Graduates waliowahi kuishi Oysterbay na Masaki (au wanaoishi huko sasa tokea miaka ya nyuma) ni hazina kubwa ya taifa

C

cvb-1

Member
Joined
Dec 14, 2018
Messages
9
Points
45
C

cvb-1

Member
Joined Dec 14, 2018
9 45
Graduates waliowahi kuishi Oysterbay na Masaki (au wanaoishi huko sasa tokea miaka ya nyuma) ni hazina kubwa ya taifa kwenye kipindi hichi cha ulimwengu wa utandawazi.

Wana human capital nzuri inayoweza kufanya kazi vizuri kwenye makampuni na taasisi mbali mbali za kitaifa na kimataifa.

Watoto wa hawa graduates ambao pia ni magraduates, pia ni hazina kubwa kwa taifa.

Hii ni kwa sababu wengi wa watu walioishi Oysterbay na Masaki tokea enzi za Nyerere walikuwa ni wale waliofaulu vizuri darasani.

Na pia walipata exposure nzuri ndani na nje ya nchi.

Watoto graduates wa hawa graduates (wa Oysterbay na Masaki) wameweza pia kujifunza mambo mbali mbali kutoka kwa wazazi wao.

Nashauri waajiriwe kwa wingi na kupewa nafasi nzuri nzuri. Tuwa support pia pale wanapojiajiri.

Hii pia ina apply kwa graduates wa maeneo kama Mikocheni.

Of course graduates hawa wa Oysterbay na Masaki wana mapungufu yao kama binadamu wengine.
 
C

Cute Cindy

Member
Joined
Apr 9, 2019
Messages
12
Points
45
C

Cute Cindy

Member
Joined Apr 9, 2019
12 45
Kaka heshima kwako.

Mimi nimekulia maeneo hayo na kweli tuna connections nyingi na ulifanya vizuri kukubali ukaendelea.

Kuna ndugu zangu watoto wa mjomba na watu kama wa aina hiyo walituona kama tunajifanya wazungu na tunaringa na kwa kweli walidhani wametutenga kijamii.

Matokeo yake sasa imepita miaka 20 wanaona walifanya kosa la msingi kimaisha na wamepigika hawawezi kuchomoka kimaisha. Hawana elimu, hawana biashara hawana connections.

Wamekulia uswahilini na wanazeekea uswahilini.

Wao walidhani kujichanganya ni kutoka Oyster Bay kwenda kuchanganyika Manzese. Tena wakati ule walituia "mabishoo".

Baadhi ndiyo hawa wanaolialia humu mitandaoni na kulalamika kila jambo utadhani ulikuja duniani kuonewa.

Si kwamba sisi hatu
Dah nilipita street za masaki siku moja, mitaa IPO kimya, imetulia hadi raha SubiriJibu
 
Omusolopogasi

Omusolopogasi

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2017
Messages
1,209
Points
2,000
Omusolopogasi

Omusolopogasi

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2017
1,209 2,000
Nimezaliwa na kukulia Malyampaka - ndani ndani huko. Nilitoka nikiwa na miaka 13 wakati nakwenda sekondari - boarding. Mwishoe shule ikanifikisha Dar. Na Dar nilikuwa nakaa Makongo Juu kwa rafiki. Baada ya shule nikaendelea (zaidi ya Dar). The rest is history. Nimefika kila kona ya dunia. Nimefika Manhattan, New York; Ginza, Roppong, Tokyo; Sandton, Johannesburg; nk. Namshukuru Mungu. What is Oysterbay na Masaki?

Graduates waliowahi kuishi Oysterbay na Masaki (au wanaoishi huko sasa tokea miaka ya nyuma) ni hazina kubwa ya taifa kwenye kipindi hichi cha ulimwengu wa utandawazi.

Wana human capital nzuri inayoweza kufanya kazi vizuri kwenye makampuni na taasisi mbali mbali za kitaifa na kimataifa.

Watoto wa hawa graduates ambao pia ni magraduates, pia ni hazina kubwa kwa taifa.

Hii ni kwa sababu wengi wa watu walioishi Oysterbay na Masaki tokea enzi za Nyerere walikuwa ni wale waliofaulu vizuri darasani.

Na pia walipata exposure nzuri ndani na nje ya nchi.

Watoto graduates wa hawa graduates (wa Oysterbay na Masaki) wameweza pia kujifunza mambo mbali mbali kutoka kwa wazazi wao.

Nashauri waajiriwe kwa wingi na kupewa nafasi nzuri nzuri. Tuwa support pia pale wanapojiajiri.

Hii pia ina apply kwa graduates wa maeneo kama Mikocheni.

