GPA ya 3.9 nimetemwa Master's Degree UDSM

GPA ya 3.9 nimetemwa Master's Degree UDSM

Chuo ulichomaliza nacho kinaangaliwa,kama umemaliza TEKU,St.Joseph na vyuo vingine vinavyofanana na hivyo inakua vigumu kuruhusiwa kusoma masters degree UDSM.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na afadhali umeachwa na inaelekea hiyo GPA yako ni ya kukalili masomo.
Nani alikuambia ukiwa na GPA hiyo basi wewe ni best?
Kuomba na kupata au kakosa ni kitu cha kawaida kwa msomi yeyote, na kama unapingamizi kwa aliyesoma na kupata GPA ya kuelewa alichofundishwa angefuata utaratibu wa rufaa.
Kln kwa kuwa wewe ni wale wa kukesha kukalili majibu, na akili yako ya kukalili ukaona jamii forum ndio utaratibu wa kufuatilia.

Na utapata tabu sana kwenye interview za kazi, labda uendelee kufundisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ushamba,
Inaonyesha tabia yako ukiwa masomoni ni kujisomea kibinafsi kisha kwenda kusumbua wenzako wanaosoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulisoma masomo gani kwenye undergraduate?
Kama ulisoma BA jua kabisa mko wengi ndio maana umeachwa kwenye competition, ungekua umesoma BSc saivi ungekua unajiandaa na masomo.

Sio mbaya sana mlipenda kuvaa tai na suti ngoja waliokubali kuvaa malonya na kuteseka maabara wapate nafasi kirahisi.

Nakushauri ukaombe huko kwenye vyuo vya kata kama UDOM

Amini usiamini, ukihitimu shule ndio utaanza masomo.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Habarini wanajamvi,
Mimi nina GPA ya 3.9 undergraduate,
Niliapply Master of Education UDSM.

Nimecheck matokeo naona wamenitema,
Na wazoefu wadai si rahisi kutemwa kwa GPA hii.

Kuna uwezekano wa/ni sawa
Kwenda pale chuoni kuulizia labda kuna kigezo fulani kilichozingatiwa kunitema tofauti na GPA ili mwakani tukijaaliwa niongeze umakini wakati wa kuapply?



Sent using Jamii Forums mobile app
umesoma chuo gn undergraduete
 
Kama ni GPA ya Makirikiri Business College of Education unategemea nini Mkuu
 
Habarini wanajamvi,
Mimi nina GPA ya 3.9 undergraduate,
Niliapply Master of Education UDSM.

Nimecheck matokeo naona wamenitema,
Na wazoefu wadai si rahisi kutemwa kwa GPA hii.

Kuna uwezekano wa/ni sawa
Kwenda pale chuoni kuulizia labda kuna kigezo fulani kilichozingatiwa kunitema tofauti na GPA ili mwakani tukijaaliwa niongeze umakini wakati wa kuapply?



Sent using Jamii Forums mobile app
Nimefuatilia kwa ukaribu admissions za UDSM labda kama mwaka huu wana system tofauti. Kawaida yao hutoa list ya waliochaguliwa na walio achwa na kama umeachwa hutoa sababu ya kukuacha. Huwa wako wazi sana na hakuna chuo cha TZ cha kuwafananisha nao kwa hili.
Labda utuambie kama mwaka huu wako tofauti. Pia sijaona tangazo lolote la post-graduate selections (admissions) za mwaka huu. Hebu tupe source yako ili na sisi tushangae au tujue kwa nini baada ya kazi ngumu GPA 3.9 wakuteme?
Kama wamekujibu kimtandao-basi funga safari uwaulize nina hakika watakueleza tatizo liko wapi. Lakini vyuo vingi huwa vinatangaza late admissions hivyo kaa chonjo uangalie vyuo vingine kama course yako inapatikana.
 
Pole sana ndugu mtz nimepitia comments zawadau nisheeda ila usitoke kwenye foleni iko ivi:-
kama first degree ulisoma udsm unapewa priolity yakuchaguliwa
pia kama ukusoma apo kuna cut point tofauti na waliosoma apo
pia inategemea na course uliyoomba kama member applicants sio wengi
then wanaangalia previous remarks kama 4m 6 na 4m 4 ulipataje
mwisho omba vyuo vingine kwaushauri wangu
 
Chuo ulichomaliza nacho kinaangaliwa,kama umemaliza TEKU,St.Joseph na vyuo vingine vinavyofanana na hivyo inakua vigumu kuruhusiwa kusoma masters degree UDSM.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama nimemaliza MUCE je
na 3.4 yangu wanaweza kunichukua ?

Sent from my Priceless H40-D00 Bombadier
 
Kwa kawaida wanapotoa majina ya waliopata pia hutoa majina ya waliokosa na huwa wanatoa sababu za kukosa. Naomba nikuulize kama ulifuata maelekezo ya application vizuri au la.
1. Picha walizohitaji zilikuwepo kwenye application?
2. Idadi ya recommendation letters ilitimia kama walivyoelekeza?
3. Uliandika motivation letter?
4. Uli-meet deadline?
5. Uliweka viambatanisho vyote vilivyohitajika?
6. Uliambatanisha original PAY-IN-SLIPya application fee?
7. .....................................
 
Habarini wanajamvi,
Mimi nina GPA ya 3.9 undergraduate,
Niliapply Master of Education UDSM.

Nimecheck matokeo naona wamenitema,
Na wazoefu wadai si rahisi kutemwa kwa GPA hii.

Kuna uwezekano wa/ni sawa
Kwenda pale chuoni kuulizia labda kuna kigezo fulani kilichozingatiwa kunitema tofauti na GPA ili mwakani tukijaaliwa niongeze umakini wakati wa kuapply?



Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo degree yako ni Whatever university ingekuwa ya UDSM wala wasingewaza mara mbili wangekuchukua wa kwanza kabisa kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom