Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,564
- 7,973
Mgonja akielekea mahakani na baada ya kusomewa mashtaka. Check attachments
Mkuu Mwanjelwa umesomeka.
Pamoja na hayo yote, shughuli ni serikali kupeleka ushahidi wa uhakika ili mahakama iweze kutoa hukumu ya haki.Vinginevyo itakuwa ni ''The road map to 2010 general election".
Siku za nyuma imlisemekana kuwa mgonja na mramba walikuwa wapandishwe kizimbani lakini Katibu mkuu kiongozi luhanjo akaingilia kati, sasa hii isije kuwa ni danganya toto ili kujinusuru na hasira za raia waliochoka.
Binafsi siamini kama kweli hawa watu wameshitakiwa ili kutoa onyo na fundisho kwa watumishi wa umma wasitumie vibaya madaraka yao, isipokuwa ni janja tu ya kuwapoza wadanganyika, vinginevyo nitabadili mtazamo hapo nitakaposhuhudia hawa watuhumiwa wakihukumiwa.