Graduates waliowahi kuishi Oysterbay na Masaki (au wanaoishi huko sasa tokea miaka ya nyuma) ni hazina kubwa ya taifa

Mkuu acha ujinga kabisa yaani ungejua mashoga shoga wengi wanatokea huko ungetulia tu

Lemutuz, mange kimavi nao ni toleo la hukohuko unakokupa promo

yaan ungesem watoto Wa huko wanatuzid kuongea kizungu hapo sawa
 
sijakulia masaki wala oysterbay ila nimejiongeza sana. baadhi ya rafiki zangu ni watu waliokulia mitaa ile, nimejitahidi kutumia connection zao kujipatia faida.

ni vijana wenye connection nyingi sana. la msingi ni kuwa royal tu kwao maana wao hawana ulimbukeni kama tulio nao sisi watoto tuliokulia uswahilini.
 
Graduates waliowahi kuishi Oysterbay na Masaki (au wanaoishi huko sasa tokea miaka ya nyuma) ni hazina kubwa ya taifa kwenye kipindi hichi cha ulimwengu wa utandawazi.

Wana human capital nzuri inayoweza kufanya kazi vizuri kwenye makampuni na taasisi mbali mbali za kitaifa na kimataifa.

Watoto wa hawa graduates ambao pia ni magraduates, pia ni hazina kubwa kwa taifa.

Hii ni kwa sababu wengi wa watu walioishi Oysterbay na Masaki tokea enzi za Nyerere walikuwa ni wale waliofaulu vizuri darasani.

Na pia walipata exposure nzuri ndani na nje ya nchi.

Watoto graduates wa hawa graduates (wa Oysterbay na Masaki) wameweza pia kujifunza mambo mbali mbali kutoka kwa wazazi wao.

Nashauri waajiriwe kwa wingi na kupewa nafasi nzuri nzuri. Tuwa support pia pale wanapojiajiri.

Hii pia ina apply kwa graduates wa maeneo kama Mikocheni.

Of course graduates hawa wa Oysterbay na Masaki wana mapungufu yao kama binadamu wengine.
Nawajua wengi sana hawapo nchini mkuu
 
sijakulia masaki wala oysterbay ila nimejiongeza sana. baadhi ya rafiki zangu ni watu waliokulia mitaa ile, nimejitahidi kutumia connection zao kujipatia faida.

ni vijana wenye connection nyingi sana. la msingi ni kuwa loyal tu kwao maana wao hawana ulimbukeni kama tulio nao sisi watoto tuliokulia uswahilini.

Kaka heshima kwako.

Mimi nimekulia maeneo hayo na kweli tuna connections nyingi na ulifanya vizuri kukubali ukaendelea.

Kuna ndugu zangu watoto wa mjomba na watu kama wa aina hiyo walituona kama tunajifanya wazungu na tunaringa na kwa kweli walidhani wametutenga kijamii.

Matokeo yake sasa imepita miaka 20 wanaona walifanya kosa la msingi kimaisha na wamepigika hawawezi kuchomoka kimaisha. Hawana elimu, hawana biashara hawana connections.

Wamekulia uswahilini na wanazeekea uswahilini.

Wao walidhani kujichanganya ni kutoka Oyster Bay kwenda kuchanganyika Manzese. Tena wakati ule walituia "mabishoo".

Baadhi ndiyo hawa wanaolialia humu mitandaoni na kulalamika kila jambo utadhani ulikuja duniani kuonewa.

Si kwamba sisi hatu
 
Ili uwe na sustainability kimaendeleo, exposure ni kitu muhimu sana,hawa jamaa wa maeneo hayo wana exposure na ma connection sana,....,hawalalamiki kijingajinga watoto wa ukanda wa Toure Road,Kenyata Drive,Bongoyo,Chole Road sio sawa na mimi wa Matalawe au Zengelendeti lazima wanizidi tu,sisi wengine tunaamini umaskini ni ufahari na mpango wa mungu,wao hizo mentally waliondolewa kichwani ndio maana wakapewa elimu bora na wanaamini katika hardworking!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna yule mmoja anajiita DMK anaishi usa ni promoter anapeleka sana wasanii wa bongo nnje inawezekana naye ni wa kuzaliwa mitaa hiyohiyo
 
Graduates waliowahi kuishi Oysterbay na Masaki (au wanaoishi huko sasa tokea miaka ya nyuma) ni hazina kubwa ya taifa kwenye kipindi hichi cha ulimwengu wa utandawazi.

Wana human capital nzuri inayoweza kufanya kazi vizuri kwenye makampuni na taasisi mbali mbali za kitaifa na kimataifa.

Watoto wa hawa graduates ambao pia ni magraduates, pia ni hazina kubwa kwa taifa.

Hii ni kwa sababu wengi wa watu walioishi Oysterbay na Masaki tokea enzi za Nyerere walikuwa ni wale waliofaulu vizuri darasani.

Na pia walipata exposure nzuri ndani na nje ya nchi.

Watoto graduates wa hawa graduates (wa Oysterbay na Masaki) wameweza pia kujifunza mambo mbali mbali kutoka kwa wazazi wao.

Nashauri waajiriwe kwa wingi na kupewa nafasi nzuri nzuri. Tuwa support pia pale wanapojiajiri.

Hii pia ina apply kwa graduates wa maeneo kama Mikocheni.

Of course graduates hawa wa Oysterbay na Masaki wana mapungufu yao kama binadamu wengine.
[/QUOTnimeshindwa kukuelewa laba ni mm tu....
maeneo ulikotaja ndo walikotoka watoto wa viongozi wakuu na waandamizi wa nchii hii. Na ukisema hazina unamaanisha nini maana kama mm si kiongozi sio hazina au mchango wangu katika kulipa kodi...tumetoka rural tumepita Shkule za kayumba hadi special school hadi chuo
 
Ili uwe na sustainability kimaendeleo, exposure ni kitu muhimu sana,hawa jamaa wa maeneo hayo wana exposure na ma connection sana,....,hawalalamiki kijingajinga watoto wa ukanda wa Toure Road,Kenyata Drive,Bongoyo,Chole Road sio sawa na mimi wa Matalawe au Zengelendeti lazima wanizidi tu,sisi wengine tunaamini umaskini ni ufahari na mpango wa mungu,wao hizo mentally waliondolewa kichwani ndio maana wakapewa elimu bora na wanaamini katika hardworking!

Sent using Jamii Forums mobile app
watoto wa ushuani hujiamini sana na ni rahisi kufanikiwa. ila hata wewe,kivwawa vwawa ichenjezya ni ushuani:)
 
Graduates waliowahi kuishi Oysterbay na Masaki (au wanaoishi huko sasa tokea miaka ya nyuma) ni hazina kubwa ya taifa kwenye kipindi hichi cha ulimwengu wa utandawazi.

Wana human capital nzuri inayoweza kufanya kazi vizuri kwenye makampuni na taasisi mbali mbali za kitaifa na kimataifa.

Watoto wa hawa graduates ambao pia ni magraduates, pia ni hazina kubwa kwa taifa.

Hii ni kwa sababu wengi wa watu walioishi Oysterbay na Masaki tokea enzi za Nyerere walikuwa ni wale waliofaulu vizuri darasani.

Na pia walipata exposure nzuri ndani na nje ya nchi.

Watoto graduates wa hawa graduates (wa Oysterbay na Masaki) wameweza pia kujifunza mambo mbali mbali kutoka kwa wazazi wao.

Nashauri waajiriwe kwa wingi na kupewa nafasi nzuri nzuri. Tuwa support pia pale wanapojiajiri.

Hii pia ina apply kwa graduates wa maeneo kama Mikocheni.

Of course graduates hawa wa Oysterbay na Masaki wana mapungufu yao kama binadamu wengine.
Sisi tuliokulia Yombo Dovya na ni graduates tusipate ajira au sio? Huu uzi ni wa ubaguzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom