Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
Naona kuna mmoja anajua jibu ila haja fafanua vizuri... endeleeni kujaribu
Because of that sweet feelings u have for ur baby....right??
Naona kuna mmoja anajua jibu ila haja fafanua vizuri... endeleeni kujaribu
Naona kuna mmoja anajua jibu ila haja fafanua vizuri... endeleeni kujaribu
Hahahaha!...utanilipa ujue?Hahahaha ODM anapenda ndoto...... hya na uote tena Kaisari na Kaisari na Kaizer.
Naona alie kua anajua kapiga kimya, maana yake hata yeye hakujua yuko karibu. In fact nilipewa kazawadi kazuri kazuri kakanifurahisha and nilipotaka kulala nikafunga macho nikakumbuka kazawadi kangu ndio nikatabasam na nikalala with that image in my mind and that smile on my face...
Memories are forever...
dah! hongera kwa kuvalishwa pete,ushauri wangu bana mpaka alete ile ingine yake ziwe 2 sawa ?Naona alie kua anajua kapiga kimya, maana yake hata yeye hakujua yuko karibu. In fact nilipewa kazawadi kazuri kazuri kakanifurahisha and nilipotaka kulala nikafunga macho nikakumbuka kazawadi kangu ndio nikatabasam na nikalala with that image in my mind and that smile on my face...
Memories are forever...
Pete nilivikwa zamani, tena zote mbili. Nakumbuka Afrodenzi alikua na post ya kuuliza haya mambo nikajikuta na mimi nimesema yangu...dah! hongera kwa kuvalishwa pete,ushauri wangu bana mpaka alete ile ingine yake ziwe 2 sawa ?
sasa ulikuwa unabisha nini hahaha!Hata leo naona kuna possibility ya kazawadi tena, ngoja tuone...
Aah! nimeshajua Tanzania Darkness Supply hawajafanya madudu yao hapo mtaani kwenu hahaha!Pete nilivikwa zamani, tena zote mbili. Nakumbuka Afrodenzi alikua na post ya kuuliza haya mambo nikajikuta na mimi nimesema yangu...
Ni zawadi ingine tu nzuriiiiiii kadogo kadogo ila kazuri kanafurahisha
mimi nimeshindwa naona tunacheza mchezo wa username yako yaani russian roulette.Uporoto naona wewe umesha amua ni hayo yako ya uvinza tu. Sio kabisaaaa, anza kufikiria vingine.
Hata leo naona kuna possibility ya kazawadi tena, ngoja tuone...
Pete nilivikwa zamani, tena zote mbili. Nakumbuka Afrodenzi alikua na post ya kuuliza haya mambo nikajikuta na mimi nimesema yangu...
Ni zawadi ingine tu nzuriiiiiii kadogo kadogo ila kazuri kanafurahisha
NDIOOOOOOOOO na hata sasa bado nasmile! lol
Si anajua chanzo?