co fm
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 1,569
- 2,584
Its by God's graceOh sawa, ongera mzee
Its by God's graceOh sawa, ongera mzee
Check PM,nimekutumia barua pepe,atume CV.Habari wana jukwaa,
Kuna dogo ni graduate wa electrical Engineering anatafuta fursa ya ajira.
Amehitimu chuo cha St Joseph- Kibamba 2018.
Kwa sasa yupo Registered na ERB.
Nawasilisha.
Check PM,nimekutumia barua pepe,atume CV.
mwenye degree huwezi kumuita fundi bado atabaki kuwa engineer.Ameshasajiliwa na ERB? Ni mhandisi au fundi?
kumbe wewe mdogo wangu,unawajua mwl. Mkude,Kazimbaya,Gideme,Kanuti.Mechanical OD 12
BENG 16
mwenye degree huwezi kumuita fundi bado atabaki kuwa engineer.
Hata hao waliosajiliwa sioni maajabu waliyofanya,ingekuwa hiyo kusajiliwa ni big deal wasingeitwa wahandisi wa kutoka china kutengeneza mitaro ya barabara.
Habari wana jukwaa,
Kuna dogo ni graduate wa electrical Engineering anatafuta fursa ya ajira.
Amehitimu chuo cha St Joseph- Kibamba 2018.
Kwa sasa yupo Registered na ERB.
Nawasilisha.
Ameshasajiliwa na ERB? Ni mhandisi au fundi?
Ameshasajiliwa na ERB? Ni mhandisi au fundi?
Uliwezaje kusajiliwa bila kazi? Project ulifanyaje Hadi ukakidhi viwango vya ERB?
Inawezekana kujisajili kama PE bila kuajiriwa mkuu, unatumia program ya SEAP
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wachina maboss tuu, wanaojenga ni wabongomwenye degree huwezi kumuita fundi bado atabaki kuwa engineer.
Hata hao waliosajiliwa sioni maajabu waliyofanya,ingekuwa hiyo kusajiliwa ni big deal wasingeitwa wahandisi wa kutoka china kutengeneza mitaro ya barabara.
Chuo Kiko poa Sana mzee wangu usiwe unakurupuka,tena kwenye mafunzo kwa vitendo wako vizuri kuliko hata hao unaowaona bora, Engineer akitoka pale ujue kaiva haswa.Hahahahaaaa...
Kua serious wewe..chuo hovyo hicho,qualification entry ni hovyo sana
Brother utaongea mpaka mdomo uchanikeChuo Kiko poa Sana mzee wangu usiwe unakurupuka,tena kwenye mafunzo kwa vitendo wako vizuri kuliko hata hao unaowaona bora, Engineer akitoka pale ujue kaiva haswa.
Kuna jamaa wawili wametoka pale wameajiriwa NIT katika interview iliyokuwa na mamia ya waombaji wakapita wao.
Kuhusu qualification entry naona pia umekurupuka kusema ni za hovyo,ukumbuke hzo qualifications hawapangi wao ni maelekezo toka TCU, na mwisho wa siku majina ya waliochaguliwa hurudishwa TCU kufanyiwa Verification.