Graduate wa Electrical Engineer anatafuta Kazi

Graduate wa Electrical Engineer anatafuta Kazi

"Mavumbini?" Anyway, Unaonekana u mtu wa dharau na majisifu.

Watu kama ninyi hutaka kuonekana wa maana machoni mwa watu lakini kiuhalisia ni machoko' tu.

After all haijalishi uwe na A au B, bali kile unachotaka kukisoma na kinapatikana wapi, huku umeambiwa ada ni 2.5+m kule ni 1.5m kozi ni ile ile, automatically watu wengi watakimbilia kwenye 1.5m, Competition itakuwa kubwa as a result alama za udahili zitakuwa juu tu.
Iwe tajiri au masikini wote tunapenda unafuu na ile nadharia ya kukariri kwamba ili uonekane umesoma chuo lazima usomee mlimani.Usiishi kwa kukariri bro.
 
Back
Top Bottom