Extraterrestrial
JF-Expert Member
- Aug 23, 2013
- 413
- 265
Ajabu sana,watu hadi wana RPG, katikati ya paris?
Ni ajabu kweli.Jana France president si alitaka kubomb militia waliopo Libya boarders lakini Libya govt ikakata?Libya govt inataka msaada KWA Arab league au UN na siyo westerners intervention!!Ukisikiliza maanalyst Wanasema Arab league cannot help and westerners intervention will make things worse.
Hizo cartoons ni very provocative anyway.