Gray Mgonja: Kufikishwa Mahakamani na matokeo yake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gray Mgonja: Kufikishwa Mahakamani na matokeo yake

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Invisible, Dec 15, 2008.

 1. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #1
  Dec 15, 2008
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
  Gray Mgonja

  Kuna taarifa zinazotufikia punde kuwa Gray Mngoja kishafikishwa Mahakama ya Kisutu.

  Taarifa zaidi zitakuja muda si mrefu!
   
  Last edited by a moderator: Dec 15, 2008
 2. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #2
  Dec 15, 2008
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,314
  Likes Received: 5,606
  Trophy Points: 280
  dooooo kazi bado ipoo mbichi duuu
   
 3. m

  msasa Member

  #3
  Dec 15, 2008
  Joined: Nov 27, 2008
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kikwete noma mwenyewe yupo kempinskiiii anajirusha na stars anajifanya kama hajui kinachoendelea
   
 4. edwinito

  edwinito JF-Expert Member

  #4
  Dec 15, 2008
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 211
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  haya hay aliyezipata atujuze za uhakika
   
 5. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #5
  Dec 15, 2008
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Hahaha,

  Mara zote JK anakuwa kwenye shughuli tofauti kabisa na matarajio ya wengi.

  Lakini ukiisoma habari hii ya ThisDay haiihitaji kujiuliza sana juu ya kesi gani inamkabili:

   
 6. edwinito

  edwinito JF-Expert Member

  #6
  Dec 15, 2008
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 211
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kikwete ameenda Msumbiji, Stars hata kariakoo msimbazi hawajafika........
   
 7. AbdulKensington

  AbdulKensington Member

  #7
  Dec 15, 2008
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ufisadi ufisadishwe!
   
 8. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #8
  Dec 15, 2008
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Nadhani sasa hivi ndo wamepita mataa ya Chang'ombe
   
 9. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #9
  Dec 15, 2008
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pls confirm this??? Mnaturusha roho namna hii jamani; Nilisikia majaji wako ktk likizo imekuwaje??? pls update this is more sensitive
   
 10. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #10
  Dec 15, 2008
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 11,280
  Likes Received: 4,283
  Trophy Points: 280
  Walio maeneo ya KISUKU wafuatilie hiyo issue
   
 11. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #11
  Dec 15, 2008
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  One client at a time !!!
   
 12. S

  Silas A.K JF-Expert Member

  #12
  Dec 15, 2008
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 807
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Kama ilivyotarajiwa Mgonja amefikishwa mbele ya haki,tusubiri mengi yatakayojiri lakini nafikiri atakuwa anaunganishwa na Yona na Mramba katika kesi ile iliyokwishafikishwa mahakamani.
   
 13. m

  msasa Member

  #13
  Dec 15, 2008
  Joined: Nov 27, 2008
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  “For every dark night, there's a brighter day”
   
 14. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #14
  Dec 15, 2008
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Vijisenti Stroke shock ya kizimbani, yuko Agha Khan, aliye karibu atueleze yuko wodi gani ....
   
 15. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #15
  Dec 15, 2008
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kweli tunahitaji uhakika wa hizi habari maana nimezungumza na mtu aliyeko Kisutu mahakamani ananiambia Mgonja hajafikishwa, isipokuwa kuna mtu mwingine (ambaye hajapata jina lake) ameletwa kwa ajili ya kuunganishwa kwenye kesi moja ya epa-labda ndiye mgonja mwenyewe na jina lake linafichwa
   
 16. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #16
  Dec 15, 2008
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Sina lengo la kuwarusha roho wakuu. Hii ilinifikia dakika 30 zilizopita toka chanzo credible kabisa, tumemtuma mwandishi wetu na anafuatilia kwa karibu na atatupa updates za kinachoendelea. Kama alivyosema mzee Kichuguu, one client at a time!
   
 17. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #17
  Dec 15, 2008
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  That's another news to me. Ngoja tutume JF detectives eneo hilo.
   
 18. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #18
  Dec 15, 2008
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  I confirm kuwa ni Mgonja kafikishwa hapo Kisutu (hata kama wanaficha). Our detectives are down there and one reporter on his/her way to the court. Ni mashtaka gani? Basi hilo tutafahamishana.
   
 19. C

  Chuma JF-Expert Member

  #19
  Dec 15, 2008
  Joined: Dec 25, 2006
  Messages: 1,330
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mkuu detectives tena...as if kuna underground "bombs"..ok msg sent n delivered...
   
 20. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #20
  Dec 15, 2008
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,316
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  So they had to wait until the criminal gets his retirement benefits!
   
Loading...