(Gregorian calendar) Is he pious?

Setuba,realness,kichuguu na wengine,nilizungumza mazingira ya siku 11,na umuhimu wa papa gregory wa 13,mkadai hiyo ni imani yangu na wengine mkadai hata huyo lucifer hayupo,naomba mniambie nani alifanya haya na kwanini hizi namba 11 na 13 zimelizunguka tukio la sept 11 kama namba hizi hazina a maana,angalia post yangu inayofuata..........
 
Kuna watu hawaamini uwepo wa vyama vya siri!Na ndo wenye jiwe hilo kama hawaamini maseme niwaoneshe matukio ya kustaajabisha ya hawa watu!
 
Kati ya kitu amabacho huwa sikubaliani nacho kirahisi ni huo mchezo wa namba lakini huwa natoa benefit of doubt. Hebu mkuu Eiyer nipe maelezo mazuri hapa neno WASHNGTON DC AU WASHINGTON DC ukiondoa i kweli zinafanya herufi zibaki 11 lakini i kwanini iondolewe kweli ni imaterial ki hivo! historia inasema !

Washington, D.C., formally the District of Columbia and commonly referred to as Washington, "the District", or simply D.C., is the capital of the United States. A new capital city named after George Washington was founded in 1791 to the east of the preexisting port of Georgetown. Congress consolidated the City of Washington, Georgetown, and the remaining unincorporated area within the District under a single municipal government in 1871. The city shares its name with the U.S. state of Washington, located on the country's Pacific coast. (kutoka Wikipedia) tupe usahihi jina la WASHGTON DC KAMA UNAVYOSEMA NI SAHIHI NA SIYO WASHINGTON DC TUPE MAELEZO YALIYO KAA UZURI MKUU VINGINEVYO UMELAZIMISHA!!

Kingine ambacho sijaelewa ni kwanini umehesabu herufi za majina George W Bush na Ramzi Yousef wakati bush ukitumia initial ya katikati Ramzi umiacha herufi ya kati. Kama kigezo ulichotumia ku rule out ni jinsi alivyozoeleka kuitwa basi THE PENTAGON hiyo the iondolewe

Ndege iliyogonga Pentagon ni flight 77,ukigawa kwa 7 unapata 11. kwa sababu tunahusianisha namba na tukio KWANINI UGAWE KWA 7 BADALA YA 11 AU 9. Kwanini umeamua kuichagua namba saba kugawanyia kwa sababu jibu unalo tayari au ingekuwa busara ukagawa kwa 9 au 11 kwani ndizo namba zako za msingi any way kwa nini ugawe kwa saba na siyo namba nyingine!!!
abiria 92,9+2=11 umejumlisha na wafanyakazi na rubani au!! Vipi kwani kwa kawaida flight 77 inabeba watu wangapi ili tuone utofauti wa kawaida naile inaitwa siyo kawaida!!!
Sept 11 ni siku ya 254 ya mwaka,2+5+4=11,na zinakua zimesalia siku 111 mwaka. Mbona hujajumlisha 1+1+1=? Kwani msingi wa kujumlisha kutoka mwanzo ni nini? si tufike kwenye double digit ambayo inatupa 11 au 13 hapa imegoma umeishia njiani sijaelewa vinginevyo umelinganisha vitu visivyo fanana!!
Majengo ya WTC yakiwa yamesimama yanatemgea namba 11 jumlisha na namba ya ndege ya kwanza kugonga WTC ambayo ni flight 11 kisha tarehe ya siku ya tukio yaani tarehe 11 unapata 33. Hapa napo pana shida kwanini ndege ya pili haikujumuishwa kwanini!!!
Wakati ndege ya kwanza ingonga WTC ilikuwa umbali wa futi 159 na inchi 2 kutoka ardhini,1+5+9-2=13. Duh haya bana!!
PIA umetaja afghanistan kuwa ina herufi 11 mbona hata DAR-ES-SALAAM ni herufi 11 nayo unaisemuaje mkuu!!
umbali wa 13 blocks kutoka white house! Mbona block siyo SI UNIT YA UMBALI NI IPI? Kwanini imetumika block badala ya vipimo vya umbali!!
Kuhusu namba hii ni imani za mataifa(watu mbalimbali)
Jews and Sikhs consider 13 a lucky number because it is
asso
ciated with the worship of God. However, to many
it is unlucky. Christians feel it is linked to Judas, who
was the 13th apostle at the Last Supper and betrayed
Jesus. When the 13th of the month falls on a Friday it
is especially feared. Some believe Jesus was crucified on
Friday the 13th. The ancient Romans felt the number 13
was a sign of destruction.

