Graduates waliowahi kuishi Oysterbay na Masaki (au wanaoishi huko sasa tokea miaka ya nyuma) ni hazina kubwa ya taifa

Kimsingi wengi si waoga wana confidence.

Hawakupitia maisha ya inferiority complex ya kujiona daraja la chini au kuona kwamba wanaonewa kwa sababu ya hali yao duni.

Si lazima wote walifika ngazi za juu serikali au kwingine. Lakini kwa average hawaoni kigeni mjini.

Mtu aliona sinema za Jim Kerry, aliona Amithab Bacchan. Alienda outing kama Yatch Club, Dodoma Hotel, Mwanza yatch Club kimsingi ana uzoefu mjini.

Kuna mwingine ukimsimulia hayo wakati ndiyo maisha anakunja sura kana kwamba wewe ndiye ulitengeneza historia yake.

Tabu ni kwamba project za vijijini na ndiko kwenye kazi nyingi hawaziwezi. Wamekulia mjini.

Mfano neno kupunguza umasikini. Hawa umasikini hawaujui na wanausikia na hivyo hawafai katika eneo hili.

Sikutarajia topic kama hii. Ina ukweli lakini vumilia ukishambuliwa maana wengi walitoka madongo kwinama.
Ni hoja isiyo na maana yoyote!! Binafsi nimetoka familia maskini lakini nimesoma na watoto wengi wa kishua kuanzia O-Level hadi A-Level! Kwamba eti hawa watoto wa kishua walikuwa wanafaulu vizuri SIO KWELI! Majority, walikuwa ni average and many more even below the average!

Bado namkumbuka dogo mmoja ambae alikulia States, na alikuja Dar kuanza sekondari!! Kwavile lugha kwake haikuwa tatizo, akaapiza Form II lazima aongoze Kanda ya Mashariki kwa somo la Kiingereza!!!

Ninachokumbuka ni kwamba, hata mimi mtoto wa Temeke nilimburuza kwenye masomo yote let alone hiyo English ambayo aliishia kupata C!!

Kwenye suala la ufaulu, labda angesema wengi wao walikuwa na exposure... na ndio maana kuna washikaji kibao tu Form VI waliishia kupata III mbovu na hata IVbila kusahau Zero lakini kutokana na uwezo wa kifamilia hawa waliweza kwenda nje ya nchi na kusoma vyuo vikuu vya huko!!!

Na ukichunguza vizuri, majority hawakusoma kwenye best colleges kwa sababu hakuna best college in Europe or US ambayo inaweza kudahiri bila kuangalia education merit! Hata hivyo, hawa waliporudi Bongo walipata kazi mzuri kwa sababu tu walionekana wamesoma Marekani au UK; na kwa zamani ilikuwa ngumu kidogo kufuatilia ubora wa vyuo vya nje; na sidhani kama kuna aliyekuwa anafuatilia!!

Kwamba eti wamekulia mjini na kwahiyo hawawezi kazi za vijijini ni hoja nyingine isiyo na maana yoyote zaidi tu ya kujitia ufahari usio na tija!! Yaani mtu wa kuja ajifanye ndo amezoea sana Dar kuliko Mzaramo wa Kariakoo ambae kijijini kwao ni Kisarawe?! Acha kujikweza wewe!!!

Yaani nyie ndo mjifanye hamuwezi kazi ngumu kumzidi Madaraka Nyerere mtoto wa Rais; are you serious?! Yaani nyie mjifanye hamuwezi kazi ngumu kumzidi Andrew Nyerere ambae alienda hadi jeshini?!

Yaani unataka kusema nyinyi hamkuzoea shida kabisa hata kulinganisha na wale jamaa kutoka DC, NY, London, Beijing na kwingineko ambao ni kawaida sana kuwakuta vijijini wakipiga kazi!!

Acheni kujilegeza watoto wa kiume! Kwanza, kuna watoto kibao tu wa Oysterbay ambao hawakuishi Oysterbay consecutively over years kutokana na uhamisho wa wazee wao!!