Of course graduates hawa wa Oysterbay na Masaki wana mapungufu yao kama binadamu wengine.
 
titimunda

titimunda

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2014
Messages
7,605
Points
2,000
titimunda

titimunda

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2014
7,605 2,000
Mi nmekulia uswahilini na tokea mdogo huku uswazi tulikuwa tunaonekana wakishua,ila nlipoanza kutembea na kuwa na marafiki huko mikocheni,upanga,masaki posta etc ndo nlipogundua kuwa kumbe mie maskini tu.Maisha wanayoishi watu wa masaki na huku jeti rumo kijiwe samli ni tafauti kabisa,.Hata bangi inayovutwa masaki ni tafauti na inayovutwa kigogo sambusa.

Huko ushuani connection za kumwaga,alafu wana hawana roho mbaya wala choyo,michongo kama yote,hata mentality iko tafauti kabisa,huku husikii maswala ya kulogana,haters sjui nini.

Katika kitu kikubwa nlichojifunza katika maisha ni kunichanganya na kuwa na marafiki na washkaji wa aina tafauti na wakutokea mazingira tafauti,utajifunza mengi sana kuliko kuwa na marafiki wa aina moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
33,491
Points
2,000
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
33,491 2,000
Na Lemutuz nae kakulia O'bay ujue !!!!!!!
Ililetwa historia ya Le -Mutuz kama utani katika majibizano kwenye thread hapa. Watu walifunguka na jina la mama yake na bank aliyofanya kazi na yeye alikuwa a son of single mother.
Aliondoka kaka mkubwa na mpaka leo anakuja tu kuchungulia hapa.
 
Mgugu

Mgugu

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2015
Messages
1,551
Points
2,000
Mgugu

Mgugu

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2015
1,551 2,000

Haya bibi tueleze wewe pamoja na babu Asprin mlikulia wapi?
Wewe kidogo unanukianukia upeo wa palm na coco beach na pia unajitahiditahidi japo kingreza unaongeaongea ingawa ras simba nae anamchango wake Ila babu kama sio wa kwa mtogole basi buguruni malapa.

Maendeleo hayana chama
 
Mimi Kwamtogole lakini nilikuwa mbishi J2 lazima niwahi English Mass St Peter’s. Enzi za Mwinyi ilikuwa poa tu lakini enzi za Mkapa unoko wa ulinzi wa rais ulizidi. Nikahamia St Immaculate Upanga.

Glory to be tunaisema wote na Mtemi Chenge alafu ninapanda basi kurudi kwetu Kwamtogole.
 
Mgugu

Mgugu

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2015
Messages
1,551
Points
2,000
Mgugu

Mgugu

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2015
1,551 2,000
Mimi Kwamtogole lakini nilikuwa mbishi J2 lazima niwahi English Mass St Peter’s. Enzi za Mwinyi ilikuwa poa tu lakini enzi za Mkapa unoko wa ulinzi wa rais ulizidi. Nikahamia St Immaculate Upanga.

Glory to be tunaisema wote na Mtemi Chenge alafu ninapanda basi kurudi kwetu Kwamtogole.
Daaahhhh kuuumbe lugha ya kikristu umejifunzia kanisaaaaani
Na joka la makengeza ndio lililokupa upako kwenye Glory to be,
Ila babu anaonekana kabisa ni mvaa kanzu kwa vijitabia vyake vya kiswahili swahili naona hata yai linampa shida au na yeye atakua na pi hech dii ya korosho.

Maendeleo hayana chama
 
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
33,491
Points
2,000
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
33,491 2,000
Daaahhhh kuuumbe lugha ya kikristu umejifunzia kanisaaaaani
Na joka la makengeza ndio lililokupa upako kwenye Glory to be,
Ila babu anaonekana kabisa ni mvaa kanzu kwa vijitabia vyake vya kiswahili swahili naona hata yai linampa shida au na yeye atakua na pi hech dii ya korosho.

Maendeleo hayana chama
Babu tulipata Kipaimara pamoja ila yeye J2 anakwenda kanisa lenye grocery pembeni.

Padri akisema nendeni kwa amani tu yeye ni mteja kwenye grocery.
 
Mgugu

Mgugu

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2015
Messages
1,551
Points
2,000
Mgugu

Mgugu

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2015
1,551 2,000
Babu tulipata Kipaimara pamoja ila yeye J2 anakwenda kanisa lenye grocery pembeni.

Padri akisema nendeni kwa amani tu yeye ni mteja kwenye grocery.Maendeleo hayana chama
 
Mtukutu wa Nyaigela

Mtukutu wa Nyaigela

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2018
Messages
814
Points
1,000
Mtukutu wa Nyaigela

Mtukutu wa Nyaigela

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2018
814 1,000
Graduates waliowahi kuishi Oysterbay na Masaki (au wanaoishi huko sasa tokea miaka ya nyuma) ni hazina kubwa ya taifa kwenye kipindi hichi cha ulimwengu wa utandawazi.

Wana human capital nzuri inayoweza kufanya kazi vizuri kwenye makampuni na taasisi mbali mbali za kitaifa na kimataifa.

