Given Edward
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 850
- 203
<br />Hivi itakuwaje siku umeamka asubuhi unafungua mlango halafu unakuta hakuna nje? Yaani nje kumepotea. Halafu unarudi ndani napo kumepotea! Ni wazo la kijinga lakini scientifically? Nawasilisha wakuu! (hahaha!)
Mkuu hapo utakuwa umekufa na haupo dunia hii tena,Hivi itakuwaje siku umeamka asubuhi unafungua mlango halafu unakuta hakuna nje? Yaani nje kumepotea. Halafu unarudi ndani napo kumepotea! Ni wazo la kijinga lakini scientifically? Nawasilisha wakuu! (hahaha!)
Hivi itakuwaje siku umeamka asubuhi unafungua mlango halafu unakuta hakuna nje? Yaani nje kumepotea. Halafu unarudi ndani napo kumepotea! Ni wazo la kijinga lakini scientifically? Nawasilisha wakuu! (hahaha!)
and his crazy pal Ben!umenikumbusha series ya LOST!! mambo ya JOHN LOCKE na the Island!