Graduates waliowahi kuishi Oysterbay na Masaki (au wanaoishi huko sasa tokea miaka ya nyuma) ni hazina kubwa ya taifa

5 Mar 2013
Northeastern University graduate student Asanterabi Malima talks about an ultra-sensitive screening chip that uses nanotechnology to detect colorectal cancer earlier than ever before.

Source : NanoNerds
 
Hussein Ali Mwinyi (born 23 December 1966) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Kwahani constituency since 2005. He is the current Minister of Defence and National Service.

SCHOOL NAME/LOCATIONCOURSE/DEGREE/AWARD
START DATE
END DATE
LEVEL
EDUCATION
HAMMERSMITH HOSPITAL, LONDON, UK
PHD​
1994​
1997​
PHD​
HAMMERSMITH HOSPITAL, LONDON, UK
MASTERS (MEDICINE)​
1991​
1997​
MASTERS DEGREE​
MARMARA UNIVERSITY MEDICAL SCHOOL, ISTANBUL TURKEY
DOCTOR OF MEDICINE​
1985​
1991​
CERTIFICATE​
TAMBAZA HIGH SCHOOL
A-LEVEL EDUCATION​
1984​
1985​
HIGH SCHOOL​
AZANIA SECONDARY SCHOOL
O-LEVEL EDUCATION​
1982​
1984​
SECONDARY​
MANOR HOUSE JUNIOR SCHOOL, CAIRO, EGYPT
PRIMARY EDUCATION​
1977​
1981​
PRIMARY​
OYSTERBAY PRIMARY
 
Na Lemutuz nae kakulia O'bay ujue !!!!!!!
Mkuu usilitaje bure jina la LMZ ama ulitaje polepole kwa kulipamba basi.
Mambo ya dunia na mifumo yake aijuaye ni Rabana pekee.
Huyohuyo Lemutu, siku1 anaweza kuku'engage' na ukajishitukia unamuwashia jiko kiulaini kabisa na maisha yaliyo bora yakaendelea!
Haujafa haujaumbika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Graduates waliowahi kuishi Oysterbay na Masaki (au wanaoishi huko sasa tokea miaka ya nyuma) ni hazina kubwa ya taifa kwenye kipindi hichi cha ulimwengu wa utandawazi.

Wana human capital nzuri inayoweza kufanya kazi vizuri kwenye makampuni na taasisi mbali mbali za kitaifa na kimataifa.

Watoto wa hawa graduates ambao pia ni magraduates, pia ni hazina kubwa kwa taifa.

Hii ni kwa sababu wengi wa watu walioishi Oysterbay na Masaki tokea enzi za Nyerere walikuwa ni wale waliofaulu vizuri darasani.

Na pia walipata exposure nzuri ndani na nje ya nchi.

Watoto graduates wa hawa graduates (wa Oysterbay na Masaki) wameweza pia kujifunza mambo mbali mbali kutoka kwa wazazi wao.

Nashauri waajiriwe kwa wingi na kupewa nafasi nzuri nzuri. Tuwa support pia pale wanapojiajiri.

Hii pia ina apply kwa graduates wa maeneo kama Mikocheni.

Of course graduates hawa wa Oysterbay na Masaki wana mapungufu yao kama binadamu wengine.
This is the truth. Naunga mkono hoja. Wangewekwa hao siku nyingi nchi ingepata maendeleo makubwa maana wana exposure kubwa. Hawana tamaa za kijinga kuiba fedha ili wajenge majumba, magari n.k. Sio washamba wa vitu hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hussein Ali Mwinyi (born 23 December 1966) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Kwahani constituency since 2005. He is the current Minister of Defence and National Service.

EDUCATION
SCHOOL NAME/LOCATIONCOURSE/DEGREE/AWARD
START DATE
END DATE
LEVEL
HAMMERSMITH HOSPITAL, LONDON, UK
PHD​
1994​
1997​
PHD​
HAMMERSMITH HOSPITAL, LONDON, UK
MASTERS (MEDICINE)​
1991​
1997​
MASTERS DEGREE​
MARMARA UNIVERSITY MEDICAL SCHOOL, ISTANBUL TURKEY
DOCTOR OF MEDICINE​
1985​
1991​
CERTIFICATE​
TAMBAZA HIGH SCHOOL
A-LEVEL EDUCATION​
1984​
1985​
HIGH SCHOOL​
AZANIA SECONDARY SCHOOL
O-LEVEL EDUCATION​
1982​
1984​
SECONDARY​
MANOR HOUSE JUNIOR SCHOOL, CAIRO, EGYPT
PRIMARY EDUCATION​
1977​
1981​
PRIMARY​
OYSTERBAY PRIMARY
Daah jamaa kumbe ana akili Sana , hongera zake mwinyi , Kwanza amesoma kozi za kibabe
 
Mi nimekulia kijijini bushi Kinyama, toka familia duni, huyu mleta uzi namfananisha na jamaa niliwahi fanya nao kazi,wengi wao watoto wa kishure wazazi wao wao na wao wanaishi Masaki,ila chalii yangu hwa jamaa ni zaidi ya Dhaifu.Kazi hawawezi kivile,ubinafsi na utabaka mwingi,hata kutongoza hawawezi, yaani usiombe kufanana nao tabia hawa jamaa,ni Bora uwe na rafiki shoga/ msenge kuliko watoto hao.Hata kutongoza wanaogopa???!
 