9
In Thai, the word fornine is the same as the word "progress."In neighboring Japan,though, the number sounds like the word for"pain" or "torture" and so
is dreadfully unlucky.
4,233

4,233 44,233
This was an unlucky number in ancient
Egyptian culture. The hieroglyphs (pictures)
that represented 4,233 can also look like they
are showing a young pharaoh being murdered
kuhusu september 11 kuna huyu jamaa kafanya research yake naye kaja na conspirancy zake hebu pitia uone atakavyokuchanganya
 
Attachments

  • Stranger Then Fiction An Indepedent Investigation of 9-11.pdf
    1.5 MB · Views: 41
Mkulima,maswali yako hayaeleweki,lakini ngoja nijitahidi kukujibu kadiri ya uwezo wangu,kuhusu neno Washngton dc,hili neno wanapolitumia hawa watu wanajua wanavyoliandika hivyo sio kama unavyojua wewe!Pia wana namna yao wanapotumia majina ili kutengeneza nguvu,hivyo usikazimishe kama unavyofikiri wewe.Umehoji pia kuhusu kugawa 77 na 7 na kwanini isiwe namba nyingine,ndugu,hawa watu wanatumia namba,3,5,6,7,9,11 na 13,na ukizizidisha zenyewe kwa zenyewe!Namba hizo zina maana maalum sana kwa hawa watu,hivi unajua kuwa vita ya kwanza ya dunia ilisha saa 11 mwezi wa 11?Hivi unajua kuwa pentagon ilianza kujengwa sept 11,1941?Hivi unajua kua sept 11,1972 Raisi Richard Nixon aliunda jopo la watu ili kuandaa mkakati wa kuilinda Marekani na ugaidi halafu hiyo hiyo sept 11 magaidi wakaishambulia Marekani?Hivi unajua kuwa kampuni ya STARTESEC inayoongozwa na Marvin Bush ndugu wa George W Bush ilipewa tenda ya kulinda WTC sept 11,1997?Ndugu mkulima hayo hayamanishi chochote kwako?Umeuliza kwanini nilipojumlisha na kupata 33,kwanini sikumlisha ndege ya pili,ndege ya pili imesimama kwa niaba ya 13 na haihusiani na 11!Kuhusu Dar,kwani Dar ilihusika sept 11?Pia umeeleza namna jamii mbalimbali zinavyozitafsiri namba,faham hapa ninazungumzia maana ya namba kwa waabudu shetani na sio watu wengine,narudia tena soma ufunuo 9:11 na mwanzo 14:4!
 
Sijajua Misimamo yako kuwa upo kiiamani ama lah, maana kuna sehemu unasema haupo kiimani lakini utaweka vifungu vya biblia ambavyo hata ukiulizwa vinamaanisha nini huwezi kuvielezea

inaonekana ni msomi mzuri wa hiyo Biblia, swali langu ni kuwa hilo andiko la Mwanzo 14:4 ni nani aliyeliandika?
 
Kuna watu hawaamini uwepo wa vyama vya siri!Na ndo wenye jiwe hilo kama hawaamini maseme niwaoneshe matukio ya kustaajabisha ya hawa watu!

Mimi ni mmoja wa wasioamini_nimesema na sasa ni zamu yako kunionyesha matukio ya kustaajabisha ya hao watu.
 
