Mpita Njia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 6,997
- 1,163
... lakini wakuu naomba kuuliza Mgonja ana kesi gani hasa?
Kwa mujibu wa tarifa za Mkuu Inv. bado haijajulikana kuna kesi gani. But as a clue ameweka stori moja ya This day ambayo inaeneleza kuwa Mgonja anaweza kuunganishwa kwenye moja ya hizi high profile cases. Ukilisoma lile bandiko unaweza kupata mwanga wa nini kitamkabili iwapo kweli atafikishwa mahakamani