Kwamba, waajiriwe kwa wingi na yenyewe ni hoja isiyo na maana yoyote kwa sababu majority tayari wameshaajiriwa!! Ikiwa hadi sasa Tanzania hakuna tija kwenye shughuli zetu mbalimbali basi ni kwa sababu hata hao watoto wa Oysterbay wameshindwa ku-deliver!!!

Na wataweza vipi ku-deliver ikiwa tayari mnajiona shida si sehemu ya maisha yenu kumzidi hata yule aliyekulia Paris?!
 
You missed the moral of the story. The moral of the story is - siyo lazima utoke Oysterbay na Masaki ndio ufanikiwe kama anavyoamini mleta mada. Unaweza kutoka Msoga, Mwitongo, Kwamtogole, Mbagala, Chato, nk ukafanikiwa. Tusiwakatishe tamaa vijana wetu mamilioni kwa mamilioni wanaozaliwa na kukulia maeneo haya. Kiingereza chako ni kibovu - What is "Your not psychological fit"? Should have been "You are not psychologically fit". Naweza kuwa nabisha na na mbumbumbu hapa. Watu mnavyokuwa nyuma ya keyboard mnajifanya mnaelewa kweli kweli.

QUOTE="jembelamkono, post: 31126764, member: 339917"]
Tulia mkuu,kuna stage ulimiss,your not psychological fit.

Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE]
 
Nimetoka katika mazingira hayo hayo. Nakubaliana na wewe kwa kiasi kikubwa. Nafanya kama wewe kwa wanangu pia. Tatizo la familia masikini, watoto hawaruhusuiwi kuongea na kujieleza. Ukiongea sana, unapigwa na kulazimishwa kunyamaza. Unatakiwa kuwa msikilizaji tu. Tatizo lake ni kwamba utaendelea kuwa msikilizaji hata ukubwani. Lakini hata hivyo nimejitahidi kupambana na hali yangu ukubwani na nimefanikiwa kwa kiasi kikubwa. Naamini walio wengi pia wana uwezo wa kupambana ukubwani wakafanikiwa. Kwa hiyo nawatia moyo.
Nimekulia bushi , kule ukiongea kuswahili unaonekana unajidai, ni mwendo wa kilugha kwenda mbele.
Nimeona gap kwenye maisha yangu, kuna ile aggressiveness ambayo ipo kwa watoto wa kishua huwa naikosa. Nimeitafuta muda kweli lakini naikosa.
Hapa nilipo napambana watoto wangu waishi hayo maisha, mambo ya vacation Marekani iwe kawaida.
Uswazi tuna potential kubwa Ila tunakufa nazo. Hatuko competitive, na lile gap la boss na junior ni kubwa sana kwa sisi wa uswazi. Tunajawa heshima ya woga ya kiseng.e wakati wa ushuani full kujiexpress.
kwenye interview na interaction za kawaida ni rahisi kutofautisha wa kishua na uswahilini ndani ya muda mchache tu.


Fake it until you own it
 
Kwa hiyo huu uzi ni wa kishua VS Uswazi.

Ungenoga kama le akili kubwaz angekuwepo.
 
Hao watoto wa Masaki, Obey na Mikocheni rigwaride hawaliwezi wamezoea kubebwa na status za Baba zao... Wengi wao hawana faida kwa Taifa, wale wa uswazi ni msaada mkubwa sana kwa Taifa maana ndio productive toka wakiwa na miaka 14 wanalipa kodi na kufanya shughuli za uzarishaji mali...

Wale wa masaki wengi mpaka miaka 30 wanategemea wazee wao na kuvizia nafasi za kuchomekwa huku competence ni zero, Taifa hili kwa kiasi kikubwa linateseka na hawa vijana aka watoto wa mama ambao wengi wao sio competent na sio wepesi kufikiri sana kwenye kutafuta ufumbuzi wa tatizo maana wameshazoea spoon feeding..
Kweli mkuu unakuta mtu mzima kama LE MUTUZ anakaa kwao bado hata yeye anakili alivyotoka ulaya akafikia kwao ha ha ha ha ha jamaa ana miaka 60 lakini maish yake hayaeleweki wako wengi ni washkaji zangu lakini unakuta ana 45 bado anatokea home mwingine T.I.D ha ha ha mzee kigogo hana hata chumba cha elfu 50
 
Wale wa ally bin said,Uganda evenue,Gine,haile salaise,mkadini,Ghuba road,msasani road,Ethiopia ,


Sent from my iPhone using JamiiForums

Chisiza, Toure Drive, Chole, Kenyata, Salama Close, Karume, Yasser Arafat, Winding, Zayli Lane, Pietta Lane, Mwaya, Baines Avenue, CCM, Buzwagi, Mererani, Touch Lane, Hamza Aziz, Touch Lane, Msirikale, Yatch Club, Coral Lane.
 
