Keby uko at the right place wrong time... Kuna Jukwaa la Utambulisho spesheli kwa ajili ya kuomba ukaribisho... Pale hukosi members kama akina Katavi amah Chatudume kuja kksalim kwa furaha kabisa.
Hapa ni MMU forum ilojaa upende kuliko zooote. Hakksha unajenga makazi hapa.... Utapenda... Enjoy na karib saana.