Sept 11 ni siku ya 254 ya mwaka,2+5+4=11,na zinakua zimesalia siku 111 mwaka uishe!New York City nayo ina herufi 11 na ni taifa la 11 kujiunga na USA!911 ni namba ya dharula ya Marekani!Majengo ya WTC yakiwa yamesimama yanatemgea namba 11 jumlisha na namba ya ndege ya kwanza kugonga WTC ambayo ni flight 11 kisha tarehe ya siku ya tukio yaani tarehe 11 unapata 33,hii ni idadi ya digree ya Freemason!Wakati ndege ya kwanza ingonga WTC ilikuwa umbali wa futi 159 na inchi 2 kutoka ardhini,1+5+9-2=13!Hekalu la freemason wa digree ya 33 liko umbali wa 13 blocks kutoka white house!Ukitaka kujua maana ya namba hizo angalia post zangu zilizotangulia pia kuhusu sept 11 au maarufu kama 911 soma ufunuo 9:11,pia kwa namba 13 soma mwanzo 14:4,ila kwa maelezo angalia post zangu zilizotangulia ujue maana ya namba hizo kwa mujibu wa waabudu shetani hawa!Je hayo nayo ni imani yangu?Je osama alipanga hayo?Au ilikua ni ibada ya kishetani?

Haya ni mambo ya namba ilikuwa ni kazi ya sheikh yahaya ambayo ni gizani, lengo lake ni kudumaza akili ya binadamu asifikili positively. Unataka kusema leo nikiamua kubadili jina langu na kujiita LIKICHUGUUU kutumia herufi 11 itakuwa ni jambo la ajabu litakalokushangaza kwa nini jina langu limekuwa na herufi 11? Mbona mjapani ataliandika jina hilo hilo kwa herufi 6 tu: りきつくうう,
 
Mkulima,maswali yako hayaeleweki,lakini ngoja nijitahidi kukujibu kadiri ya uwezo wangu,kuhusu neno Washngton dc,hili neno wanapolitumia hawa watu wanajua wanavyoliandika hivyo sio kama unavyojua wewe!Pia wana namna yao wanapotumia majina ili kutengeneza nguvu,hivyo usikazimishe kama unavyofikiri wewe

ok. Kama wanastaili yao wewe chanzo chako umepata wapi kuwa wanaondoa i! Pili mara ya kwanza ulisema likiandikwa kwa usahihi mda huu tena unasema wakitaka kupata nguvu bado sijajua hasa umesimamia lipi??
Umehoji pia kuhusu kugawa 77 na 7 na kwanini isiwe namba nyingine,ndugu,hawa watu wanatumia namba,3,5,6,7,9,11 na 13,na ukizizidisha zenyewe kwa zenyewe!Namba hizo zina maana maalum sana kwa hawa watu,
inawezekana kabisa unachosema ni sahihi tena zaidi kwako kama wewe ni miongoni mwa wanao amini. Bado hujaniambia kwanini umeamua kugawa kwa 7 Badala ya moja wapo ya hizo ulizo zitaja mfano 3,5,6,9,11 namba 7 inasimama badala ya nini?

hivi unajua kuwa vita ya kwanza ya dunia ilisha saa 11 mwezi wa 11?

weka vizuri hapa iliisha au ilitangazwa kuwa imeisha mda huo! Ok! Kama wewe unashaka na mda huo kikawaida ilitakiwa iishe lini na na saa ngapi ili[/QUOTE]@@Hivi unajua kuwa pentagon ilianza kujengwa sept 11,1941?[/QUOTE] kwangu mimi haishangazi kwani mi haishangazi kama ilipangwa kujengwa lazima ingekuwa na tarehe na mwezi kwako wewe ingekuwa kawaida wangeanza kujenga lini? Shida yangu si tarehe kufanana mimi nilizaliwa sept 11 sasa sijajua kama na mimi ni muabudu shetani kwako wewe 9/11 ina represent satanisms ukiangalia umechagua event chache sana kwa kipindi cha miaka mingi mfano toka 1941 mpaka 1999 us ina matukio mengi kitu ambacho kwangu mimi ni kawaida kwa baadhi ya event kufanana tarehe mfano tz sokoine alifariki tarehe ambayo ni birthday ya nyerere je kunaweza kukawa conspiracy yoyote hapa? Kwangu ni no coincidence tu

Hivi unajua kua sept 11,1972 Raisi Richard Nixon aliunda jopo la watu ili kuandaa mkakati wa kuilinda Marekani na ugaidi halafu hiyo hiyo sept 11 magaidi wakaishambulia Marekani?Hivi unajua kuwa kampuni ya STARTESEC inayoongozwa na Marvin Bush ndugu wa George W Bush ilipewa tenda ya kulinda WTC sept 11,1997?Ndugu mkulima hayo hayamanishi chochote kwako?

mkuu kwangu mimi hizo nitarehe kama tarehe zingine tu! Ili atleast twende sawa we niambie hivyo visa vilipangwa kufanyika siku tofauti isipokuwa vikalazimishiwa kutokea hapo!