Inachekesha sana kuita watu washamba wakati 99% ya watoto waliokulia O'bay wazazi wao walitoka kwenye maisha ya kifukara sana, ilikuwa ni huruma tuu ya Nyerere kuwasomesha bure ndo wakapata nafasi ya kuweza kusoma na hatimaye kuweza kukaa huko na watoto wao kuonekana wa kishua.

Kwa mtu mwelewa, Magu siyo mshamba kiivyo labda kwa mtu limbukeni mwenye level ya chini ya uelewa, lakini kama unauwezo wa juu wa kufikiri, utamwelea vizuri tuu, japo kuwa na yeye anachangamoto zake.
Ni kweli kabisa mkuu MAGU amesaidia sana amevunja ile gepu kuwa kama baba yako alikua kwenye system basi na wewe unakuja ku risishwa mi nawajua baadhi ya watu they didint had a classy and now wako wamepewa nafasi kubwa so hii itasaidia ku create matajili wapya kuliko kuwa na wale wale kila siku
 
Asante sana mleta mada,kuna mengi ya kujifunza kupitia hii thd,toka pande zote mbili,yaani wakishua na wa uswazi.

Binafsi nakomaa na box huku kwa malkia na life linasonga.
 
Magu hana roho mbaya, yeye bifu lake lipo kwa wale ambao walitokea kwenye umasikini, wakasomeshwa bure na Nyerere halafu baada ya kuwezeshwa wakaota mapembe na kuanza kuvunja madaraja ili wengine wasifike huko walipo. Anachotaka yeye ni kila mtu mwenye uwezo apate nafasi kama ilivyokuwa zamani. Ukiangalia vizuri utaona hapo mwenye roho mbaya ni nani.
Ana roho mbaya, kama ni kuvunja madaraja anaweza kuyavunja kistaarabu tu si kufukuza kazi na kutishiana maisha kama vile yaliyokuwa yanafanyika yeye hakuwa mmoja wapo kwenye systeam, kila siku anajisifu na kujinasibu kuwa anafanya vyema amerudisha hata viwanda ambavyo alikuwa sehemu ya bunge walioamua maamuzi ya hovyo kuvigawa bure, arudishe na nyumba za serikali alizo honga na kuuza kwa bei ya bure tujue ana fanya kwa haki.
 
Ana roho mbaya, kama ni kuvunja madaraja anaweza kuyavunja kistaarabu tu si kufukuza kazi na kutishiana maisha kama vile yaliyokuwa yanafanyika yeye hakuwa mmoja wapo kwenye systeam, kila siku anajisifu na kujinasibu kuwa anafanya vyema amerudisha hata viwanda ambavyo alikuwa sehemu ya bunge walioamua maamuzi ya hovyo kuvigawa bure, arudishe na nyumba za serikali alizo honga na kuuza kwa bei ya bure tujue ana fanya kwa haki.
Endelea kuamini hivyo lakini sisi tunapoona watu wakawaida wakishirikiswa kwenye ujenzi wa taifa, tunafurahi. Tukiona hospitali zinajengwa na kuwekwa vifaa vya kisasa ili wananchi wa kawaida wapate kutibiwa bila ya kwenda India tunashukuru. Yale mambo ya watu wachache kuhodhi nchi huku mamia wakiwa hawana matumanini hiyo ndiyo roho mbaya.

Unaposema Magu alikuwa kwenye system unakosea, kwa jinsi Tanzania ilivyo, asingeweza kufanya kitu kwa wakubwa zake hawakutaka. Mfano mzuri ni jinsi alivyokamata samaki, unakumbuka kilichotokea?
 
Ni kazi za ma Layman na wenye elimu ndogo
Ni kweli mkuu, cha muhimu ni kupata pesa , hata footballers au musicians hawana elimu lakini wana pesa balala na ni maarufu , tena Wana clean money kwa kuwa wamezipata kwa nguvu za kazi zao, tofauti na pesa nyingi za wasomi wa kiafrika nyingi si safi kiivyo
 
Ni kweli mkuu, cha muhimu ni kupata pesa , hata footballers au musicians hawana elimu lakini wana pesa balala na ni maarufu , tena Wana clean money kwa kuwa wamezipata kwa nguvu za kazi zao, tofauti na pesa nyingi za wasomi wa kiafrika nyingi si safi kiivyo
Hao jamaa kwenye uchumi tunaita ni opportunity cost kiswahili wanakua wamepata ngekewa tu ndio pesa yao sio sustainable ndio mana wakitoka huko wanafulia vibaya mno tofauti na msomi pesa yake inakua sustainable hebu angalia wanamziki wangapi walikua na pesa saizi wamefulia
 
Endelea kuamini hivyo lakini sisi tunapoona watu wakawaida wakishirikiswa kwenye ujenzi wa taifa, tunafurahi. Tukiona hospitali zinajengwa na kuwekwa vifaa vya kisasa ili wananchi wa kawaida wapate kutibiwa bila ya kwenda India tunashukuru. Yale mambo ya watu wachache kuhodhi nchi huku mamia wakiwa hawana matumanini hiyo ndiyo roho mbaya.

Unaposema Magu alikuwa kwenye system unakosea, kwa jinsi Tanzania ilivyo, asingeweza kufanya kitu kawa wakubwa zake hawakutaka. Mfano mzuri ni jinsi alivyokamata samaki, unakumbuka kilichotokea?
Angekuwa ana jali wote na anatenda haki leo makonda asingekuwa mkuu wa mkoa, amejua kafoji vyeti anamsafisha eti simtoi kwa kuwa anakamata wauza unga hata kama ana vyeti feki, wale aliowafukuza hawakuwa na vyeti feki?! Huyu si malaika ana mazuri na mabaya pia msimfananishe na Mungu ndio maana hawa watu wakiambiwa wana udhaifu wanapata wazimu kwa kuwa kuna watu wamewapa utukufu usio wastahili.
 
Angekuwa ana jali wote na anatenda haki leo makonda asingekuwa mkuu wa mkoa, amejua kafoji vyeti anamsafisha eti simtoi kwa kuwa anakamata wauza unga hata kama ana vyeti feki, wale aliowafukuza hawakuwa na vyeti feki?! Huyu si malaika ana mazuri na mabaya pia msimfananishe na Mungu ndio maana hawa watu wakiambiwa wana udhaifu wanapata wazimu kwa kuwa kuna watu wamewapa utukufu usio wastahili.
BTW wewe ni Mwasu wa Morogoro store?
 
Kweli mkuu unakuta mtu mzima kama LE MUTUZ anakaa kwao bado hata yeye anakili alivyotoka ulaya akafikia kwao ha ha ha ha ha jamaa ana miaka 60 lakini maish yake hayaeleweki wako wengi ni washkaji zangu lakini unakuta ana 45 bado anatokea home mwingine T.I.D ha ha ha mzee kigogo hana hata chumba cha elfu 50

Hawa raia huwa nawajua sana tabia zao, wengine wako ulaya lakini hela ya matumizi na mambo mengine wanatumiwa na baba zao. Ndio maana sisi wauswazi tunagonga sana dada zao maana wanahitaji matanuzi wakati ndio vile tena vijana wenye mpunga wanatoka uswazi ona Diamond,Kiba na Hasheem wanavyowadharirisha, Mtu kama Lemutuz leo hii amekuwa kibaraka wa watoto wa mjini tena ambao hawana background kama ya kwake. Kinje na Riz1 ndio watoto wa vigogo ninaowaamini kwenye mapambano maana walitumia fursa za wazee wao vizuri nao wakatoboa upande mwingine tofauti na hawa wengine wapaka poda na lipstick za dada zao.
 
Back
Top Bottom