Graduate wa Electrical Engineer anatafuta Kazi

Graduate wa Electrical Engineer anatafuta Kazi

Ye kasema kasajiliwa tu na ERB hajasema kuwa kasajiliwa kama PE au CE.
Ila kwa maelezo yake na muda alio maliza shule bila shaka huyo ni GE. Maana hizo sajili nyingine huanzia miaka mitatu kwenda mbele ukiwa ndani ya field yako.
 
Back
Top Bottom