Umeuliza kwanini nilipojumlisha na kupata 33,kwanini sikumlisha ndege ya pili,ndege ya pili imesimama kwa niaba ya 13 na haihusiani na 11!Kuhusu Dar,kwani Dar ilihusika sept 11?Pia umeeleza namna jamii mbalimbali zinavyozitafsiri namba,faham hapa ninazungumzia maana ya namba kwa waabudu shetani na sio watu wengine,

kinachonitatiza mimi mpaka nikaihusisha dar ni afghanistan, kama hizi conspiracy ni za wa marekani jina afghanistan walitoa wao ili ku-cospire? kama siyo ni nini cha ajab kuwa na herufi 11 ikiwa dar ina herufi 11 na siyo ajabu.

narudia tena soma ufunuo 9:11 na mwanzo 14:4!

kama kipo cha kusema kuhusu ufunuo we sema hapa kama ulivyopata ujasiri wa kusema mengine kwani siyo kila mtu ana biblia
Mwisho mkuu msingi wa topic yako ni kujua uhusiana wa pope gregory na kalenda ya sasa unaweza tupa hata kidogo ushahidi kuwa mabadiliko hayo yalilenga kushape hizn event?
 
ok. Kama wanastaili yao wewe chanzo chako umepata wapi kuwa wanaondoa i! Pili mara ya kwanza ulisema likiandikwa kwa usahihi mda huu tena unasema wakitaka kupata nguvu bado sijajua hasa umesimamia lipi??
inawezekana kabisa unachosema ni sahihi tena zaidi kwako kama wewe ni miongoni mwa wanao amini. Bado hujaniambia kwanini umeamua kugawa kwa 7 Badala ya moja wapo ya hizo ulizo zitaja mfano 3,5,6,9,11 namba 7 inasimama badala ya nini?

weka vizuri hapa iliisha au ilitangazwa kuwa imeisha mda huo! Ok! Kama wewe unashaka na mda huo kikawaida ilitakiwa iishe lini na na saa ngapi ili
@@Hivi unajua kuwa pentagon ilianza kujengwa sept 11,1941?[/QUOTE] kwangu mimi haishangazi kwani mi haishangazi kama ilipangwa kujengwa lazima ingekuwa na tarehe na mwezi kwako wewe ingekuwa kawaida wangeanza kujenga lini? Shida yangu si tarehe kufanana mimi nilizaliwa sept 11 sasa sijajua kama na mimi ni muabudu shetani kwako wewe 9/11 ina represent satanisms ukiangalia umechagua event chache sana kwa kipindi cha miaka mingi mfano toka 1941 mpaka 1999 us ina matukio mengi kitu ambacho kwangu mimi ni kawaida kwa baadhi ya event kufanana tarehe mfano tz sokoine alifariki tarehe ambayo ni birthday ya nyerere je kunaweza kukawa conspiracy yoyote hapa? Kwangu ni no coincidence tu

mkuu kwangu mimi hizo nitarehe kama tarehe zingine tu! Ili atleast twende sawa we niambie hivyo visa vilipangwa kufanyika siku tofauti isipokuwa vikalazimishiwa kutokea hapo!

kinachonitatiza mimi mpaka nikaihusisha dar ni afghanistan, kama hizi conspiracy ni za wa marekani jina afghanistan walitoa wao ili ku-cospire? kama siyo ni nini cha ajab kuwa na herufi 11 ikiwa dar ina herufi 11 na siyo ajabu.

kama kipo cha kusema kuhusu ufunuo we sema hapa kama ulivyopata ujasiri wa kusema mengine kwani siyo kila mtu ana biblia
Mwisho mkuu msingi wa topic yako ni kujua uhusiana wa pope gregory na kalenda ya sasa unaweza tupa hata kidogo ushahidi kuwa mabadiliko hayo yalilenga kushape hizn event?[/QUOTE]

