do wat u think
JF-Expert Member
- Feb 18, 2017
- 320
- 248
Daah kupenda kubaya sana aiseeAkiingia tu gheto hata Kama ulikuwa hutaki kutabasam kwa jicho lake tu unabatasam!
Yani makosa yake yanaisha kivyepesi sana
Daah kupenda kubaya sana aiseeAkiingia tu gheto hata Kama ulikuwa hutaki kutabasam kwa jicho lake tu unabatasam!
Yani makosa yake yanaisha kivyepesi sana
Hahahah afu sikulitambua hilo mkuu. Kumbe wote tumeitwa kwa hilo jinapale unapowageuza watu wote wanaosoma Uzi wako kuwa akina grace basi hapo ndipo unaanza ku fail..

Grace mnaweza kosana hata kwa yeye kutokutaka kuja gheto lakini ukimfokea ukataka kumuacha anakuja gheto na akija jua hamzungumzii makosa! Akishanipa anaondoka imefika hatua hata nimesahau kanikosea nini! Kumuacha nataka lakini aina hii ya uombaji msamaha ndo imekuwa changamoto kumuepuka grace kila Nikisema mara hii hapati msamaha lkn akija gheto akaniwekea tu mkono kifuani basi ukuta wote niliyomuekea anauvunja
Grace usije tena gheto.






Mkuu huwa unaenda chooni na.maji.au unayakuta huko huko!!



.....wewe kweli ni jinga afu jasiri.Ooh mambo imeshakua mingi!Au ni giLesi wa JF yule tepetepe?
sio kwa uombaji msamaha wa Grace wewe,unaleta masikhara niniUkitaka kumuua nyani usimtizame usoni