Nina GPA ya 3.9, nimetemwa Master's Degree UDSM

Nina GPA ya 3.9, nimetemwa Master's Degree UDSM

Brother Kaka.

Member
Joined
May 11, 2015
Posts
66
Reaction score
32
Habarini wanajamvi,
Mimi nina GPA ya 3.9 undergraduate,
Niliapply Master of Education UDSM.

Nimecheck matokeo naona wamenitema,
Na wazoefu wadai si rahisi kutemwa kwa GPA hii.

Kuna uwezekano wa/ni sawa
Kwenda pale chuoni kuulizia labda kuna kigezo fulani kilichozingatiwa kunitema tofauti na GPA ili mwakani tukijaaliwa niongeze umakini wakati wa kuapply?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee ni ngumu sana kutemwa udsm especially kwa level ya masters labda kuna shida nyingine embu cross check vizuri majina na pia tembelea ofisi zao

Nimejibiwa kwenye account yangu kuwa "Status: Rejected".

Hilo la kutembelea ofisi zao nd'o nahitaji kujua kama ni sahihi au hakuna utaratibu wa kupata taarifa kwa namna hiyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemea hiyo GPA uliipata chuo gani. Kama uliitoa kwao UDSM( Mlimani, DUCE au MUCE) au Mzumbe hawawezi kukutema ila kama in vyuo vya kata lazima utemwe.
Wana vigezo kama umesoma vyuo vya kata.
Ukweli unauma, usichukie

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uongo na umbumbu!! Hizi ni zama za Multi Universities, usitake kudhani bado upo 1990.

Nawafahamu vijana wengi tu wamefanya Bachelor vyuo vingine na wakafanya Masters UDSM na GPA ya 3.8.

Kuna mambo mengi sn ktk tatizo hilo.

Huenda form haikufika (kama alituma posta).

Au hana uzoefu kazini ili hali ktk course hiyo Experience ni MUST.

Au uchazaji wa form, hakuwa mzuri. Haikukamilika.

Na mwisho idadi ya wanafunzi inayo takiwa ktk course kutimia (mf 40/40).

Ushauri: nenda Live chuoni. Upate majibu (sababu za) ya uhakika.

JPM KAMATA WEZI
 
Habarini wanajamvi,
Mimi nina GPA ya 3.9 undergraduate,
Niliapply Master of Education UDSM.

Nimecheck matokeo naona wamenitema,
Na wazoefu wadai si rahisi kutemwa kwa GPA hii.

Kuna uwezekano wa/ni sawa
Kwenda pale chuoni kuulizia labda kuna kigezo fulani kilichozingatiwa kunitema tofauti na GPA ili mwakani tukijaaliwa niongeze umakini wakati wa kuapply?

Sent using Jamii Forums mobile app
Umesoma Chuo gani undergraduate?

May Allah bless Me and You
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom