GPA ya 3.9 nimetemwa Master's Degree UDSM

GPA ya 3.9 nimetemwa Master's Degree UDSM

Pole sana kwa kukosa chuo kijana! Ila lazima ujue GPA sio kigezo pekee cha kuchaguliwa udms.
Na pia hiyo GPA yako ni ya chuo gani kusema una GPA ya 3.9 tuu sio kigezo maana pale ud wanatabia ya kustandadize gpa za vyuo vingine so hiyo yako kama ni ya TEKU pengine inaweza kuwa ni 3.2 hivi. Kama hiyo ni ya Udsm wangekuchukua.
Pile inategemea jinsi ulivyojaziwa recommendation latter. Kama watu wako hawakukujazia vizuri inaweza kiwa sababu pia lakini kitu kingine ni wewe mwenyewe ulivyojieleza wakati unafanya application. Kuna sehemu nyingi za kujaza ikiwa ni pamoja na wazo la kufanyia utafiti. Kama ulikuwa unajaza ilimradi tuu huwezi chaguliwa unatakiwa kuwa makini.
Zaidi ya hapo pia inategemea na ushindani kulingana na nafazi zilioombwa. Kama mmeomba watu 100 na nafasi zipo kumi halafu wenzako wakawa na gpa zuri zaidi yako au kutoka vyuo bora kuli ulicjosoma lazima utaachwa tuu. Ila usikate tamaa jaribu tena kuomba mara nyingine utapata kijana.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona mtu anakujadili ujue amekukubali. Hukuweza kunshauri bila kutaja UDOM kwa njia hiyo isiyo kweli? Mbona UDOM inawapa hofu hivi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakikua wataacha mkuu maana mwisho wa siku wakija huku uraiani watatia akili tu maana soko la ajira haliangalii umesoma nini na wapi bali umeonyesha nini kipya kwenye kazi yako though wakati mwingine wanaangalia chuo ulichosoma kwa baadhi ya kozi (ila kwa Tz kwa sasa not applicable sana maana madogo wanatuangusha sana kutokana na mfumo wa elimu yetu)
 
mimi nina 3.0 GPA and niko Masters Mwaka wa mwisho hapa UDSM, wewe umekosa vipi mkuu??
 
Habarini wanajamvi,
Mimi nina GPA ya 3.9 undergraduate,
Niliapply Master of Education UDSM.

Nimecheck matokeo naona wamenitema,
Na wazoefu wadai si rahisi kutemwa kwa GPA hii.

Kuna uwezekano wa/ni sawa
Kwenda pale chuoni kuulizia labda kuna kigezo fulani kilichozingatiwa kunitema tofauti na GPA ili mwakani tukijaaliwa niongeze umakini wakati wa kuapply?



Sent using Jamii Forums mobile app
Nashangaa nimesoma comment zoote watu hawakuulizi kuhusu Sponsor,mdhamini.uliapply kama private yaani ujilipie mwenyewe hiyo Master au ulipiwe na serikali? Tuanzie hapo kwanza
 
Habarini wanajamvi,
Mimi nina GPA ya 3.9 undergraduate,
Niliapply Master of Education UDSM.

Nimecheck matokeo naona wamenitema,
Na wazoefu wadai si rahisi kutemwa kwa GPA hii.

Kuna uwezekano wa/ni sawa
Kwenda pale chuoni kuulizia labda kuna kigezo fulani kilichozingatiwa kunitema tofauti na GPA ili mwakani tukijaaliwa niongeze umakini wakati wa kuapply?



Sent using Jamii Forums mobile app
isije kuwa ume apply ukiomba toka bodi ya mkopo ukusomeshe au Chuo kikusomeshe...hazo lazima ukose...kama ni unajilipia mwenyewe haiwezekani ukose...sasa tujibu uliomba kama nani? yaani nani akudhamini masomo yako?
 
Pumbavubyani wewe unaringia GPA YA 3.9.
Tatizo lako undergraduet umesoma coz nyingine then masters unataka kusoma Education.
first degree yako hairelate na second degree, sasa watakuchaguaje?
E.g. first degree umesoma Public Administration then Second degree usome Education.
Hahahaaa kijana lazima wakuteme

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutemwa kwako nadhani imetokana na ushindani katika master's degree hiyo. Mfano labda udsm walitaka master's ya education watu 10 na waliotuma wengi wana G.P.A kuanzia 4 hapo lazima utakosa
Hili ndo jibu, Lecturer wangu aliniambia hivihivi.
 
Elimu yangu haina mashaka yoyote.

Labda ungenisahihisha kama kuna nilipokosea kiuandishi,
Na ungesaidia kuhusu uwezekano wa kwenda kuulizia chuoni kama ni sahihi au vinginevyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaangalia GPA za walioomba mkuu, kama wanahitaji watu 15 na waliomba wakawa 20 afu kati ya hizo kuna GPA za kuanzia 4.2 ambazo ni 15. Unafikiri watakuchukua?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom