Gunmen Hunted After 12 Killed At Paris Magazine

Gunmen Hunted After 12 Killed At Paris Magazine

Status
Not open for further replies.
Hapo ngoma ndio imeanza upya, maana wameteka mtu ili atumike kama kinga yao. Pia Yule police alieuawa akiwa kalala chini siku ya tukio ni Muislam, mwenye asili ya uarabuni anaitwa Ahmed Merabet, lakini nimeshangaa waislam wa humu JF kuunga mkono mauaji

Nami nimesikitika sana kumtoa uhai siyo tu muislam mwenzao bali binadamu mwenzao harafu wanasingizia wanafia dini!! Kufia dini unavaa mask na unakimbia! They are bunch of cowards!
 
Nashangaa kuona hawa jamaa walioteka wanaogopa kufa, nilidhani mpaka mida hii wangeisha jiua
 
Ili gazeti limeichora Roman catholic sana kuliko waislam, waislam walitakiwa wafanye maandamano makubwa yasiyo na ukomo kulisakama kuliko kuua. Matokeo yake ona jamaa wameanza kuangaika maana hawakujua kama wangefahamika, pia inaonekana ni waoga wa kufa, wanajua ukifa ni forever
Kama waoga kufa wasingeanza kurudi paris.
na asubuhi ya leo wao ndo wamejitoa mafichoni na kuanzisha.
polisi wameongea nao mda mfupi uliopita na wanadai wanataka kufa shahidi.
 
Hizo ni fikra zako Uislam na Ukirsto ni tofauti, walichofanya hawa jamaa kuvamia ofisi za Charlie Hebdo na kuwapiga risasi ni sawa kabisa ili iwe fundisho.
 
Kama waoga kufa wasingeanza kurudi paris.
na asubuhi ya leo wao ndo wamejitoa mafichoni na kuanzisha.
polisi wameongea nao mda mfupi uliopita na wanadai wanataka kufa shahidi.

Kama ndiovyo kwanini wasijipige Risasi yakaisha?
 
Watu wengi sana humu wameshikiwa akili na wazungu.

Watu wakifungua DSTV wakiangalia BIASED BROADCAST CORP (bbc)

Anachukua yaliyokuwa pale na kuja nayo huku
 
Hizo ni fikra zako Uislam na Ukirsto ni tofauti, walichofanya hawa jamaa kuvamia ofisi za Charlie Hebdo na kuwapiga risasi ni sawa kabisa ili iwe fundisho.

Mkuu, hakuna fundisho linalokuja kwa style hiyo, mbona wameichora Catholic hadi wakachoka?, lakini ni mara ngapi tumeona watu wanajitoa Muhanga lakini hakuna fundisho?, pia mbona USA jengo lao refu lilipigwa September 11, wakvamia Iraq na Afghanistan, lakini kwa kuwa hawajapata fundisho wakapeleka majeshi yao Libya?. Mkuu Ritz, mwanadamu ana roho ngumu kuliko ujuavyo. Hata Serikali ya Ufarasa wametoa pesa ili wachora vibonzo waache, the best way ni kuandamana
 
Kama ndiovyo kwanini wasijipige Risasi yakaisha?
Kirahisi ivo?,wanataka kuacha history namna walivyowahenyesha askari 80,000 wa ufaransa ili vizazi vijavyo vijifunze
 
Watu wawili tu wanaitikisha France vikosi vyote vipi mitaani vinapelekwa mchakamchaka na vijana wawili tu.
 
Ndio maana niliwahi kusema hapa kuwa..sio rahisi kwa Russia kujenga urafiki wa kudumu na jamhuri ya kiislamu ya Iran. Labda China.
Kama ilivyo tete mahusiano kati ya USA na Saudis kingdom na overall Arabs nation ndivyo hali IPO hivyo kwa Russia. Soon or later watakuja korofishana tu.

Cc. FaizaFoxy Adiosamigo mgen Ishmael Elungata

Muislam, hata ukifanyaje, hapendeki. Yanayo tokea Ufaransa ndio makosa ya kuwapenda hawa jamaa walio jaa uhasama na chuki kwenye nyoyo zao.
 
Kirahisi ivo?,wanataka kuacha history namna walivyowahenyesha askari 80,000 wa ufaransa ili vizazi vijavyo vijifunze
Vikosi vyote vipo mitaani wapo polisi special force GIPN, wapo RAID, wapo Soldiers, wapo FIPN wapo Swarms of anti terror.

teh teh teh
 
Watu wengi sana humu wameshikiwa akili na wazungu.

Hakuna mtu ambae hajakamatwa na wazungu, kama ujakamatwa kiakili basi kivitendo, hapo ulipo unatuia gari iligunduliwa na mzungu, simu iliyogunduliwa na mzungu, computer iliyogunduliwa na mzungu, ndege iliyogunduliwa na mzungu. Hapo ujakamatwa?. Acha utani, mimi wamenikamata kikweli kweli
 
Nenda iraq, Afghanistan uone drones zikitoa ubongo wa watoto wadogo wa miezi 10 halafu ndio uje useme ulichokisema
Mkuu mimi huwa nashangaa watu wanavyowa shobokea hao wazungu wakati magaidi namba moja duniani...muda utafika na mambo yatafahamika..
 
Mkuu mimi huwa nashangaa watu wanavyowa shobokea hao wazungu wakati magaidi namba moja duniani...muda utafika na mambo yatafahamika..

Mimi lazima nimshobokee mzungu, yeye kagundua kila kitu, kwanini nisimshobokee, wacha mambo yako bwana. Hii internet unayotumia wewe bila mzungu ungechelewa sana
 
Mkuu, hakuna fundisho linalokuja kwa style hiyo, mbona wameichora Catholic hadi wakachoka?, lakini ni mara ngapi tumeona watu wanajitoa Muhanga lakini hakuna fundisho?, pia mbona USA jengo lao refu lilipigwa September 11, wakvamia Iraq na Afghanistan, lakini kwa kuwa hawajapata fundisho wakapeleka majeshi yao Libya?. Mkuu Ritz, mwanadamu ana roho ngumu kuliko ujuavyo. Hata Serikali ya Ufarasa wametoa pesa ili wachora vibonzo waache, the best way ni kuandamana
Maandamano ujumbe usingefika ilikuwa lazima kuwauawa wahusika wakuu wa Charlie Hebdo.

Watu kama Stephane Charbonnier Mhariri Mkuu na wenzake Cabu na Wolinsk wamekufa ujuembe mzuri huo maandamano mtafanya nyie.
 
Watu wawili tu wanaitikisha France vikosi vyote vipi mitaani vinapelekwa mchakamchaka na vijana wawili tu.

Wakifanya uzembe mtasema wachovu, wamehamua kuweka full combat mnasema vijana 2 tu. Una wakika gani kama hakuna wengine wanaowaunga mkono kichini chini, wenzetu ni professional bwana
 
Waangalie tu jamaa wasiwachoropoke tena.maana askari wa ufaransa hopeless sana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom