Group sex inaongezeka kwa kasi hapa Bongo

Mimi nafikiri haya yote ni madhara ya kuangalia porno sana na ubaya zaidi ni kuwa porno imezagaa katika simu za vijana na kushikamana kama vile pua na mdomo.

Sasa hivi watu hawaoni haya kuchukuana kama kikundi na kwenda kufanya sex huku wakipasiana wenza yaani akipiga hapa anaennda kwa mwingine yule mwimgine anachukua wake.
vinana balehe waliomaliza chuo hawana la kufanya wanafanya kwenye majumba huko Goba na Mbweni.
House PArty ni sherehe za ngono!
 
Waache wamekaa ndani wanafikir kila kitu ni vile wanavyofikiria wao.

Dunia inakimbia hii
Kuna siku kidogo shetani twende nae, bahari nzuri nilipata ujasiri wa kumgomea kwenda, mida ya saa tisa usiku, nakutana na invitation kutoka kwa Nancy 😁😁😁.. tangazo lavutia alafu katikati ya upwiru wa saa tisa usiku 😁😁
 
Mimi nafikiri haya yote ni madhara ya kuangalia porno sana na ubaya zaidi ni kuwa porno imezagaa katika simu za vijana na kushikamana kama vile pua na mdomo.

Sasa hivi watu hawaoni haya kuchukuana kama kikundi na kwenda kufanya sex huku wakipasiana wenza yaani akipiga hapa anaennda kwa mwingine yule mwimgine anachukua wake.
Unalalamika au unatoa taarifa?
 
Ni biashara nzuri sana kwa wenye nyumba . Hukosi kuanzia 1m -2m kwa mwezi kwa nyumba ambayo ungemkodishia mtu kwa 300k mpaka 500k kwa mwezi plus nyumba haichakai kabisa. Ukiwa na namba za malaya wale wenye majina majina nyumba inakua full booked weekend zote hata miezi 6 mbele
 
Mimi nafikiri haya yote ni madhara ya kuangalia porno sana na ubaya zaidi ni kuwa porno imezagaa katika simu za vijana na kushikamana kama vile pua na mdomo.

Sasa hivi watu hawaoni haya kuchukuana kama kikundi na kwenda kufanya sex huku wakipasiana wenza yaani akipiga hapa anaennda kwa mwingine yule mwimgine anachukua wake.
Yaani wanaambukizana gono, kaswende, utiai sugu na ukimwi kisela, huku wakifurahia kitendo hicho na kushushia na pombe kali,right?

inasikitisha sana na kwakweli inafedhehesha sana aise nguvu kazi ya taifu kujipukutisha yenyewe tena kindezi kabisa, dah!

Mwokozi okoa Taifa letu na hili balaa 🤭
 
hopa panaitwa geti jeusi pub fulani hivi kigamboni, aise ni zaidi ya hiyo stori ya huyo muungwana mtoa hojo.

ukishuhudia, huwezi shangaa kijana akitafunwa na fangasi wakali sana mdomoni, achilia mbali sehemu za siro, kwenye viganja vya mikono na miguu 🐒
dah
hivi mnawezaje kushiriki ngono kukikwa na zaidi ya watu wawili chumbani?
aisee hata kwa malipo hapana
 
kuna hali mbaya sana ya kujikatia tamaa inawazonga wakaka na wadada wengi sana waliopoteza uelekeo wa maisha na wale ambao wanahisi tayari wameukwaa baada ya wenzi labda wao kusemekana wametangulia mbele za haki pengine kwa sababu ya umeme 🐒
 
Mimi nafikiri haya yote ni madhara ya kuangalia porno sana na ubaya zaidi ni kuwa porno imezagaa katika simu za vijana na kushikamana kama vile pua na mdomo.

Sasa hivi watu hawaoni haya kuchukuana kama kikundi na kwenda kufanya sex huku wakipasiana wenza yaani akipiga hapa anaennda kwa mwingine yule mwimgine anachukua wake.
Group sex ni starehe ya aina yake lakini ina masharti yake kama mnataka ipendeze na isiwe na madhara.Masharti makubwa ni haya:
1.Kwa wataoshiriki wote watoe ridhaa yao,isifanywe kwa hadaa
2.Wote watumie kinga.
3.Wote wawe wasafi kabisa na utimamu wa akili.Kwenye miji mikubwa Dar,Dom na Dar zinafanyika sana tu
 
Yaani wanaambukizana gono, kaswende, utiai sugu na ukimwi kisela, huku wakifurahia kitendo hicho na kushushia na pombe kali,right?

inasikitisha sana na kwakweli inafedhehesha sana aise nguvu kazi ya taifu kujipukutisha yenyewe tena kindezi kabisa, dah!

Mwokozi okoa Taifa letu na hili balaa 🤭
Kwa namna yeyote sihungi mkono tabia za kiasherati/ uasherati kama huo..

GENTLEMAN Labda wanakua wamesha jipima maana kwa Sasa DUO HIV TEST KITS Zipo na zinapatikana kwa wingiii
 
kuna hali mbaya sana ya kujikatia tamaa inawazonga wakaka na wadada wengi sana waliopoteza uelekeo wa maisha na wale ambao wanahisi tayari wameukwaa baada ya wenzi labda wao kusemekana wametangulia mbele za haki pengine kwa sababu ya umeme 🐒
huwezi kushiriki huu ujinga kama unajali afya yako
naamini mostly labda ushajikatia tamaa
 
Back
Top Bottom