Graduate wa Electrical Engineer anatafuta Kazi

Twilumba

JF-Expert Member
Dec 5, 2010
11,542
12,403
Habari wana jukwaa,
Kuna dogo ni graduate wa electrical Engineering anatafuta fursa ya ajira.

Amehitimu chuo cha St Joseph- Kibamba 2018.

Kwa sasa yupo Registered na ERB.

Nawasilisha.
 
Mkuu, Grid yote sasa hivi imetambaa 400KV badala ya 250KV? Kwa nini nimeuliza, nimeona signiture yako hapo chini.
Mkuu ndo utoke huko Nansio ukuje tauni labda nitanufaika kwa kukubebea ngazi na Kasia kwa ujira wa kutosha kununulia parachichi
 
Back
Top Bottom