GPA ya 3.9 nimetemwa Master's Degree UDSM

Siku wasomi mkijua kwanini mnaenda shule basi mtaacha kuona baadhi ya vyuo ni dhaifu na vingine ni imara, kuna chuo kinaaminika na kuheshimiwa sana hapa nchini ila niliwahi kustaajabu kuona baadhi ya mazao yake(wahitimu) kwenye kada ya ualimu hawajui hata kuandaa Andalio la Somo wala Azimio la Somo huo ulikuwa mwaka 2013. Nilidhani ni madhaifu ya mtu mmoja mmoja, lakini mwaka 2014 nikakutana na zao lile lile kutoka chuo kile kile hapa ndo niliona maajabu. Mwaka 2015 nilibahatika kuanza kuishi na wahitimu wa hicho chuo pendwa, hapa sote tukiwa kikazi na kimaisha zaidi, maajabu ya miaka hiyo ikajirudia, vijana hawana lolote, ulevi mwanzo mwisho, hana hawana muda na kuifikiria kesho yao ila wanajitambua kuwa walitoka chuo kikikuu cha TAIFA . Lakini kwa makusudi zaidi wale wanao sadikika kuwa wametoka vyuo vya kata TEKU au UDOM wamekaa pembeni maisha yananyooka kila uchao. Kumbuka si wote wa chuo kile cha TAIFA wako vizuri au si wote wako vibaya, pia si kwamba wale wa TEKU na UDOM wako vizuri au vibaya. Kumbuka baada ya chuo the next step ni maisha so kwa elimu za Kiafrika Jina la chuo, hadhi, majengo, maprofesor, G. P.A, umri wa chuo n.k havina uhusiano kabisa na maisha yako baada ya shule. I stand to correct taka usitake. Pia huyu wa GPA 3.9 kama hujakosea baadhi ya hatua za kufuata ktk kuomba basi ushindani ulikuwa mkubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Punguza hasira mkuu, haya maisha tu yanapita.

Tuipende nchi yetu Tanzania.
 
Undergraduate ulisoma Chuo gani?

Je unafanya kazi gani kwa sasa?

Ili nikushauri vzr
 
Kama ulisoma Udsm fuatilia vzr yamkini ukukamilisha usajili ndio mana hauko Fanya faster kufuatilia
 
Habarini wanajamvi,
Mimi nina GPA ya 3.9 undergraduate,
Niliapply Master of Education UDSM.

Nimecheck matokeo naona wamenitema,
Na wazoefu wadai si rahisi kutemwa kwa GPA hii.

Kuna uwezekano wa/ni sawa
Kwenda pale chuoni kuulizia labda kuna kigezo fulani kilichozingatiwa kunitema tofauti na GPA ili mwakani tukijaaliwa niongeze umakini wakati wa kuapply?

Sent using Jamii Forums mobile app
kaka lazima kutakuwa kuna kituhaukuweka au ulikuwa umezidi deadline ila sio GPA hiyo UDSM
watu bwana mnavyoipaisha udsm mimi ninasoma university of cape town the first university in africa msc mathematical modelling na nina gpa ya 3.4 swala lakupata admission ni compitition tuu na the way ulivyoandika recommendation letter and ile document unayo eleza what do you want to study masters and why are they to select you not others GPA ya 3.9 ni kubwa saaana mazee kwa degree za science jamani ie BSC ila sina experience kwa zingine ihave friend of mine anasoma udsm MBA na ana gpa ya 3.3
 
Habarini wanajamvi,
Mimi nina GPA ya 3.9 undergraduate,
Niliapply Master of Education UDSM.

Nimecheck matokeo naona wamenitema,
Na wazoefu wadai si rahisi kutemwa kwa GPA hii.

Kuna uwezekano wa/ni sawa
Kwenda pale chuoni kuulizia labda kuna kigezo fulani kilichozingatiwa kunitema tofauti na GPA ili mwakani tukijaaliwa niongeze umakini wakati wa kuapply?

Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hizi hawaandiki sababu ya kuachwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
duh...kweli tuko tofauti,yani me hapa Nina admission ya masters East Anglia university na najishaua kwenda kuanza shule,we mwenzetu bado unaweza udsm?
 
Elligibility ya huko iko vip boss ?

Upendo ni tiba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom