe gumu na kuikata govi ya zungu la mwanawe, na kuibwaga miguuni pake akasema , Hakika wewe u bwana arusi wa damu kwangu mimi. Basi akamwacha. Ndivyo huyo mkewe akanena, u bwana arusi wa damu wewe kwa ajili ya kutahiri.