Grace Matata-Official Song Utanifaa

Huyu dada anajua sana sana toka namsikia kwenye song lake liitwalo wimbo wangu, free soul, nyakati za mashaka nilikubari kwamba ni almasi mchangani sema tu hajashtukiwa.
Ana wimbo unaitwa Uwe wangu..ni hatari tupu!! Kuna muda anasound kama Toni Braxtoni
 
Back
Top Bottom