balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,700
- 15,436
GPA za kwingine wanakuwa na mashaka nazo so,wanaziregrade upya.Ingekuwa alisoma hapo undergraduate angepeta.Kama hukusoma bachelor udsm na unataka MA hapo udsm GPA huwa haiangaliwi sana......kinachoangaliwa ni wewe ulisoma wapi? Naamini kwa mbaaali unaanza kunielewa.
Sent using Jamii Forums mobile app