Watoto wa hawa graduates ambao pia ni magraduates, pia ni hazina kubwa kwa taifa.

Hii ni kwa sababu wengi wa watu walioishi Oysterbay na Masaki tokea enzi za Nyerere walikuwa ni wale waliofaulu vizuri darasani.

Na pia walipata exposure nzuri ndani na nje ya nchi.

Watoto graduates wa hawa graduates (wa Oysterbay na Masaki) wameweza pia kujifunza mambo mbali mbali kutoka kwa wazazi wao.

Nashauri waajiriwe kwa wingi na kupewa nafasi nzuri nzuri. Tuwa support pia pale wanapojiajiri.

Hii pia ina apply kwa graduates wa maeneo kama Mikocheni.

Of course graduates hawa wa Oysterbay na Masaki wana mapungufu yao kama binadamu wengine.
Hakuna lolote . Wote hao tulikutana Azania na Tambaza kwa Wavulana,na wasichana pia waikutana zanaki,jangwani na kwingineko
 
Mwana

Mwana

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2010
Messages
5,172
Points
2,000
Mwana

Mwana

JF-Expert Member
Joined Aug 6, 2010
5,172 2,000
Kimsingi wengi si waoga wana confidence.

Hawakupitia maisha ya inferiority complex ya kujiona daraja la chini au kuona kwamba wanaonewa kwa sababu ya hali yao duni.

Si lazima wote walifika ngazi za juu serikali au kwingine. Lakini kwa average hawaoni kigeni mjini.

Mtu aliona sinema za Jim Kerry, aliona Amithab Bacchan. Alienda outing kama Yatch Club, Dodoma Hotel, Mwanza yatch Club kimsingi ana uzoefu mjini.

Kuna mwingine ukimsimulia hayo wakati ndiyo maisha anakunja sura kana kwamba wewe ndiye ulitengeneza historia yake.

Tabu ni kwamba project za vijijini na ndiko kwenye kazi nyingi hawaziwezi. Wamekulia mjini.

Mfano neno kupunguza umasikini. Hawa umasikini hawaujui na wanausikia na hivyo hawafai katika eneo hili.

Sikutarajia topic kama hii. Ina ukweli lakini vumilia ukishambuliwa maana wengi walitoka madongo kwinama.
Mimi ni mmojawapo nilikulia Uzunguni Dodoma. Dodoma Hotel ilikuwa ni kawaida na ndio mara ya kwanza kuona sakafu ya mbao iking'aa. Dsm pia japo sikuwa Masaki au Oysterbay tuliishi sehemu nzuri tu na wazazi waliendelea kutupa exposure za Kilimanjaro Hotel etc. Ila very unfortunate hao unaowasema baadhi yao hawakupenda kusoma na hawakuendelea sana kimasomo. Hata hivyo naamini waliotokea chini ndio watalikomboa taifa hili kwani:
1. Wanaelewa uchungu wa kutokuwa na kipato .
2. Wamaelewa mbinu rahisi za kuwafanya walio na kipato cha chini kujikwamua.
3. Hawana ulafi kwani matumizi ya ni basic na wanaridhika.
4. Ni hardworking kwani kutoka zero to hero si rahisi kama kutoka Hero to Hero!
5. ....................................................................................
 
M

mwasu

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2011
Messages
8,732
Points
2,000
M

mwasu

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2011
8,732 2,000
O'bay in the eighties and nineties, a place to remember.
Maisha yalikuwa mazuri kweli, wakati huo nyimbo laini kina keith sweet, unazisikia kwenye zile nyumba ndogo wanaita servant kota, huko demu anaimbiwa analiwa hakuna kuomba smart phone wala nini, ..
 
Qwy

Qwy

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2018
Messages
656
Points
1,000
Qwy

Qwy

JF-Expert Member
Joined Nov 23, 2018
656 1,000
Wow..! You just made me smile, good old days.
Maisha yalikuwa mazuri kweli, wakati hu nyimbo laini kina keith sweet, unazisikia kwenye zile nyumba ndogo wanaita servant kota, huko demu anaimbiwa analiwa hakuna kuomba smart phone wala nini, ..
 
utukufu mwanjisi

utukufu mwanjisi

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2017
Messages
1,646
Points
2,000
utukufu mwanjisi

utukufu mwanjisi

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2017
1,646 2,000
Ililetwa historia ya Le -Mutuz kama utani katika majibizano kwenye thread hapa. Watu walifunguka na jina la mama yake na bank aliyofanya kazi na yeye alikuwa a son of single mother.
Aliondoka kaka mkubwa na mpaka leo anakuja tu kuchungulia hapa.
upandishe huo uzi mkuu niuone mana braza kile insta anapiga kelele vibaya sema nafwatilia page yake sabab anajiamin sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,285,019
Members 494,368
Posts 30,847,535
Top