Graduates waliowahi kuishi Oysterbay na Masaki (au wanaoishi huko sasa tokea miaka ya nyuma) ni hazina kubwa ya taifa kwenye kipindi hichi cha ulimwengu wa utandawazi.

Wana human capital nzuri inayoweza kufanya kazi vizuri kwenye makampuni na taasisi mbali mbali za kitaifa na kimataifa.

Watoto wa hawa graduates ambao pia ni magraduates, pia ni hazina kubwa kwa taifa.

Hii ni kwa sababu wengi wa watu walioishi Oysterbay na Masaki tokea enzi za Nyerere walikuwa ni wale waliofaulu vizuri darasani.

Na pia walipata exposure nzuri ndani na nje ya nchi.

Watoto graduates wa hawa graduates (wa Oysterbay na Masaki) wameweza pia kujifunza mambo mbali mbali kutoka kwa wazazi wao.

Nashauri waajiriwe kwa wingi na kupewa nafasi nzuri nzuri. Tuwa support pia pale wanapojiajiri.

Hii pia ina apply kwa graduates wa maeneo kama Mikocheni.

Of course graduates hawa wa Oysterbay na Masaki wana mapungufu yao kama binadamu wengine.
Nyerere alikulia butiama
mkapa Lupaso
 
Ni hoja isiyo na maana yoyote!! Binafsi nimetoka familia maskini lakini nimesoma na watoto wengi wa kishua kuanzia O-Level hadi A-Level! Kwamba eti hawa watoto wa kishua walikuwa wanafaulu vizuri SIO KWELI! Majority, walikuwa ni average and many more even below the average!

Bado namkumbuka dogo mmoja ambae alikulia States, na alikuja Dar kuanza sekondari!! Kwavile lugha kwake haikuwa tatizo, akaapiza Form II lazima aongoze Kanda ya Mashariki kwa somo la Kiingereza!!!

Ninachokumbuka ni kwamba, hata mimi mtoto wa Temeke nilimburuza kwenye masomo yote let alone hiyo English ambayo aliishia kupata C!!

Kwenye suala la ufaulu, labda angesema wengi wao walikuwa na exposure... na ndio maana kuna washikaji kibao tu Form VI waliishia kupata III mbovu na hata IVbila kusahau Zero lakini kutokana na uwezo wa kifamilia hawa waliweza kwenda nje ya nchi na kusoma vyuo vikuu vya huko!!!

Na ukichunguza vizuri, majority hawakusoma kwenye best colleges kwa sababu hakuna best college in Europe or US ambayo inaweza kudahiri bila kuangalia education merit! Hata hivyo, hawa waliporudi Bongo walipata kazi mzuri kwa sababu tu walionekana wamesoma Marekani au UK; na kwa zamani ilikuwa ngumu kidogo kufuatilia ubora wa vyuo vya nje; na sidhani kama kuna aliyekuwa anafuatilia!!

Kwamba eti wamekulia mjini na kwahiyo hawawezi kazi za vijijini ni hoja nyingine isiyo na maana yoyote zaidi tu ya kujitia ufahari usio na tija!! Yaani mtu wa kuja ajifanye ndo amezoea sana Dar kuliko Mzaramo wa Kariakoo ambae kijijini kwao ni Kisarawe?! Acha kujikweza wewe!!!

Yaani nyie ndo mjifanye hamuwezi kazi ngumu kumzidi Madaraka Nyerere mtoto wa Rais; are you serious?! Yaani nyie mjifanye hamuwezi kazi ngumu kumzidi Andrew Nyerere ambae alienda hadi jeshini?!

Yaani unataka kusema nyinyi hamkuzoea shida kabisa hata kulinganisha na wale jamaa kutoka DC, NY, London, Beijing na kwingineko ambao ni kawaida sana kuwakuta vijijini wakipiga kazi!!

Acheni kujilegeza watoto wa kiume! Kwanza, kuna watoto kibao tu wa Oysterbay ambao hawakuishi Oysterbay consecutively over years kutokana na uhamisho wa wazee wao!!

Kwamba, waajiriwe kwa wingi na yenyewe ni hoja isiyo na maana yoyote kwa sababu majority tayari wameshaajiriwa!! Ikiwa hadi sasa Tanzania hakuna tija kwenye shughuli zetu mbalimbali basi ni kwa sababu hata hao watoto wa Oysterbay wameshindwa ku-deliver!!!

Na wataweza vipi ku-deliver ikiwa tayari mnajiona shida si sehemu ya maisha yenu kumzidi hata yule aliyekulia Paris?!
FACTS.
 
Back
Top Bottom