GPA ya 3.9 nimetemwa Master's Degree UDSM

GPA ya 3.9 nimetemwa Master's Degree UDSM

Brother Kaka.

Member
Joined
May 11, 2015
Posts
66
Reaction score
32
Habarini wanajamvi,
Mimi nina GPA ya 3.9 undergraduate,
Niliapply Master of Education UDSM.

Nimecheck matokeo naona wamenitema,
Na wazoefu wadai si rahisi kutemwa kwa GPA hii.

Kuna uwezekano wa/ni sawa
Kwenda pale chuoni kuulizia labda kuna kigezo fulani kilichozingatiwa kunitema tofauti na GPA ili mwakani tukijaaliwa niongeze umakini wakati wa kuapply?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina mashaka na elimu yako.

Na kama ni kweli unachokisema bora walivyokutema tu kwa maana hata kuandika hujui.
 
Kutemwa kwako nadhani imetokana na ushindani katika master's degree hiyo. Mfano labda udsm walitaka master's ya education watu 10 na waliotuma wengi wana G.P.A kuanzia 4 hapo lazima utakosa
Pulling na Torque yake ni Ndogo ndo maana ameachwa solemba...
Anyway hakijaharibika kitu..
Atafute chuo kingine aombe...
Elimu ni bahari...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hio mimi mwenye 3.4 siwez ambulia nafasi yoyote

Sent from my Priceless H40-D00 Bombadier
Unaweza kupata mkuu kikubwa kujiongeza mfano kama una uzoefu wa kazi japo kwa mwaka mmoja unakuwa nafasi ya kupata kuliko anaeunganisha kumbuka Masters sio sawa na mtu anaetoka Form 4 kwenda Form 5 wataangalia zaidi O-level umepata nini ila wao mpaka Practical experience ina matter pia
 
MAJINA YA WALIO CHAGULIWA YAMEWEKWA WAPI MBONA KWENYE WEBSITE YAO SIYAONI?MSAADA PLEASE
 
Habarini wanajamvi,
Mimi nina GPA ya 3.9 undergraduate,
Niliapply Master of Education UDSM.

Nimecheck matokeo naona wamenitema,
Na wazoefu wadai si rahisi kutemwa kwa GPA hii.

Kuna uwezekano wa/ni sawa
Kwenda pale chuoni kuulizia labda kuna kigezo fulani kilichozingatiwa kunitema tofauti na GPA ili mwakani tukijaaliwa niongeze umakini wakati wa kuapply?

Mkuu majina umeyapata wapi?Mbona kwenye website ya UDSM hayapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gonga jembe mkuu.... utakesha hapo....

Sent from "La -Vista"
 
Ulisoma masomo gani kwenye undergraduate?
Kama ulisoma BA jua kabisa mko wengi ndio maana umeachwa kwenye competition, ungekua umesoma BSc saivi ungekua unajiandaa na masomo.

Sio mbaya sana mlipenda kuvaa tai na suti ngoja waliokubali kuvaa malonya na kuteseka maabara wapate nafasi kirahisi.

Nakushauri ukaombe huko kwenye vyuo vya kata kama UDOM

Amini usiamini, ukihitimu shule ndio utaanza masomo.
 
Habarini wanajamvi,
Mimi nina GPA ya 3.9 undergraduate,
Niliapply Master of Education UDSM.

Nimecheck matokeo naona wamenitema,
Na wazoefu wadai si rahisi kutemwa kwa GPA hii.

Kuna uwezekano wa/ni sawa
Kwenda pale chuoni kuulizia labda kuna kigezo fulani kilichozingatiwa kunitema tofauti na GPA ili mwakani tukijaaliwa niongeze umakini wakati wa kuapply?

Sent using Jamii Forums mobile app
Na afadhali umeachwa na inaelekea hiyo GPA yako ni ya kukalili masomo.
Nani alikuambia ukiwa na GPA hiyo basi wewe ni best?
Kuomba na kupata au kakosa ni kitu cha kawaida kwa msomi yeyote, na kama unapingamizi kwa aliyesoma na kupata GPA ya kuelewa alichofundishwa angefuata utaratibu wa rufaa.
Kln kwa kuwa wewe ni wale wa kukesha kukalili majibu, na akili yako ya kukalili ukaona jamii forum ndio utaratibu wa kufuatilia.

Na utapata tabu sana kwenye interview za kazi, labda uendelee kufundisha

Mkuu ungemwelekeza tu vizuri mtanzania mwenzako. Vijembe hapa vya nini sasa?
Wonders Shall Never End.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom