Grace Matata-Official Song Utanifaa

Huyu Dada ana kipaji haswa,ila kwasasa itam'bidi awe kwenye foleni ambayo inaongozwa na V.money.Jide n.k
 
Grace matata anaimba soul v ni mshereheshaji tu kama mondi
Mi nilidhani ungeniletea ulinganisho wa MUDA WAO KWENYE MUZIKI + WALICHOFANIKIWA = ..... Kumbe wewe unaleta vigezo vya kulumbana......????

Sema Matata ana, 1,2,3,4,5, kutokana na muziki wake sio blah blah.
 
Tatizo Unataka nikupe majibu uliyonayo
 
Tatizo Unataka nikupe majibu uliyonayo
Vya Matata sina,ila ninavyo vya V.money.

Ni msanii wakike Bongo anayepiga shoo nyingi sana nje ya Bongo.
" " nyimbo zake zinapigwa sana nje.
" " anatengeneza pesa nyingi kwasasa.
 
Kwani kutengeneza pesa ndio ukali?
 
Mi nilidhani ungeniletea ulinganisho wa MUDA WAO KWENYE MUZIKI + WALICHOFANIKIWA = ..... Kumbe wewe unaleta vigezo vya kulumbana......????

Sema Matata ana, 1,2,3,4,5, kutokana na muziki wake sio blah blah.
Hivyo ndio vigezo na vya mwanamziki mzuri?
 
Back
Top Bottom