Anazunguka mno lakini point inataka kurudi palepale kwa PAPA/UPAGANI/fREEMASONS,
Weka wazi point ili tujuzane na sio kudonoadonoa tu
taaabu kwelikweli
 
Mkulima,maswali yako hayaeleweki,lakini ngoja nijitahidi kukujibu kadiri ya uwezo wangu,kuhusu neno Washngton dc,hili neno wanapolitumia hawa watu wanajua wanavyoliandika hivyo sio kama unavyojua wewe!Pia wana namna yao wanapotumia majina ili kutengeneza nguvu,hivyo usikazimishe kama unavyofikiri wewe.Umehoji pia kuhusu kugawa 77 na 7 na kwanini isiwe namba nyingine,ndugu,hawa watu wanatumia namba,3,5,6,7,9,11 na 13,na ukizizidisha zenyewe kwa zenyewe!Namba hizo zina maana maalum sana kwa hawa watu,hivi unajua kuwa vita ya kwanza ya dunia ilisha saa 11 mwezi wa 11?Hivi unajua kuwa pentagon ilianza kujengwa sept 11,1941?Hivi unajua kua sept 11,1972 Raisi Richard Nixon aliunda jopo la watu ili kuandaa mkakati wa kuilinda Marekani na ugaidi halafu hiyo hiyo sept 11 magaidi wakaishambulia Marekani?Hivi unajua kuwa kampuni ya STARTESEC inayoongozwa na Marvin Bush ndugu wa George W Bush ilipewa tenda ya kulinda WTC sept 11,1997?Ndugu mkulima hayo hayamanishi chochote kwako?Umeuliza kwanini nilipojumlisha na kupata 33,kwanini sikumlisha ndege ya pili,ndege ya pili imesimama kwa niaba ya 13 na haihusiani na 11!Kuhusu Dar,kwani Dar ilihusika sept 11?Pia umeeleza namna jamii mbalimbali zinavyozitafsiri namba,faham hapa ninazungumzia maana ya namba kwa waabudu shetani na sio watu wengine,narudia tena soma ufunuo 9:11 na mwanzo 14:4!

Acheni hofu za kipuuzi kama hizi,..unajumlisha mara unagawa namba bila sababu ya msingi.....number is number_full stop.
 
Haya ni mambo ya namba ilikuwa ni kazi ya sheikh yahaya ambayo ni gizani, lengo lake ni kudumaza akili ya binadamu asifikili positively. Unataka kusema leo nikiamua kubadili jina langu na kujiita LIKICHUGUUU kutumia herufi 11 itakuwa ni jambo la ajabu litakalokushangaza kwa nini jina langu limekuwa na herufi 11? Mbona mjapani ataliandika jina hilo hilo kwa herufi 6 tu: Š0M0d0O0F0F0,

Nitaendelea kushangaa tu!Hebu tafuta post yangu inayohusu maana ya namba 11 halafu uniambie kama jina lako utalibadili kwa msingi huo!
 
Kituko na mkulima, hebu fungueni akili zenu!Mmedai eti Pentagoni kuanza kujengwa sept 11 haishangazi ni kweli,lakini majengo yaleyale kushambuliwa tarehe ileile ni kawaida? Tena tarehe ileile akapewa mtu kazi ya kulinda majengo yaleyale ni kawaida tu?Hebu acheni utani!

Sept 11 1990,lilitoka tangazo la mpango wa kuipeleka dunia kwenye NWO,miaka 11 baadae magaidi wakashambulia Marekani nayo ni kawaida?

Tena mkakati wa kukabiliana na magaidi hao ulipangwa sept 11,1972 nayo ni kawaida?U must be joking!Umeuliza kuhusu wewe kuzaliwa sept 11,ndugu faham kwamba nimeshazungumza malengo na maana ya hawa watu kutumia namba 11 tafuta usome maana kisha uniambie kama na wewe ulizaliwa kwa mpango huo!Pia mmedai kuwa nimechagua matukio machache,fahamuni kuwa matukio haya yanafanana na yametukia kwa sababu maalumu!

Kuhusu Afghanistan fahamuni jina hilo lilichaguliwa kwa sababu maalumu,Dar haihusiki hapa!Kuhusu maandiko tafuta biblia usome!Nimezungumzia yote hayo kuhusu namba 11 na 13 coz papa Gregory ni papa wa 13 na alifanya kalenda iwe na tofauti ya siku 11,pia mfahamu kuwa namba hizo hazijatokea bahati mbaya bali kwa sababu maalum na sababu hizo ndo zilifanya matukio ya WTC yatokee!
 
Kituko na mkulima,pia mliniuliza kuhusu kugawa 77 kwa 7,hapo juu nilikuambia kuwa namba nilizozitata na ukichukua moja iliyopo kwenye orodha kisha ukazidisha na nyingine iliyoko kwenye orodha jibu linakua na maana ile ile,sasa nakuuliza 77 ni matokeo ya namba ipi kuzidishwa na namba ipi hapo kwenye orodha?

Zungusha akili kidogo acha uvivu wa kufikiri!Pia umeuliza nilitaka vita iishe lini,fahamu kuwa kilichofanya vita iishe tarehe 11 mwezi wa 11 ni kile kile kilichoyaangusha majengo ya WTC!Ukitaka kujua hiyo sababu soma maana ya namba 11 kwenye post yangu
 
Acheni hofu za kipuuzi kama hizi,..unajumlisha mara unagawa namba bila sababu ya msingi.....number is number_full stop.

Nani amekudanganya kuwa namba ni namba?Wengine namba wanatumia kama herufi,wengine namba ni ibada acha kukurupuka kijana,dunia ina mambo mengi sana,jifunze!
 
IGWE,ngoja nikupe hili dogo kwanza.Hebu niambid nani amefanya haya,Kule Marekani maraisi wote waliochaguliwa mwaka unaoanza na O walikufa wakiwa madarakani kasoro George W Bush,kwa nini?William Henry Harrison alichaguliwa 1880,alikufa akiwa madarakani April 4,1881,Abraham Lincoln alichaguliwa 1860,aliuwawa april 15,1865,William McKenley alichaguliwa 1900 aliuwawa sept 19,1901,Waren G Harding alichaguliwa 1920 aliuwawa agost 2,1923,Franklin D Roosevelt alichaguliwa 1940 aliuwawa april 12,1945 na John F Kennedy alichaguliwa 1960 aliuwawa nov 22 1963,Ronald Regan aliechaguliwa 1980,alipigwa risasi na baada kupona madaktari walisema amepona kiajabu sana,sasa niambie nani alifanya haya?Au ni "magaidi?"changanya akili kijana!
 
Eiyer,...nimekupata mkuu,ila ndio uniambie ni kwanini huyo Regan alipona ingawa ni kwa maajabu....nafikiri hizi ni cincidence tu kiongozi wangu.
 
IGWE,ngoja nikupe hili dogo kwanza.Hebu niambid nani amefanya haya,Kule Marekani maraisi wote waliochaguliwa mwaka unaoanza na O walikufa wakiwa madarakani kasoro George W Bush,kwa nini?William Henry Harrison alichaguliwa 1880,alikufa akiwa madarakani April 4,1881,Abraham Lincoln alichaguliwa 1860,aliuwawa april 15,1865,William McKenley alichaguliwa 1900 aliuwawa sept 19,1901,Waren G Harding alichaguliwa 1920 aliuwawa agost 2,1923,Franklin D Roosevelt alichaguliwa 1940 aliuwawa april 12,1945 na John F Kennedy alichaguliwa 1960 aliuwawa nov 22 1963,Ronald Regan aliechaguliwa 1980,alipigwa risasi na baada kupona madaktari walisema amepona kiajabu sana,sasa niambie nani alifanya haya?Au ni "magaidi?"changanya akili kijana!

Mkuu, hebu endelea kutumegea. Nani aliyekuwa nyuma ya vifo hivyo? Je kuchaguliwa ktk mwaka unaishia na sifuri ni lazima kuwe ni sababu ya vifo hivyo? Pia kuhusiana na hayo mawe, kwa nini iwe ni issue kubwa sana. Halafu kama unaufahamu fulani kuhusu bloodline ya viongozi wa marekani tujuze. Huenda kuna mitafaruku katika bloodline yao. Inasemekana watu kama G.W.Bush wamo kwenye bloodline hiyo tokea enzi za Babylon...ingawa sipate maelezo kikamilifu.
 
Back
Top Bottom