Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,195
upo sahihi. Ila chukulia mfano viumbe walio ktk hatari ya kutoweka wanavyolindwa.Wenzetu pamoja na ubaya wao wanafahamu hatari ya kuwa na fikra potovu za kufuta watu,na viumbe tofauti. as long as hatuna hatari kwao kwa kiasi ambacho hawawezi tua ccomodate tutakuwa salama.Ila shida ni huku kutojua tuendapo. AU ni katawi viongozi wa aina ya Gaddafi, China, Arab propagandists, so chances are tunaweza kujikuta tuna siasa mbaya na tupo ktk wrong boat na hivyo tukawa halali malizwa.
si swala la self esteem hapa ila ndio ukweli kwani ni vitu gani tunavyojitengenezea wenyewe waafrika? ni nchi chache zinazojitengenezea madawa nguo na vitu vingine vya kutumia nyingi zetu ni za kusubiri tupewe toka nje au tununue, sera tunatunga tunasubiri kuambiwa hizo ziendelezeni hizo acheni, we have no power to decide anything in this world,wenye power ndio wanasema nasi tunafuata sasa democracy ndio utawala mzuri na tunalazimishwa kuufwata ikiwa tunataka tuwe sehemu ya international society,ukienda kinyume wewe gaidi wewe utasakamwa hadi upotee,the fact that we have no power on issues in the world ndio inayotufanya tuone kuwa sisi ndio tutakuwa waathirika wa haya mambo, leo hii peleka bidhaa yako nchi za magharibi kwanza ukifanikiwa kuipeleka shukuru lakini kuitumia hiyo bidhaa ni tatizo huko nje,lakini sisi kwa vile sio wazalishaji wa kila kitu basi tunapokea kila kijacho.majaribio ya madawa nchi zetu ndio zinakuwa projects tungekuwa na power tusingekubali lakini sasa mtakataaje wakati ikiwork tutapewa kama msaada?