Naam.Do you mean graduate Engineer?
Kiwanda cha biaSerengeti mbuga au nini?
Nadhani nilikuwa nimelengesha kwenye 220KV. Shukrani sana, Mkuu.Kibongo bongo hatuna rate ya 250kV tuna 11,33,66,132,220 na sasa hivi kuna miradi ya backbone ya 400kV.
Ulishaona "Kishoka" anabebewa ngazi? Kazi ya Kishoka ni kubeba ngazi, sasa wewe ukinibebea, mimi nitafanya kazi gani sasa. 😅Mkuu ndo utoke huko Nansio ukuje tauni labda nitanufaika kwa kukubebea ngazi na Kasia kwa ujira wa kutosha kununulia parachichi
Habari wana jukwaa,
Kuna dogo ni graduate wa electrical Engineering anatafuta fursa ya ajira.
Amehitimu chuo cha St Joseph- Kibamba 2018.
Kwa sasa yupo Registered na ERB.
Nawasilisha.
Habari wana jukwaa,
Kuna dogo ni graduate wa electrical Engineering anatafuta fursa ya ajira.
Amehitimu chuo cha St Joseph- Kibamba 2018.
Kwa sasa yupo Registered na ERB.
Nawasilisha.
Kuna ngazi za usajili, lazima uwe umefanya kazi, ndiyo vigezo vyao utakidhi, mathalani usajilk wa PE na CE.Kusajiliwa na ERB hakuna uhusiano na kupata kazi.
Kwa hiyo hiko chuo alichosoma S.t Joseph ni madrasa?Angekua amemaliza DIT au Arusha Tech kazi ashadaka mapema sana
Ili angalau uwe qualified Ni lazima usajiliwe na bodi husika.Kusajiliwa na ERB hakuna uhusiano na kupata kazi.
Grid gani hio yenye 400kV zaidi, Mpaka sasa Kilometre nyingi ni 220kV na 132kV hio 400kV ambayo ndo tunaita Backbone kwasasa bado haina km nyingiMkuu, Grid yote sasa hivi imetambaa 400KV badala ya 250KV? Kwa nini nimeuliza, nimeona signiture yako hapo chini.
Mkuu kama itakupendeza naomba ni add kitu apa, Kwa level ya Transmission yani National Grid basi transmission voltage kwa sasa zinazotumika nchini ni 66kV,132kV,220kV pamoja na 400kV backbone, Hii backbone 400kV ni transmission voltage mpya kwa nchini na imesha anza kuwa implemented maeneo kadha wa kadha ikiwemo line ya isenya kenya to Singida via Arusha, Ila pia ndio Voltage level itakayotumika kuunganisha Ukanda wa East africa kupitia program ya East Africa power pool (EAPP) kwa level ya Distribution kuna 33kV,11kV pamoja na 0.45kV.Kibongo bongo hatuna rate ya 250kV tuna 11,33,66,132,220 na sasa hivi kuna miradi ya backbone ya 400kV.
Kwa hiyo hiko chuo alichosoma S.t Joseph ni madrasa?
Acha dharau wewe.
Safi, tuko pamoja.Mkuu kama itakupendeza naomba ni add kitu apa, Kwa level ya Transmission yani National Grid basi transmission voltage kwa sasa zinazotumika nchini ni 66kV,132kV,220kV pamoja na 400kV backbone, Hii backbone 400kV ni transmission voltage mpya kwa nchini na imesha anza kuwa implemented maeneo kadha wa kadha ikiwemo line ya isenya kenya to Singida via Arusha, Ila pia ndio Voltage level itakayotumika kuunganisha Ukanda wa East africa kupitia program ya East Africa power pool (EAPP) kwa level ya Distribution kuna 33kV,11kV pamoja na 0.45kV.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa hiyo hiko chuo alichosoma S.t Joseph ni madrasa?
Acha dharau wewe.
Hapo nilikuwa nauliza mkuu, kama ulinielewa vizuri.Grid gani hio yenye 400kV zaidi, Mpaka sasa Kilometre nyingi ni 220kV na 132kV hio 400kV ambayo ndo tunaita Backbone kwasasa bado haina km nyingi
Ye kasema kasajiliwa tu na ERB hajasema kuwa kasajiliwa kama PE au CE.Kuna ngazi za usajili, lazima uwe umefanya kazi, ndiyo vigezo vyao utakidhi, mathalani usajilk wa PE na CE.
Mwambie aombe serengeti wametangaza nafasi za electrical na mechanical