jembelamkono
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 2,733
- 2,003
Kwani kuwa raisi,waziri au spika ndio kwamba unaakili kubwa kuliko wengine?Mwambie, utafiti wake una mashaka, au labda anataka kusema walioishi au kulelewa huko siyo vilaza!
Ntakubali wa huko walibahatika kuwa na fursa za elimu, malazi na maisha bora, ila pia kuwa na vilaza wa kufa mtu, hasa watoto wa vigogo, lakini sidhani wametoa marais, au mawaziri au maspika kuliko siye wa vijijini...
Sent using Jamii Forums mobile app