jooohs
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 3,755
- 14,446
Daa leo umenifungua macho [emoji15] [emoji15] kumbe mzumbe wanatoa product safi kuliko hata udsm, enzi hizo tunachagua vyuo kuna vingine nilikuwa hatasipitishi macho kwenye guide book kuangalia kinatoa kozi gani sababu ya stori za kitaa nilikuwa najua udsm, sua, muhas, na ardhi ndo vipanga wanaenda.Unataka kuniambia TIA, CBE, ARDHI, IFM nk ni pagumu zaidi au ni bora kuliko mzumbe kutokana na purukushani za jiji??
Bro jaribu kupekecha ubongo wako kidogo.. ninachokataa ni kuwa GPA ya 3.9 ya mzumbe iwe sawa na 3.2 ya UDSM kisa nini.. mbona hata law school na hata NBAA udsm ni wa kawaida sana na always wanasanda game..?? Hawako bright kama wale wa Mzumbe na Sua hata makazini hili linaoneka wazi..
Vyuo vingine wanachaguliwa wenye madaraja ya chini ya ufaulu aka vilaza sikudhan kuwa shule ni mtu nasio majengo wala jina,
Pia udsm wana utaratibu waku undervalue gpa za vyuo vingine hatakama vinatoa product safi kuliko za udsm ni bora wachukue 2.7 ya mtu wa udbs au conas kuliko ya chuo kingine.