Grace Matata-Official Song Utanifaa

mziki ni biashara.. ni zaidi ya kuimba vizuri... kuna kitu anakosea huyu dada.. aombe kazi wcb wamfundishe biashara ya mziki
Siyo kila anaeimba anataka kuwa tajiri mjanjamjanja wengine wanafurahi wakiimba na kusikilizwa sababu ni vipaji vyao hela zinakuja tu but they are not after money... Huo ndo muziki
 
Vya Matata sina,ila ninavyo vya V.money.

Ni msanii wakike Bongo anayepiga shoo nyingi sana nje ya Bongo.
" " nyimbo zake zinapigwa sana nje.
" " anatengeneza pesa nyingi kwasasa.
Kwenye muziki wa sasa kuna waimba muziki na wafanyabiashara... Wote wapo sawa ila linapokuja suala la muziki mzuri wafanya biashara tunawaweka pembeni tunasikiliza muziki mzuri
 
mziki ni biashara.. ni zaidi ya kuimba vizuri... kuna kitu anakosea huyu dada.. aombe kazi wcb wamfundishe biashara ya mziki
Sikiliza wimbo wake wa free soul kuna mstari anasema SINA MALI SINA DENI KWA HIYO SIYO MASIKINI unaweza ukaelewa kwa nini anaimba muziki
 
Mimi nashabikia muziki mzuri, na daima kizuri ni kile kinachopendwa na wengi.
Una uhakika gani unachokipenda wewe ndo kinapendwa na wengi? Mbona unataka kutulisha matango pori
 
Ningesema unapendwa na WOTE,ungekuwa sahihi kunirekebisha,lakini nimesema na WENGI,maana yake wapo wasiopenda ambao ni WACHACHE.Nenda darasa la kiswahili.
 
Ni wimbo wa zamani kidogo nadhani ametengeneza version nyingine ila Grace ni muimbaji hatari
 
Huyu dada ni msanii mzuri sana,tatizo lake ni management,yule kubonge eti ndio manager wake wakati yule anaonekana ni mdogo kabisa hata soko halijui,
 
Ningesema unapendwa na WOTE,ungekuwa sahihi kunirekebisha,lakini nimesema na WENGI,maana yake wapo wasiopenda ambao ni WACHACHE.Nenda darasa la kiswahili.
Wengi wewe na nani? Unaweza kuwa peke ukajua mpo wengi au umehesabu na familia yenu
 
Kipimo cha wengi kupenda kazi yake ni pale unapomuangalia V.money na huyo Matata kwenye muziki wao ulipofikia na MALI WANAZOMILIKI KUTOKANA NA MUZIKI.
 
Mkuu mali siyo kipimo cha mtu kujua kuimba... Kuna watu wanaimba vizuri sana lakini hawatafuti makuu ila kuna wengine wanavipaji vya kawaida wanavitumia kutafuta Money and Fame.. Namkubali sana Vmoney kwa juhudi zake na utafutaji ila namkubali zaidi Grace matata anajua sana kuimba
 
Ndipo hapo kinapotakiwa kiwepo kipimo cha nani zaidi kati yao,maana wewe utasema huyu na mwingine atasema yule, yupi ni zaidi ya mwenzie hamtajua,ndio maana wenye fani zao wakaja na suluhisho la huo utata nao ni, YUPI ANATENGENEZA PESA NYINGI KUTOKANA NA KAZI ZAKE ZA MUZIKI. YAANI IKO HIVI (KANUNI HII JINSI INAVYOFANYAKAZI ) KAMA MUZIKI WAKO UNAPENDWA NA WENGI KULIKO MWENZAKO BASI WEWE UTAUZA SANA KULIKO HUYO MWENZAKO KWASABABU ANAYEKIPENDA KITU ATAKIGARIMIA KUKIMILIKI,NDIO HATA UKIFANYA SHOO ZAKO HATA KAMA BEI ZAKO ZIKO JUU ZAIDI YA MWENZAKO BADO WEWE UTAJAZA NA UTAZIFANYA SHOO NYINGI KULIKO MWENZAKO. Hii ndio kanuni nyepesi sana kuishika,na ndio hata kwenye maisha ya kawaida mwenye bidhaa nzuri ndio atakayeuza sana,kinyume na hapo ni HISIA,AMBAZO HAZINA NAFASI KWENYE DUNIA ILIYOSONGA MBELE KIMAENDELEO. Huwezi kusema eti fulani ni zaidiya fulani,japo yeye hauzi sana kuliko mwenzake,hiki kitakuwa ni kichekesho.
 
Narudia tena kuna Wafanya biashara na Wanamuziki... Somo hili kwako linaonekana gumu sana kueleweka

Kupiga shoo nyingi sijui na kutengeneza hela nyingi hilo ni suala la kibiashara tena siyo muziki hapa wanaohusika ni mapromoter na mameneja
 
Na mimi narudia tena Promoters wanamchukua msanii mwenye kuweza kurudisha pesa zao >>>> msanii mwenye kurudisha pesa zao ni mwenye washabiki wengi >>>>> msanii anakuwa na washabiki wengi kwavile ana muziki mzuri ni very simple mathematic.
 
Kwahiyo conclussion yako ni ipi
 
Kwahiyo conclussion yako ni ipi
Conclussion yangu ni kuwa Matata ni msanii mzuri sana,lakini linapokuja swala la kupambanisha wanamuziki shika kanuni hii. MUZIKI MZURI = WASHABIKI WENGI >>>> KUUZA SANA >>>SHOW NYINGI = PESA NYINGI. UNALINGANISHA NA MUDA ALIOPO KULINGANISHA NA MSHINDANI WAKE/UNAYEMLINGANISHA NAE. KUMBUKA, ANAYEPENDWA ATAUZA SANA,IWE KWA NYIMBO AU SHOO.
 
Mleta mada amesema Grace matata anajua sana kuimba pengine kuliko ht Mondi... Kwani tatizo liko wapi?
 
Back
Top Bottom