monopoly inc
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 5,265
- 11,307
Kuna wahuni wengi tu wamekulia pale. Na asilimia kubwa tena zaidi ya 90% ya wakazi waliokua wanaishi maeneo yale leo hii hawapo tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
PointMkuu acha ujinga kabisa yaani ungejua mashoga shoga wengi wanatokea huko ungetulia tu
Lemutuz, mange kimavi nao ni toleo la hukohuko unakokupa promo
yaan ungesem watoto Wa huko wanatuzid kuongea kizungu hapo sawa
Nawajua wengi sana hawapo nchini mkuuGraduates waliowahi kuishi Oysterbay na Masaki (au wanaoishi huko sasa tokea miaka ya nyuma) ni hazina kubwa ya taifa kwenye kipindi hichi cha ulimwengu wa utandawazi.
Wana human capital nzuri inayoweza kufanya kazi vizuri kwenye makampuni na taasisi mbali mbali za kitaifa na kimataifa.
Watoto wa hawa graduates ambao pia ni magraduates, pia ni hazina kubwa kwa taifa.
Hii ni kwa sababu wengi wa watu walioishi Oysterbay na Masaki tokea enzi za Nyerere walikuwa ni wale waliofaulu vizuri darasani.
Na pia walipata exposure nzuri ndani na nje ya nchi.
Watoto graduates wa hawa graduates (wa Oysterbay na Masaki) wameweza pia kujifunza mambo mbali mbali kutoka kwa wazazi wao.
Nashauri waajiriwe kwa wingi na kupewa nafasi nzuri nzuri. Tuwa support pia pale wanapojiajiri.
Hii pia ina apply kwa graduates wa maeneo kama Mikocheni.
Of course graduates hawa wa Oysterbay na Masaki wana mapungufu yao kama binadamu wengine.
I have that blood friend from masaki yan yupo simple hadi ananikera
Raha yake ni kwenda kuogelea na hii mipira ya golf
Hana muda na simu unampa story za siasa anaishia kusema magufuli a fine man
God first
sijakulia masaki wala oysterbay ila nimejiongeza sana. baadhi ya rafiki zangu ni watu waliokulia mitaa ile, nimejitahidi kutumia connection zao kujipatia faida.
ni vijana wenye connection nyingi sana. la msingi ni kuwa loyal tu kwao maana wao hawana ulimbukeni kama tulio nao sisi watoto tuliokulia uswahilini.
Nawajua wengi sana hawapo nchini mkuu
Graduates waliowahi kuishi Oysterbay na Masaki (au wanaoishi huko sasa tokea miaka ya nyuma) ni hazina kubwa ya taifa kwenye kipindi hichi cha ulimwengu wa utandawazi.
Wana human capital nzuri inayoweza kufanya kazi vizuri kwenye makampuni na taasisi mbali mbali za kitaifa na kimataifa.
Watoto wa hawa graduates ambao pia ni magraduates, pia ni hazina kubwa kwa taifa.
Hii ni kwa sababu wengi wa watu walioishi Oysterbay na Masaki tokea enzi za Nyerere walikuwa ni wale waliofaulu vizuri darasani.
Na pia walipata exposure nzuri ndani na nje ya nchi.
Watoto graduates wa hawa graduates (wa Oysterbay na Masaki) wameweza pia kujifunza mambo mbali mbali kutoka kwa wazazi wao.
Nashauri waajiriwe kwa wingi na kupewa nafasi nzuri nzuri. Tuwa support pia pale wanapojiajiri.
Hii pia ina apply kwa graduates wa maeneo kama Mikocheni.
Of course graduates hawa wa Oysterbay na Masaki wana mapungufu yao kama binadamu wengine.
[/QUOTnimeshindwa kukuelewa laba ni mm tu....
maeneo ulikotaja ndo walikotoka watoto wa viongozi wakuu na waandamizi wa nchii hii. Na ukisema hazina unamaanisha nini maana kama mm si kiongozi sio hazina au mchango wangu katika kulipa kodi...tumetoka rural tumepita Shkule za kayumba hadi special school hadi chuo
watoto wa ushuani hujiamini sana na ni rahisi kufanikiwa. ila hata wewe,kivwawa vwawa ichenjezya ni ushuaniIli uwe na sustainability kimaendeleo, exposure ni kitu muhimu sana,hawa jamaa wa maeneo hayo wana exposure na ma connection sana,....,hawalalamiki kijingajinga watoto wa ukanda wa Toure Road,Kenyata Drive,Bongoyo,Chole Road sio sawa na mimi wa Matalawe au Zengelendeti lazima wanizidi tu,sisi wengine tunaamini umaskini ni ufahari na mpango wa mungu,wao hizo mentally waliondolewa kichwani ndio maana wakapewa elimu bora na wanaamini katika hardworking!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wale Wa mlowowatoto wa ushuani hujiamini sana na ni rahisi kufanikiwa. ila hata wewe,kivwawa vwawa ichenjezya ni ushuani
Kiranga upangaWenzangu wa Upanga mpo!?
Wenzangu wa Upanga mpo!?
Sisi tuliokulia Yombo Dovya na ni graduates tusipate ajira au sio? Huu uzi ni wa ubaguziGraduates waliowahi kuishi Oysterbay na Masaki (au wanaoishi huko sasa tokea miaka ya nyuma) ni hazina kubwa ya taifa kwenye kipindi hichi cha ulimwengu wa utandawazi.