GPA ya 3.9 nimetemwa Master's Degree UDSM

GPA ya 3.9 nimetemwa Master's Degree UDSM

Kwa uzoefu wangu siyo Rahisi kutemwa kwa GPA hiyo tena Master's. Aidha, Vyuo vingi kwa sasa vipo kibiashara zaidi na kwamba vinapata mapato kupitia ada zinazolipwa na wanachuo wa ngazi tofauti tofauti.

Nakushauri, uende kuulizia shida ni nini na pengine yawezekana hukufuata baadhi ya vigezo wakati wa kujaza fomu za maombi. Watu huwa wanapata usajili hata kama Mwk wa masomo umeshaanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kweli tumeumbwa tofauti... masters ya udsm nayo yakusikitikia kweli kutemwa... may be undergraduate hujasoma udsm au mzumbe...

wengi waliosoma udsm masters wanawazaga majuu
a!!exactly
 
mm nina GPA ya 3.54 nmepata hapo hapo UDSM Ma of natural resource sasa wew umekosaje mbn km sjaelewa..pia ili uwe admitted na UDSM ktk postgraduate programmes minimum GPA ni 2.7 soma san guidlines na prospectus ya UDSM.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kaka lazima kutakuwa kuna kituhaukuweka au ulikuwa umezidi deadline ila sio GPA hiyo UDSM
watu bwana mnavyoipaisha udsm mimi ninasoma university of cape town the first university in africa msc mathematical modelling na nina gpa ya 3.4 swala lakupata admission ni compitition tuu na the way ulivyoandika recommendation letter and ile document unayo eleza what do you want to study masters and why are they to select you not others GPA ya 3.9 ni kubwa saaana mazee kwa degree za science jamani ie BSC ila sina experience kwa zingine ihave friend of mine anasoma udsm MBA na ana gpa ya 3.3
Ulisoma kwa scholarship mkuu?? Nawezaje kupata na mimi??
 
Kwa uzoefu wangu siyo Rahisi kutemwa kwa GPA hiyo tena Master's. Aidha, Vyuo vingi kwa sasa vipo kibiashara zaidi na kwamba vinapata mapato kupitia ada zinazolipwa na wanachuo wa ngazi tofauti tofauti.

Nakushauri, uende kuulizia shida ni nini na pengine yawezekana hukufuata baadhi ya vigezo wakati wa kujaza fomu za maombi. Watu huwa wanapata usajili hata kama Mwk wa masomo umeshaanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mnasoma kwa scholarship? Nawezaje kupata?
mimi nina 3.0 GPA and niko Masters Mwaka wa mwisho hapa UDSM, wewe umekosa vipi mkuu??
 
nazungumzia mzumbe university and udsm only ambapo nina experience napo kwan engineering lakini
 
Ulisomba chuo gani? FYI kuna GPA rescaling so kama una 3.9 mzumbe inaweza kuwa equivalent to 3.3 ya UDSM

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmmmh sio kweli ina maana UDSM unaweza fananisha na MZUMBE kwa ugumu wake..?? Yaan unataka kusema mwenye GPA 3.0 UDSM angepata 3.5 MZUMBE???? jitafakari tena mkuu..
 
Kutemwa kwako nadhani imetokana na ushindani katika master's degree hiyo. Mfano labda udsm walitaka master's ya education watu 10 na waliotuma wengi wana G.P.A kuanzia 4 hapo lazima utakosa
It might be facts
 
Mmmmmh sio kweli ina maana UDSM unaweza fananisha na MZUMBE kwa ugumu wake..?? Yaan unataka kusema mwenye GPA 3.0 UDSM angepata 3.5 MZUMBE???? jitafakari tena mkuu..
Changamoto za kusoma mlimani hazipo sawa na za kusoma mzumbe tena nje ya mji ambako hakuna purukushani kama za jijini.
 
udsm ni pagumu kuliko mzumbe.... mzumbe wanasoma masomo machache sana na pepa zao nyepesi sana... angalia first class zao zinavyokuwaga nyingi

Mkuu acha kupotosha watu.. UDSM na Mzumbe wametofautiana kidogo sana kwa idadi ya masomo.. kama sio moja basi 2. Na kama idadi ya masomo ndio ugumu wa chuo basi SAUT kingekuwa no. 1.. Toa hoja za maana mkuu.. ukiangalia paper za mzumbe na zile za UDSM basi UDSM mara nyingi huwa za kawaida sana..
 
Changamoto za kusoma mlimani hazipo sawa na za kusoma mzumbe tena nje ya mji ambako hakuna purukushani kama za jijini.
Unataka kuniambia TIA, CBE, ARDHI, IFM nk ni pagumu zaidi au ni bora kuliko mzumbe kutokana na purukushani za jiji??
Bro jaribu kupekecha ubongo wako kidogo.. ninachokataa ni kuwa GPA ya 3.9 ya mzumbe iwe sawa na 3.2 ya UDSM kisa nini.. mbona hata law school na hata NBAA udsm ni wa kawaida sana na always wanasanda game..?? Hawako bright kama wale wa Mzumbe na Sua hata makazini hili linaoneka wazi..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom